If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 2 |
MSHIKAMANO WA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo - Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya mawaidha. Kueleza mambo yanayosimuliwa katika mawaidha. Kutambua washiriki katika mawaidha. Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha na kueleza kinachoendelea. Kusikiliza wenzake wakisoma kifungu cha mawaidha ya Babu kwa mjukuu wake. Kueleza maana ya mawaidha kwa kutumia kamusi. Kusikiliza mwalimu akisoma kifungu kingine cha mawaidha au kifungu kikisomwa kwenye kifaa cha kidijitali. |
Je, unajua mawaidha ni nini?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 140
Picha Kifaa cha kidijitali Kamusi KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 142-143 Chati ya vipengele vya mawaidha |
Kueleza maana ya mawaidha
Kutambua washiriki katika mawaidha
Kueleza mambo yanayosimuliwa katika mawaidha
|
|
1 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Ukanushaji - Hali ya Masharti -nge- |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza mbinu za lugha katika fasihi. Kutambua mbinu za lugha zinazotumika katika shairi. Kuchambua matumizi ya lugha katika mashairi. Kufurahia kusoma mashairi kwa kuzingatia mbinu za lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili na wenzake mbinu za lugha katika tanzu za fasihi alizosoma awali. Kusoma shairi lenye ubeti kuhusu "Mbiu leo imelia, nani asiyesikia?". Kutambua mbinu za lugha zilizotumika katika shairi alilosoma. |
Je, matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimu gani kwa msomaji?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 145
Shairi la kusoma Diwani ya mashairi Chati ya mbinu za lugha KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 149 Vifaa vya kidijitali Mifano ya sentensi za hali ya masharti ya -nge- Chati |
Kutaja mbinu za lugha katika fasihi
Kutambua mbinu za lugha katika shairi
Kuchambua matumizi ya lugha katika mashairi
|
|
1 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Ukanushaji - Hali ya Masharti -ngali-
Insha za Kubuni - Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti ya -ngali- katika matini. Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -ngali- ipasavyo katika matini. Kuchangamkia matumizi sahihi ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -ngali- katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zilizotolewa na kuzingatia ukanushaji wa hali ya masharti -ngali-. Kutambua sentensi zilizo katika hali ya ukanushaji kwa kuziandika daftarini. Kufanya mazoezi ya kukanisha sentensi zilizotolewa. Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti ya -ngali-. |
Je, ni vipi ukanushaji wa hali ya masharti ya -ngali- hutofautiana na -nge-?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 150
Vifaa vya kidijitali Mifano ya sentensi za hali ya masharti ya -ngali- Chati KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 147 Kamusi Kielelezo cha insha ya maelezo |
Kutambua sentensi zilizo katika hali ya ukanushaji
Kukanisha sentensi za hali ya masharti ya -ngali-
Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa hali ya masharti ya -ngali-
|
|
2 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo - Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuchambua washiriki katika mawaidha. Kueleza sifa za washiriki katika mawaidha. Kutoa mawaidha kwa kutumia vipengele vifaavyo. Kufurahia kutoa mawaidha katika mazingira mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza tena mawaidha yaliyosomwa awali. Kujadili na wenzake sifa za washiriki katika mawaidha. Kuandaa mawaidha atakayowapa vijana wakati wa mkutano kuhusu kupoteza muda madukani. Kuwasilisha mawaidha kwa wenzake darasani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo. |
Je, ni sifa zipi za washiriki zinapaswa kudhihirika katika mawaidha?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 143-144
Vielelezo vya mawaidha Vifaa vya kidijitali |
Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha
Kutoa mawaidha kwa kutumia vipengele vifaavyo
Kuwasilisha mawaidha kwa wenzake
|
|
2 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Ukanushaji - Hali ya Masharti -ki- |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuchanganua matumizi ya lugha katika mashairi. Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi. Kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu za lugha. Kuchangamkia matumizi ya mbinu za lugha katika ushairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena shairi walilojifunza katika somo lililopita. Kuchanganua matumizi ya lugha katika shairi hilo. Kutunga shairi jepesi (lisilozidi beti tatu) kuhusu kudumisha umoja shuleni. Kuwasilisha shairi aliotunga kwa wenzake ili watolee maoni. |
Je, matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimu gani kwa msomaji?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 146
Diwani ya mashairi Vifaa vya kidijitali Jedwali la tathmini KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 151 Mifano ya sentensi za hali ya masharti ya -ki- Chati |
Kuchambua matumizi ya lugha katika shairi
Kutunga shairi lenye mbinu za lugha
Kuwasilisha shairi kwa wenzake
|
|
2 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Maelezo
Mawaidha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali. Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali akizingatia vipengele vyake. Kusahihisha makosa katika insha ya maelezo. Kufurahia kutunga insha za maelezo kuhusu hali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kutokana na insha aliyosoma. Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali yoyote inayohusiana na umoja wa kijamii akizingatia vipengele alivyojifunza. Kumsomea mwenzake insha yake ili apewe maoni. Kurekebisha insha yake kulingana na maoni aliyopata. |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo kuhusu hali?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 148
Mifano ya insha ya maelezo Vipengele vya insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 152-153 Maigizo ya mawaidha Orodha ya vipengele vya lugha |
Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali
Kusomea mwenzake insha iliyoandikwa
Kurekebisha makosa katika insha
|
|
2 | 4 |
MATUMIZI YA KODI
Kusoma |
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala. Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala. Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha mjadala. Kufurahia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha na kueleza mjadala unaoweza kuzuka kutokana na maneno ya wahusika. Kusoma kifungu cha mjadala kuhusu matumizi ya kodi. Kudondoa habari mahususi kutoka katika kifungu kwa kujibu maswali yanayofuata. Kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumika katika kifungu. |
Je, unavutiwa na nini unaposoma kifungu cha ufahamu?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 154-155
Picha Kifungu cha mjadala Maswali ya ufahamu |
Kudondoa habari mahususi katika kifungu
Kueleza maana ya msamiati
Kujibu maswali ya ufahamu
|
|
3 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Insha za Kiuamilifu - Shajara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua nomino katika hali ya udogo. Kutambua viambishi vya udogo katika nomino. Kutumia nomino katika hali ya udogo ipasavyo katika sentensi. Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya udogo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha inayoonyesha hali ya udogo. Kutambua nomino katika hali ya udogo zilizoko kwenye vibao. Kutambua viambishi vya udogo katika majibu ya swali la kwanza. Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya udogo. Kukamilisha sentensi kwa kutumia hali ya udogo ya nomino kwenye mabano. |
Je, ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya udogo?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 158-159
Picha Vibao vya nomino Chati ya kuambatanisha nomino KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 157 Vifaa vya kidijitali Mifano ya shajara Mtandao salama |
Kutambua nomino katika hali ya udogo
Kutambua viambishi vya udogo
Kukamilisha sentensi kwa kutumia hali ya udogo ya nomino
|
|
3 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Mawaidha
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Mjadala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kujadili ishara za uso na mwili zilizotumika katika mawaidha. Kutoa mawaidha kwa kutumia vipengele vya lugha na ishara zifaazo. Kufurahia kutoa mawaidha kwa kutumia vipengele vya lugha na ishara zifaazo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili ishara za uso na mwili zilizotumika katika sehemu ya mawaidha waliyoigiza. Kutoa mawaidha kuhusu njia bora ambazo serikali ya kaunti inaweza kutumia pesa inazotoza wafanyabiashara na wanaoegesha magari mjini. Kuwaomba wenzake kutoa maoni kuhusu jinsi alivyotumia vipengele vya lugha na ishara. |
Je, ishara za mwili zina umuhimu gani katika kutoa mawaidha?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 153
Jedwali la tathmini Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 156 Orodha ya msamiati Tafsiri ya methali Chati ya mitazamo ya wahusika |
Kutoa mawaidha kwa kutumia vipengele vya lugha
Kutumia ishara za uso na mwili katika mawaidha
Kufanya tathmini ya mawaidha ya wenzake
|
|
3 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Insha za Kiuamilifu - Shajara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua nomino katika hali ya ukubwa. Kutambua viambishi vya ukubwa katika nomino. Kutumia nomino katika hali ya ukubwa ipasavyo katika sentensi. Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya ukubwa. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua nomino katika hali ya ukubwa kutoka kwenye chati. Kutambua viambishi vya ukubwa katika maneno kwenye swali la kwanza. Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya ukubwa. Kukamilisha sentensi kwa kutumia hali ya ukubwa wa nomino kwenye mabano. Kuandika sentensi zilizotolewa katika hali ya ukubwa. |
Je, ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 160-161
Chati ya nomino Majedwali ya kuambatanisha nomino Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 158 Vielelezo vya aina za shajara |
Kutambua nomino katika hali ya ukubwa
Kutambua viambishi vya ukubwa
Kukamilisha sentensi kwa kutumia hali ya ukubwa ya nomino
|
|
3 | 4 |
MAADILI YA KITAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini. Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini. Kutathmini mazungumzo aliyosikiliza kwa kuzingatia vipengele vya usikilizaji wa kutathmini. Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini mazungumzo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadiliana na mwenzake kuhusu kinachoendelea katika picha. Kutafuta kwenye kamusi maana ya tathmini. Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini mazungumzo. Kusikiliza wenzake wakisoma mazungumzo ya Wakio, Leboo na Ali yanayohusu kusikiliza kwa kutathmini. |
Je, unazingatia nini ili kufanikisha kusikiliza kwa kutathmini?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 162-163
Picha Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
Kutathmini mazungumzo aliyosikiliza
Kueleza vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini
|
|
4 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari katika matini. Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo. Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujadili habari inayoonyeshwa katika picha iliyotolewa. Kusoma kifungu cha habari kuhusu Michezo ya Olimpiki na Taifa la Azania. Kujadili vipengele vya ufupisho wa habari katika matini akizingatia maelekezo ya ufupisho, wazo kuu katika kila aya, kudondosha mifano na maelezo ya ziada, mpangilio wenye muwala n.k. |
Je, unadhani ni hoja gani zilizoondolewa ili kufupisha habari hii?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 165
Picha Kifungu cha habari Orodha ya vipengele vya ufupisho KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 170 Sentensi za usemi halisi na usemi wa taarifa Chati ya kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa |
Kujadili vipengele vya ufupisho wa habari
Kubainisha wazo kuu katika kila aya
Kujadili namna ya kufupisha habari
|
|
4 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kujibu Baruapepe
Kusikiliza kwa Kutathmini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe. Kutambua lugha inayofaa katika kujibu baruapepe. Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo. Kujenga mazoea ya kujibu baruapepe ipasavyo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma baruapepe iliyotolewa kisha ajibu maswali yaliyotolewa. Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe kama anwani, tarehe, mada, salamu, ujumbe, matumizi ya lugha na hitimisho. Kupata maoni kutoka kwa wenzake kuhusu vipengele vya baruapepe vinavyobainika katika baruapepe waliyosoma. |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia unapoandika baruapepe?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 167
Mfano wa baruapepe Vifaa vya kidijitali Orodha ya vipengele vya baruapepe KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 164 Mazungumzo yaliyorekodiwa Orodha ya vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini |
Kutambua vipengele vya baruapepe
Kujadili vipengele vya kujibu baruapepe
Kutambua lugha inayofaa katika baruapepe
|
|
4 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo. Kusahihisha makosa katika ufupisho wa habari. Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena kifungu cha habari kuhusu Michezo ya Olimpiki na Taifa la Azania. Kuandika sentensi moja kuhusu ujumbe muhimu unaopatikana katika kila aya. Kuandika ufupisho wa habari kwa kuunganisha sentensi hizo kuunda aya moja akizingatia vipengele vya ufupisho. Kuwasomea wenzake ufupisho wake ili wampe maoni yao. |
Una nafasi ndogo ya kuandika ufupisho, utafanyaje?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 166
Kifungu cha habari Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 171-172 Orodha ya mabadiliko ya usemi halisi kuwa usemi wa taarifa |
Kuandika ufupisho wa habari
Kutumia vipengele vya ufupisho
Kurekebisha makosa katika ufupisho
|
|
4 | 4 |
Kuandika
|
Kujibu Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kujadili maana ya baruapepe ya kujibu. Kutambua hatua za kujibu baruapepe. Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo. Kujenga mazoea ya kujibu baruapepe ipasavyo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma baruapepe iliyotolewa kuhusu usalama katika eneo la Kolo. Kujadili na kuandaa vidokezo vya kujibu baruapepe ya Mathias Mwamba. Kuandika baruapepe ya kumjibu Mathias Mwamba akizingatia vipengele vya kujibu baruapepe aliyojifunza. Kujaza jedwali la tathmini ili kutathmini baruapepe aliyoandika. |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kujibu baruapepe?
|
KLB Top Scholar Kiswahili Gredi ya 9 uk. 168-169
Mfano wa baruapepe ya kujibu Jedwali la tathmini Vifaa vya kidijitali |
Kuandika baruapepe ya kujibu
Kutumia vipengele vya kujibu baruapepe
Kutathmini baruapepe aliyoandika
|
|
7-9 |
TADHMINI NA MARUDIO |
Your Name Comes Here