If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 2 |
Majukumu ya Watoto
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara
Kusoma kwa mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara. Kutaja vitendo au ishara za kuambatanisha na mazungumzo. Kutumia vitendo na ishara mwafaka katika mazungumzo yao. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara.
Wanafunzi waweze kutaja vitendo au ishara za kuambatanisha na mazungumzo. |
Kwa nini watu hutumiwa vitendo au ishara wanapozungumza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 119-120
Kamusi KLb Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 121-122 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
|
|
1 | 3 |
Majukumu ya Watoto
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutaja vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo. Kujadiliana sehemu za insha ya maelezo. Kutathmini umuhimu wa maelezo. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana sehemu za insha ya maelezo. |
Insha ya maelezo
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 122-123
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
1 | 4 |
Majukumu ya Watoto
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua aina za insha za maelezo. Kutambua sifa za insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelekezo. Kufurahia kuandika insha ya maelezo. |
Mwanafunzi aweze kutambua aina za insha za maelezo.
Mwanafunzi aweze kutambua sifa za insha ya maelezo Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelekezo. |
Ni mambo gani huzingatiwa ili kuandika insha nzuri ya maelezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 123-124
Kamusi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
2 | 1 |
Majukumu ya Watoto
|
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutenda
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda. Kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda |
Je, vyombo vilivyooshwa vinawekwa wapi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 124-126
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 126-127 Kamusi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
2 | 2 |
Majukumu ya Watoto
|
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa. Kutunga sentensi katika wakati Kauli ya kutendwa. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati Kauli ya kutendwa |
Majukumu yote yali---------- ifaavyo (tekeleza)
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 127-128
Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
2 | 3 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa makini
Kusoma kwa ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza habari atakayosomewa na mwalimu. Kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa kusafiri |
Mwanafunzi asikilize pamoja na mwenzako, habari atakayosomewa na mwalimu.
Mwanafunzi aweze kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari. |
Kwa nini unafaa kutambua hoja muhimu katika habari aliyoisikiliza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 129-130
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 130-131 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 4 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano. Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Kusoma kifungu, |
Mwanafunzi aweze kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.
Mwanafunzi aweze kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu, |
Ni habari gani ambayo watu wanaweza kupashwa kupitia kwa Hotuba?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 130-131
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
3 | 1 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba. Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari. Kuchangamkia kuandika hotuba. |
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari |
Je, ni vigezo vipi utakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya masimulizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 132-133
Kamusi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
3 | 2 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi sahili
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi ambatano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya sentensi sahili. Kutambua sentensi sahili kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi sahili kuhusu magonjwa ambukizi. Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi sahili
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi sahili kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi Mwanafunzi aweze kutunga sentensi sahili kuhusu magonjwa ambukizi. |
Ni aina gani za sentensi unazozijua?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 133-134
Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 134-135 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 3 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kusikiliza na kuzungumza; Wahusika katika nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuimba wimbo, |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kuimba wimbo,
|
Je, ni wahusika gani katika wimbo unaowajua?
Wahusika hao wana umuhimu gani katika wimbo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 137-139
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 4 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kusoma kwa kina- Mbinu za lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi. Kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika novela. Kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela. Kutathmini umuhimu wa mbinu za lugha. |
Wanafunzi kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Wanafunzi waweze kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika novela. Wanafunzi waweze kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 139-141
Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
|
|
4 |
Exam |
||||||||
5 | 1 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutambua vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelezo. Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Wanafunzi kuandika insha ya maelezo. |
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 141-142
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
|
|
5 | 2 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini. Kuonea fahari ukanushaji katika matini. |
Wanafunzi waweze kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini |
Tunakanusha sentensi kwa kuzingatia nyakati gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 143-144
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
5 | 3 |
Utatuzi wa Mizozo
Matumizi ya pesa |
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Kusikiliza na kuzungumza; Lugha katika nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kugeuza sentensi ziwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita. Kutunga sentensi za hali ya kukanusha wakati uliopo. Kutathmini umuhimu wa Ukanushaji. |
Wanafunzi kugeuza sentensi ziwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita.
Wanafunzi kutunga sentensi za hali ya kukanusha wakati uliopo |
Kwa nini huwa tunakanusha Kauli?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 144-146
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 147-149 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
5 | 4 |
Matumizi ya pesa
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 150
Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. |
Umewahi kusoma kifungu cha mjadala?
Je, ni mambo gani hukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 149-152
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
Matumizi ya pesa
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. Kutathmini umuhimu wa insha ya maelekezo. |
Mwanafunzi aweze kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 153
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. |
Ni mambo gani unaweza kuandika maelekezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7,
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 2 |
Matumizi ya pesa
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
Sarufi; Ukubwa wa nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua mada atakayoandikia insha ya maelezo. Kuandaa kisha kupanga vidokezo atakavyotumia kutoa maelekezo. Kuandika insha ya maelekezo. |
Mwanafunzi kuchagua mada atakayoandikia insha ya maelezo.
Mwanafunzi kuandaa kisha kupanga vidokezo atakavyotumia kutoa maelekezo |
Insha ya maelekezo ina umuhimu gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 154
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 155-156 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
6 | 3 |
Matumizi ya pesa
|
Sarufi; Ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa. Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa. |
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. |
Umegundua nini kuhusu viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 156-158
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
|
|
6 | 4 |
Maadili y mtu binafsi
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza habari na kujibu
Kusoma; Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza habari atakayosomewa. Kutabiri yatakayotokea kutokana na vidokezo katika habari. Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika matini. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza. |
Wanafunzi waweze kusikiliza habari atakayosomewa na mwalimu.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutabiri yatakayotokea kutokana na vidokezo katika habari. Mwanafunzi kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika matini. |
Je, ni mambo gani yanayokuelekeza kuelewa suala muhimu katika habari unayosikiliza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 159-160
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 160-161 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
Maadili y mtu binafsi
|
Kusoma; Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua matini kwenye kitabu au mtandao aisome. Kuandika kwa ufupi bila kutoa ufafanuzi au mifano. Kuonea fahari ufupisho. |
Mwanafunzi kuchagua matini kwenye kitabu au mtandao aisome.
Mwanafunzi kuandika kwa ufupi bila kutoa ufafanuzi au mifano. |
Ni mambo gani ambayo unazingatia unapoandika ufupisho?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 161-162
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
|
|
7 | 2 |
Maadili y mtu binafsi
|
Kuandika kidijitali- Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya baruapepe. Kujadiliana kuhusu ujumbe ambao anaweza kuandikia marafiki zake katika baruapepe. Kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki. Kutathmini umuhimu wa baruapepe. |
Wanafunzi kueleza maana ya baruapepe.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana kuhusu ujumbe ambao anaweza kuandikia marafiki zake katika baruapepe. Wanafunzi kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki. |
Je, unaweza kumwandikia rafiki yako Baruapepe kumwambia nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 162-163
|
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 3 |
Maadili y mtu binafsi
|
Kuandika kidijitali- Baruapepe
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua sifa zinazofaa kuzingatiwa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki. Kuandika baruapepe kwa rafiki yako. Kuchangamkia kuandika baruapepe kwa rafiki yake. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kuchagua sifa zinazofaa kuzingatiwa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki.
Mwanafunzi aweze kuandika baruapepe kwa rafiki yako. |
Unazingatia mambo gani unapoandika Baruapepe kwa rafiki yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 163-164
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 164-165 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
|
|
7 | 4 |
Maadili y mtu binafsi
|
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya usemi wa taarifa. Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi wa taarifa. |
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. |
Je, ni mambo gani unayozingatia wakati wa Kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 165-167
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 |
End term exam |
||||||||
9 |
School closure |
Your Name Comes Here