If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa. Kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti d na nd. Kuchangamkia kukariri silabi za sauti d na nd katika silabi na maneno. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa.
Mkiwa wawili, wanafunzi kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti d na nd. |
Ni maneno gani unayojua ambayo yana sauti d au nd?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97-98 Chati |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 2 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu. Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu. Kutathmini matumizi ya vifaa vya kidijitali. |
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu Mwanafunzi aweze Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu |
Je, ni ujumbe gani wa kushawishi umewahi kupewa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 98-100
Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 3 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kuandika; Insha za kubuni: Masimulizi
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya KI-VI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi. Kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu' Kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi. |
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu' |
Ni mambo yapi yaliyokuvutia uliposimuliwa kisa fulani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 100-101
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 102-104 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 4 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
Kuthamini |
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya LI-YA
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi. Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya LI-YA |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya LI-YA katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi |
Ni vitu gani katika mazingira yako ya shuleni vilivyo katika ngeli ya LI-YA?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 104-106
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 107-109 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 1 |
Kuthamini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja nyimbo za dini anazozijua katika jamii yake. Kutambua mazingira ambamo nyimbo za dini huimbwa. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za dini. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za dini anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za dini huimbwa Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, unajua nyimbo gani za dini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 109-110
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 2 |
Kuthamini
|
Kusoma; Kusoma kwa kina- Wahusika
Kuandika; Barua ya kuomba msamaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma novela iliyoteuliwa. Kutaja sifa za wahusika katika novela. Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela. Kutathmini umuhimu wa kusoma novela. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma novela iliyoteuliwa
Wanafunzi waweze kutaja sifa za wahusika katika novela. Wanafunzi waweze kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela |
Je, unawakumbuka wahusika gani katika novela uliyosoma?
Ni mambo gani yanayokuwezesha kuwakumbuka wahusika katika novela uliyosoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 110-112
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 112-114 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 3 |
Kuthamini
|
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno. Kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino. Kuchangamkia kutumia vinyume vya nomino. |
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino |
Je, unajua vinyume vya maneno gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 114-117
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 4 |
Kuthamini
Majukumu ya Watoto |
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya vivumishi
Kusikiliza na kuzungumza; Kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vinyume vya vivumishi katika fungu la maneno. Kutunga sentensi akitumia vinyume vya vivumishi. Kuchangamkia kutumia vinyume vya vivumishi. |
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya vivumishi katika fungu la maneno
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia vinyume vya vivumishi |
Je, unatumia vipi vinyume vya nomino?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 117-118
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 119-120 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 1 |
Majukumu ya Watoto
|
Kusoma kwa mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua matini aipendayo ili aisome. Kuandika maneno yoyote mapya anayopata. Kutunga sentensi akitumia msamiati aliyojifunza. Kuchangamkia kusoma matini mbalimbali |
Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kuchagua matini aipendayo ili aisome.
Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kuandika maneno yoyote mapya anayopata Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kutunga sentensi akitumia msamiati aliyojifunza. |
Wewe hufuruhia kusoma matini kuhusu nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 121-122
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 2 |
Majukumu ya Watoto
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutaja vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo. Kujadiliana sehemu za insha ya maelezo. Kutathmini umuhimu wa maelezo. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana sehemu za insha ya maelezo. |
Insha ya maelezo
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 122-123
Kapu maneno Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 123-124 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 3 |
Majukumu ya Watoto
|
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutenda
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda. Kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda |
Je, vyombo vilivyooshwa vinawekwa wapi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 124-126
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 126-127 Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 4 |
Majukumu ya Watoto
|
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa. Kutunga sentensi katika wakati Kauli ya kutendwa. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati Kauli ya kutendwa |
Majukumu yote yali---------- ifaavyo (tekeleza)
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 127-128
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 1 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa makini
Kusoma kwa ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza habari atakayosomewa na mwalimu. Kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa kusafiri |
Mwanafunzi asikilize pamoja na mwenzako, habari atakayosomewa na mwalimu.
Mwanafunzi aweze kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari. |
Kwa nini unafaa kutambua hoja muhimu katika habari aliyoisikiliza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 129-130
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 130-131 Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 2 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano. Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Kusoma kifungu, |
Mwanafunzi aweze kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.
Mwanafunzi aweze kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu, |
Ni habari gani ambayo watu wanaweza kupashwa kupitia kwa Hotuba?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 130-131
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 3 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi sahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba. Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari. Kuchangamkia kuandika hotuba. |
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari |
Je, ni vigezo vipi utakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya masimulizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 132-133
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 133-134 Kapu maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi ambatano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya sentensi ambatano. Kutambua sentensi ambatano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi ambatano kuhusu magonjwa ambukizi. Kuchangamkia matumizi ya sentensi ambatano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi ambatano.
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi ambatano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi ambatano kuhusu magonjwa ambukizi. |
Sentensi ambatano ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 134-135
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 1 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kusikiliza na kuzungumza; Wahusika katika nyimbo
Kusoma kwa kina- Mbinu za lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuimba wimbo, |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kuimba wimbo,
|
Je, ni wahusika gani katika wimbo unaowajua?
Wahusika hao wana umuhimu gani katika wimbo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 137-139
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 139-141 Kapu maneno Mabango Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 2 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutambua vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelezo. Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Wanafunzi kuandika insha ya maelezo. |
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 141-142
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 142-143 Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 3 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini. Kuonea fahari ukanushaji katika matini. |
Wanafunzi waweze kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini |
Tunakanusha sentensi kwa kuzingatia nyakati gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 143-144
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 4 |
Utatuzi wa Mizozo
Matumizi ya pesa |
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Kusikiliza na kuzungumza; Lugha katika nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kugeuza sentensi ziwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita. Kutunga sentensi za hali ya kukanusha wakati uliopo. Kutathmini umuhimu wa Ukanushaji. |
Wanafunzi kugeuza sentensi ziwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita.
Wanafunzi kutunga sentensi za hali ya kukanusha wakati uliopo |
Kwa nini huwa tunakanusha Kauli?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 144-146
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 147-149 Kapu maneno Chati |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
Matumizi ya pesa
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 150
Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. |
Umewahi kusoma kifungu cha mjadala?
Je, ni mambo gani hukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 149-152
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 2 |
Matumizi ya pesa
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. Kutathmini umuhimu wa insha ya maelekezo. |
Mwanafunzi aweze kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 153
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. |
Ni mambo gani unaweza kuandika maelekezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 153-154
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 154 Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 3 |
Matumizi ya pesa
|
Sarufi; Ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya ukubwa wa nomino. Kusoma kifungu kisha kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa. Kuonea fahari ukubwa wa nomino. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukubwa wa nomino.
Mwanafunzi kusoma kifungu kisha kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa. |
Utatambuaje nomino katika hali ya Ukubwa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 155-156
Kapu maneno Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 4 |
Matumizi ya pesa
Maadili y mtu binafsi |
Sarufi; Ukubwa wa nomino
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza habari na kujibu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa. Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa. |
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. |
Umegundua nini kuhusu viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 156-158
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 159-160 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
Maadili y mtu binafsi
|
Kusoma; Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya. Kutathmini umuhimu wa ufupisho. |
Mwanafunzi kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 161
Mwanafunzi kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya. |
Je, ni kwa nini watu hufupisha habari?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 160-161
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 161-162 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 2 |
Maadili y mtu binafsi
|
Kuandika kidijitali- Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya baruapepe. Kujadiliana kuhusu ujumbe ambao anaweza kuandikia marafiki zake katika baruapepe. Kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki. Kutathmini umuhimu wa baruapepe. |
Wanafunzi kueleza maana ya baruapepe.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana kuhusu ujumbe ambao anaweza kuandikia marafiki zake katika baruapepe. Wanafunzi kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki. |
Je, unaweza kumwandikia rafiki yako Baruapepe kumwambia nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 162-163
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 3 |
Maadili y mtu binafsi
|
Kuandika kidijitali- Baruapepe
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua sifa zinazofaa kuzingatiwa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki. Kuandika baruapepe kwa rafiki yako. Kuchangamkia kuandika baruapepe kwa rafiki yake. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kuchagua sifa zinazofaa kuzingatiwa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki.
Mwanafunzi aweze kuandika baruapepe kwa rafiki yako. |
Unazingatia mambo gani unapoandika Baruapepe kwa rafiki yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 163-164
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 164-165 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 4 |
Maadili y mtu binafsi
|
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya usemi wa taarifa. Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi wa taarifa. |
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. |
Je, ni mambo gani unayozingatia wakati wa Kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 165-167
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8-9 |
END TERM ASSESSMENT AND SCHOOL CLOSURE |
Your Name Comes Here