If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kuzungumza ili kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya kuzungumza ili kupasha habari. Kutambua aina za kuzungumza ili kupasha habari. Kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kuzungumza ili kupasha habari
Mwanafunzi aweze kutambua aina za kuzungumza ili kupasha habari |
Je, ni habari gani muhimu ambazo umewahi kupashwa kwa njia ya mazungumzo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 83-84
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 84-86 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 2 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kusoma kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya mandhari katika fasihi. Kueleza umuhimu wa mandhari ya novela. Kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela. Kuchangamkia kusoma novela mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya mandhari katika fasihi
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa mandhari ya novela Mwanafunzi aweze kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela |
Ni mazingira gani ya matukio yaliyokuvutia katika vitabu vya hadithi ambavyo umewahi kusoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 86-88
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 3 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kusoma kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya ploti. Kueleza umuhimu wa ploti katika novela. Kuandika maelezo kuhusu ploti ya novela aliyoisoma. Kuchangamkia kusoma novela mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ploti
Wakiwa wawiliwawili au katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa ploti katika novela Wanafunzi waweze kuandika maelezo kuhusu ploti ya novela aliyoisoma |
Je, ni matukio gani muhimu yaliyo katika novela aliyosoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 4 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kuandika; Viakifishi: Kiulizi
Kuandika; Viakifishi: Koma |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza matumizi ya kiulizi katika maandishi. Kuandika sentensi akitumia alama ya kiulizi. Kutumia kiulizi mahali panapofaa katika sentensi. Kuchangamkia matumizi ya kiulizi. |
Mwanafunzi aweze
kueleza matumizi ya kiulizi katika maandishi. Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia alama ya kiulizi Mwanafunzi aweze kutumia kiulizi mahali panapofaa katika sentensi |
Kiulizi hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91-92 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 1 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Sarufi; Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi. Kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya A-WA |
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA |
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya A-WA?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 93-94
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 2 |
Ulanguzi wa Binadamu
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano |
Sarufi; Ngeli ya U-I
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-I |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya U-I katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi |
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya U-I?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 94-96
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 3 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /d/ na /nd/ |
Wanafunzi, kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/)
Wanafunzi waweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) |
Je, ni maneno gani yenye sauti /d/ na /nd/?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97-98
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 4 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu. Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu. Kutathmini matumizi ya vifaa vya kidijitali. |
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu Mwanafunzi aweze Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu |
Je, ni ujumbe gani wa kushawishi umewahi kupewa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 98-100
Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 1 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kuandika; Insha za kubuni: Masimulizi
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya KI-VI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi. Kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu' Kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi. |
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu' |
Ni mambo yapi yaliyokuvutia uliposimuliwa kisa fulani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 100-101
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 102-104 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 2 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi. Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya LI-YA |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya LI-YA katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi |
Ni vitu gani katika mazingira yako ya shuleni vilivyo katika ngeli ya LI-YA?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 104-106
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 3 |
Kuthamini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake. Kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za kazi. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, unajua nyimbo gani?
Je, unajua nyimbo gani za kazi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 107-109
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 109-110 Kapu maneno Chati Mabango Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 4 |
Kuthamini
|
Kusoma; Kusoma kwa kina- Wahusika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma novela iliyoteuliwa. Kutaja sifa za wahusika katika novela. Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela. Kutathmini umuhimu wa kusoma novela. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma novela iliyoteuliwa
Wanafunzi waweze kutaja sifa za wahusika katika novela. Wanafunzi waweze kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela |
Je, unawakumbuka wahusika gani katika novela uliyosoma?
Ni mambo gani yanayokuwezesha kuwakumbuka wahusika katika novela uliyosoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 110-112
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 1 |
Kuthamini
|
Kuandika; Barua ya kuomba msamaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha. Kutaja vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha. Kuandika barua rasmi ya kuomba rasmi. Kutathmini umuhimu wa kuomba msamaha. |
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha Mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi ya kuomba rasmi |
Je, ni mambo gani ambayo yanaweza kukufanya uombe msamaha?
Utazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba msamaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 112-114
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 2 |
Kuthamini
|
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya nomino
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno. Kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino. Kuchangamkia kutumia vinyume vya nomino. |
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino |
Je, unajua vinyume vya maneno gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 114-117
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 117-118 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 3 |
Majukumu ya Watoto
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara. Kutaja vitendo au ishara za kuambatanisha na mazungumzo. Kutumia vitendo na ishara mwafaka katika mazungumzo yao. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara.
Wanafunzi waweze kutaja vitendo au ishara za kuambatanisha na mazungumzo. |
Kwa nini watu hutumiwa vitendo au ishara wanapozungumza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 119-120
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
Majukumu ya Watoto
|
Kusoma kwa mapana
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua matini aipendayo ili aisome. Kuandika maneno yoyote mapya anayopata. Kutunga sentensi akitumia msamiati aliyojifunza. Kuchangamkia kusoma matini mbalimbali |
Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kuchagua matini aipendayo ili aisome.
Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kuandika maneno yoyote mapya anayopata Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kutunga sentensi akitumia msamiati aliyojifunza. |
Wewe hufuruhia kusoma matini kuhusu nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 121-122
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 122-123 Kapu maneno Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 1 |
Majukumu ya Watoto
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua aina za insha za maelezo. Kutambua sifa za insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelekezo. Kufurahia kuandika insha ya maelezo. |
Mwanafunzi aweze kutambua aina za insha za maelezo.
Mwanafunzi aweze kutambua sifa za insha ya maelezo Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelekezo. |
Ni mambo gani huzingatiwa ili kuandika insha nzuri ya maelezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 123-124
Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 2 |
Majukumu ya Watoto
|
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutenda
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda. Kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda |
Je, vyombo vilivyooshwa vinawekwa wapi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 124-126
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 126-127 Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 3 |
Majukumu ya Watoto
|
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa. Kutunga sentensi katika wakati Kauli ya kutendwa. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati Kauli ya kutendwa |
Majukumu yote yali---------- ifaavyo (tekeleza)
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 127-128
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 4 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza habari atakayosomewa na mwalimu. Kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa kusafiri |
Mwanafunzi asikilize pamoja na mwenzako, habari atakayosomewa na mwalimu.
Mwanafunzi aweze kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari. |
Kwa nini unafaa kutambua hoja muhimu katika habari aliyoisikiliza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 129-130
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kusoma kwa ufasaha
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo. Kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu |
Unazingatia nini ili kusoma Makala kwa ufasaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 130-131
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 2 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba. Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari. Kuchangamkia kuandika hotuba. |
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari |
Je, ni vigezo vipi utakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya masimulizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 132-133
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 3 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi sahili
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi ambatano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya sentensi sahili. Kutambua sentensi sahili kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi sahili kuhusu magonjwa ambukizi. Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi sahili
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi sahili kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi Mwanafunzi aweze kutunga sentensi sahili kuhusu magonjwa ambukizi. |
Ni aina gani za sentensi unazozijua?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 133-134
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 134-135 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 4 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kusikiliza na kuzungumza; Wahusika katika nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuimba wimbo, |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kuimba wimbo,
|
Je, ni wahusika gani katika wimbo unaowajua?
Wahusika hao wana umuhimu gani katika wimbo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 137-139
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kusoma kwa kina- Mbinu za lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi. Kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika novela. Kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela. Kutathmini umuhimu wa mbinu za lugha. |
Wanafunzi kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Wanafunzi waweze kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika novela. Wanafunzi waweze kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 139-141
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 2 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutambua vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelezo. Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Wanafunzi kuandika insha ya maelezo. |
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 141-142
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 142-143 Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 3 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini. Kuonea fahari ukanushaji katika matini. |
Wanafunzi waweze kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini |
Tunakanusha sentensi kwa kuzingatia nyakati gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 143-144
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 4 |
Utatuzi wa Mizozo
Matumizi ya pesa |
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Kusikiliza na kuzungumza; Lugha katika nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kugeuza sentensi ziwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita. Kutunga sentensi za hali ya kukanusha wakati uliopo. Kutathmini umuhimu wa Ukanushaji. |
Wanafunzi kugeuza sentensi ziwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita.
Wanafunzi kutunga sentensi za hali ya kukanusha wakati uliopo |
Kwa nini huwa tunakanusha Kauli?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 144-146
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 147-149 Kapu maneno Chati |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 1 |
Matumizi ya pesa
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 150
Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. |
Umewahi kusoma kifungu cha mjadala?
Je, ni mambo gani hukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 149-152
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 2 |
Matumizi ya pesa
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. Kutathmini umuhimu wa insha ya maelekezo. |
Mwanafunzi aweze kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 153
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. |
Ni mambo gani unaweza kuandika maelekezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 153-154
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 3 |
Matumizi ya pesa
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
Sarufi; Ukubwa wa nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua mada atakayoandikia insha ya maelezo. Kuandaa kisha kupanga vidokezo atakavyotumia kutoa maelekezo. Kuandika insha ya maelekezo. |
Mwanafunzi kuchagua mada atakayoandikia insha ya maelezo.
Mwanafunzi kuandaa kisha kupanga vidokezo atakavyotumia kutoa maelekezo |
Insha ya maelekezo ina umuhimu gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 154
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 155-156 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 4 |
Matumizi ya pesa
|
Sarufi; Ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa. Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa. |
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. |
Umegundua nini kuhusu viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 156-158
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here