If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
MAPAMBO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua vitendawili vya suala lengwa. - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitendawili vya mapambo katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio), Ananitazama, hasemi hasikii (Picha), Lapendeza rangi lakini halidumu (Ua). Dhahabu yangu ya thamani haisimami (Mkufu). - Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili. - Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali. |
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 40
Chati za vitendawili Kadi za vitendawili Vifaa vya kidijitali |
Kutega na kutegua vitendawili
Kutambua vitendawili vya mapambo
Kutunga vitendawili vipya
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza

| 2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika mashindano ya kutega na kutegua vitendawili darasani. - Kubuni vitendawili vyao wenyewe kuhusu mapambo. - Kusikiliza vitendawili kwenye kifaa cha kidijitali na kuvitegua. |
Kutega na kutegua vitendawili kuna umuhimu gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 42
Orodha ya vitendawili Vifaa vya kidijitali |
Kutega na kutegua vitendawili
Kubuni vitendawili vipya
Ushiriki katika mashindano ya vitendawili
|
|
| 2 | 4 |

| 3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua msamiati wa mapambo uliotumiwa katika kifungu. - Kuelezea maana za msamiati mbalimbali wa mapambo. - Kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa mapambo (k.v vipuli, pete, bangili na ushanga) kwa kutazama picha na vifaa halisi. - Kutumia tarakilishi kutafuta msamiati wa mapambo na maana yake mtandaoni. - Kueleza mapambo na sehemu yanapovaliwa. |
Kwa nini ni muhimu kusoma kifungu kwa ufasaha?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 43
Picha za mapambo Vifaa vya kidijitali Kamusi |
Kutambua msamiati wa mapambo
Kueleza maana za msamiati wa mapambo
Kusoma kifungu kwa ufasaha
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe. - Kuonyesha uelewa wa hadithi kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali. - Kuonea fahari kusoma hadithi kuhusu mapambo na kujibu maswali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma maneno yasiyopungua(80) katika hadithi kwa dakika moja kwa usahihi. - Kutoa muhtasari wa hadithi aliyoisoma. - Kujibu maswali kutokana na hadithi. |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu kwa ufasaha?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 45
Kifungu cha hadithi Saa ya kupimia muda Maswali ya ufahamu |
Kusoma maneno 80 kwa dakika moja
Kutoa muhtasari wa hadithi
Kujibu maswali kuhusu hadithi
|
|
| 3 | 4 |

| 4 | 1 |
Kuandika
|
Kuandika kwa Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa. - Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali. - Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi za kupigia chapa. (k.v. bodidota, kipanya na kiwambo/ mulishi). - Kutumia tarakilishi kuandika maneno au sentensi zinazolenga msamiati wa mapambo (k.v. herini, vipuli, pete, kipini, bangili, shanga, taji, kugesi na hina). - Kutumia tarakilishi kuandika kifungu kinachohusisha mapambo mbalimbali. |
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazojua?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 46
Tarakilishi Picha za sehemu za tarakilishi Chati ya sehemu za tarakilishi |
Kutambua sehemu za tarakilishi
Kuandika maneno na sentensi kwa kutumia tarakilishi
Kuhifadhi maandishi kwenye faili ya tarakilishi
|
|
| 4 | 2 |

| 4 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika kwa Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali. - Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuhifadhi kazi yake kwenye faili ya tarakilishi mara kwa mara. - Kuhariri kazi yake kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake katika kikundi. - Kutuma kazi yake kwa mwalimu ili kuitathmini. |
Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47
Tarakilishi Picha za sehemu za tarakilishi |
Kuhariri kazi kwenye tarakilishi
Kuhifadhi kazi kwenye faili
Kutuma kazi kwa mwalimu
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Nomino za Makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha. - Kueleza nomino za makundi ili kuzitofautisha na nomino zingine. - Kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za makundi (k. v mlolongo wa magari, tita la kuni, mkungu wa ndizi, safu ya siafu, koja la maua, bunda la noti) katika chati, kadi maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k. - Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za makundi huko akitoa mifano. - Kutumia nomino za makundi katika sentensi na kuziandika daftarini mwake. |
Je, unajua maneno gani yanayotaja makundi ya watu na vitu?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47
Chati za nomino za makundi Kadi maneno Picha zinazoonyesha makundi ya vitu |
Kutambua nomino za makundi
Kueleza maana ya nomino za makundi
Kutunga sentensi zenye nomino za makundi
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Nomino za Makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha. - Kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino za makundi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia no mino za makundi kutunga sentensi mtandaoni akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za makundi. - Kuorodhesha nomino za makundi zinazopatikana katika mazingira. |
Je, nomino za makundi hutumiwa vipi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Maswali ya zoezi Picha zinazoonyesha makundi ya vitu Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino za makundi
Kujaza pengo kwa nomino za makundi
Kuorodhesha nomino za makundi
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |

| 5 | 4 |
Sarufi
|
Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino. - Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino ambata (k.v askarikanzu, mbwamwitu, mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi. - Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano. - Kutumia nomino ambata katika sentensi na kuziandika katika daftari lake. |
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Chati za nomino ambata Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino ambata
Kueleza maana ya nomino ambata
Kutunga sentensi zenye nomino ambata
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino. - Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino ambata kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake. - Kusakura mtandaoni ili kupata mifano zaidi ya nomino ambata na kuziandika katika daftari lake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino ambata. |
Ni mifano gani ya nomino ambata unayojua?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Maswali ya zoezi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino ambata
Kusakura mtandaoni mifano ya nomino ambata
Kujaza pengo kwa nomino ambata
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali. - Kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka. - Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari, ukweli) kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali. - Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano. - Kutumia nomino za dhahania katika sentensi na kuziandika sentensi hizo daftarini mwake. |
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Chati za nomino za dhahania Kadi maneno Mti maneno |
Kutambua nomino za dhahania
Kueleza maana ya nomino za dhahania
Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
|
|
| 6 | 3 |

| 6 | 4 |

| 7 | 1 |
Sarufi
|
Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali. - Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za dhahania kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za dhahania. - Kuorodhesha nomino za dhahania zinazoelezea hisia na tabia za binadamu. |
Ni nomino zipi za dhahania unazozitumia katika mawasiliano ya kila siku?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 54
Maswali ya zoezi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
Kujaza pengo kwa nomino za dhahania
Kuorodhesha nomino za dhahania
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. - Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi. - Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua herufi kubwa katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia herufi kubwa (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia herufi kubwa ifaavyo. |
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 55
Chati za matumizi ya herufi kubwa Vifaa vya kidijitali |
Kutambua herufi kubwa katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia herufi kubwa
Kuandika sentensi zenye herufi kubwa
|
|
| 7 | 3 |

| 7 | 4 |

| 8 | 1 |

- Kutambua alama ya koma katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia koma (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia koma ifaavyo. |
Kwa nini tunahitaji alama ya koma katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 57
Chati za matumizi ya koma Vifaa vya kidijitali |
Kutambua alama ya koma katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia koma
Kuandika sentensi zenye koma
|
|
| 8 | 2 |

| 8 | 3 |

| 8 | 4 |

| 9 | 1 |

- Kutambua kikomo katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kikomo (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia kikomo ifaavyo. |
Ni wakati gani tunatumia kikomo katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 59
Chati za matumizi ya kikomo Vifaa vya kidijitali |
Kutambua kikomo katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo
Kuandika sentensi zenye kikomo
|
|
| 9 | 2 |

| 9 | 3 |

| 9 | 4 |

| 10 | 1 |

- Kutambua kiulizi katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia kiulizi ifaavyo. - Kuandika sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali. |
Unatumia alama ya kiulizi wakati gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 61
Chati za matumizi ya kiulizi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua kiulizi katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia kiulizi
Kuandika sentensi zenye kiulizi
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |

| 10 | 4 |

Your Name Comes Here