If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa. Kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti d na nd. Kuchangamkia kukariri silabi za sauti d na nd katika silabi na maneno. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa.
Mkiwa wawili, wanafunzi kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti d na nd. |
Ni maneno gani unayojua ambayo yana sauti d au nd?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 2 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /d/ na /nd/ |
Wanafunzi, kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/)
Wanafunzi waweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) |
Je, ni maneno gani yenye sauti /d/ na /nd/?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97-98
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 3 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Kuandika; Insha za kubuni: Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu. Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu. Kutathmini matumizi ya vifaa vya kidijitali. |
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu Mwanafunzi aweze Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu |
Je, ni ujumbe gani wa kushawishi umewahi kupewa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 98-100
Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 100-101 Kapu maneno |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 4 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuandika nomino za ngeli ya KI-VI zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi katika umoja na wingi kwa kutumia ngeli ya KI-VI Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya KI-VI |
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya KI-VI zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze Kutunga sentensi katika umoja na wingi kwa kutumia ngeli ya KI-VI |
Ni vitu gani katika mazingira yako ya shuleni vilivyo katika ngeli ya K-VI?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 102-104
Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 1 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi. Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya LI-YA |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya LI-YA katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi |
Ni vitu gani katika mazingira yako ya shuleni vilivyo katika ngeli ya LI-YA?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 104-106
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 2 |
Kuthamini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake. Kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za kazi. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, unajua nyimbo gani?
Je, unajua nyimbo gani za kazi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 107-109
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 3 |
Kuthamini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja nyimbo za dini anazozijua katika jamii yake. Kutambua mazingira ambamo nyimbo za dini huimbwa. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za dini. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za dini anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za dini huimbwa Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, unajua nyimbo gani za dini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 109-110
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 4 |
Kuthamini
|
Kusoma; Kusoma kwa kina- Wahusika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma novela iliyoteuliwa. Kutaja sifa za wahusika katika novela. Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela. Kutathmini umuhimu wa kusoma novela. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma novela iliyoteuliwa
Wanafunzi waweze kutaja sifa za wahusika katika novela. Wanafunzi waweze kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela |
Je, unawakumbuka wahusika gani katika novela uliyosoma?
Ni mambo gani yanayokuwezesha kuwakumbuka wahusika katika novela uliyosoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 110-112
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 1 |
Kuthamini
|
Kuandika; Barua ya kuomba msamaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha. Kutaja vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha. Kuandika barua rasmi ya kuomba rasmi. Kutathmini umuhimu wa kuomba msamaha. |
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha Mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi ya kuomba rasmi |
Je, ni mambo gani ambayo yanaweza kukufanya uombe msamaha?
Utazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba msamaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 112-114
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 2 |
Kuthamini
|
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya nomino
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno. Kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino. Kuchangamkia kutumia vinyume vya nomino. |
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino |
Je, unajua vinyume vya maneno gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 114-117
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 117-118 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 3 |
Majukumu ya Watoto
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara. Kutaja vitendo au ishara za kuambatanisha na mazungumzo. Kutumia vitendo na ishara mwafaka katika mazungumzo yao. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara.
Wanafunzi waweze kutaja vitendo au ishara za kuambatanisha na mazungumzo. |
Kwa nini watu hutumiwa vitendo au ishara wanapozungumza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 119-120
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 4 |
Majukumu ya Watoto
|
Kusoma kwa mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua matini aipendayo ili aisome. Kuandika maneno yoyote mapya anayopata. Kutunga sentensi akitumia msamiati aliyojifunza. Kuchangamkia kusoma matini mbalimbali |
Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kuchagua matini aipendayo ili aisome.
Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kuandika maneno yoyote mapya anayopata Wakiwa katika vikundi au wawiliwawili, waweze kutunga sentensi akitumia msamiati aliyojifunza. |
Wewe hufuruhia kusoma matini kuhusu nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 121-122
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 1 |
Majukumu ya Watoto
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutaja vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo. Kujadiliana sehemu za insha ya maelezo. Kutathmini umuhimu wa maelezo. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana sehemu za insha ya maelezo. |
Insha ya maelezo
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 122-123
Kapu maneno Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 2 |
Majukumu ya Watoto
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua aina za insha za maelezo. Kutambua sifa za insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelekezo. Kufurahia kuandika insha ya maelezo. |
Mwanafunzi aweze kutambua aina za insha za maelezo.
Mwanafunzi aweze kutambua sifa za insha ya maelezo Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelekezo. |
Ni mambo gani huzingatiwa ili kuandika insha nzuri ya maelezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 123-124
Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 3 |
Majukumu ya Watoto
|
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutenda
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda. Kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda |
Je, vyombo vilivyooshwa vinawekwa wapi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 124-126
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
Majukumu ya Watoto
|
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendea
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea. Kutunga sentensi katika Kauli ya kutendea. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika Kauli ya kutendea |
Je, nani huwapikia chakula nyumbani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 126-127
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 127-128 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 1 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza habari atakayosomewa na mwalimu. Kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa kusafiri |
Mwanafunzi asikilize pamoja na mwenzako, habari atakayosomewa na mwalimu.
Mwanafunzi aweze kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari. |
Kwa nini unafaa kutambua hoja muhimu katika habari aliyoisikiliza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 129-130
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 2 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo. Kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu |
Unazingatia nini ili kusoma Makala kwa ufasaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 130-131
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 3 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano. Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Kusoma kifungu, |
Mwanafunzi aweze kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.
Mwanafunzi aweze kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu, |
Ni habari gani ambayo watu wanaweza kupashwa kupitia kwa Hotuba?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 130-131
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 4 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba. Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari. Kuchangamkia kuandika hotuba. |
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari |
Je, ni vigezo vipi utakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya masimulizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 132-133
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
Magonjwa Ambukuzi
|
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi sahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya sentensi sahili. Kutambua sentensi sahili kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi sahili kuhusu magonjwa ambukizi. Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi sahili
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi sahili kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi Mwanafunzi aweze kutunga sentensi sahili kuhusu magonjwa ambukizi. |
Ni aina gani za sentensi unazozijua?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 133-134
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 2 |
Magonjwa Ambukuzi
Utatuzi wa Mizozo |
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi ambatano
Kusikiliza na kuzungumza; Wahusika katika nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya sentensi ambatano. Kutambua sentensi ambatano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi ambatano kuhusu magonjwa ambukizi. Kuchangamkia matumizi ya sentensi ambatano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi ambatano.
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi ambatano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi ambatano kuhusu magonjwa ambukizi. |
Sentensi ambatano ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 134-135
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 137-139 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 3 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kusoma kwa kina- Mbinu za lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi. Kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika novela. Kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela. Kutathmini umuhimu wa mbinu za lugha. |
Wanafunzi kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Wanafunzi waweze kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika novela. Wanafunzi waweze kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 139-141
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 4 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutambua vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelezo. Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Wanafunzi kuandika insha ya maelezo. |
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 141-142
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya ukanushaji. Kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha nyakati tofauti katika kifungu alichokisoma. Kutathmini umuhimu wa ukanushaji. |
Wanafunzi kueleza maana ya ukanushaji.
Wanafunzi waweze kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha nyakati tofauti katika kifungu alichokisoma |
Kwa nini huwa tunakanusha Kauli?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 142-143
Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 2 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini. Kuonea fahari ukanushaji katika matini. |
Wanafunzi waweze kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini |
Tunakanusha sentensi kwa kuzingatia nyakati gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 143-144
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 3 |
Utatuzi wa Mizozo
|
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kugeuza sentensi ziwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita. Kutunga sentensi za hali ya kukanusha wakati uliopo. Kutathmini umuhimu wa Ukanushaji. |
Wanafunzi kugeuza sentensi ziwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita.
Wanafunzi kutunga sentensi za hali ya kukanusha wakati uliopo |
Kwa nini huwa tunakanusha Kauli?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 144-146
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 4 |
Matumizi ya pesa
|
Kusikiliza na kuzungumza; Lugha katika nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo. Kusikiliza wimbo aliounusa mwalimu kwenye kifaa cha kidijitali. Kujadiliana umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule. Kutathmini umuhimu wa nyimbo. |
Wanafunzi waweze kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo.
Wanafunzi kusikiliza wimbo aliounusa mwalimu kwenye kifaa cha kidijitali. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule. |
Je, umewahi kusikiliza wimbo gani?
Unaweza kutambua matumizi gani ya lugha katika wimbo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 147-149
Kapu maneno Chati Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 1 |
Matumizi ya pesa
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha mjadala
Kuandika; Insha ya maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 150
Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. |
Umewahi kusoma kifungu cha mjadala?
Je, ni mambo gani hukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 149-152
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 153-154 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 2 |
Matumizi ya pesa
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuchagua mada atakayoandikia insha ya maelezo. Kuandaa kisha kupanga vidokezo atakavyotumia kutoa maelekezo. Kuandika insha ya maelekezo. |
Mwanafunzi kuchagua mada atakayoandikia insha ya maelezo.
Mwanafunzi kuandaa kisha kupanga vidokezo atakavyotumia kutoa maelekezo |
Insha ya maelekezo ina umuhimu gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 154
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 3 |
Matumizi ya pesa
|
Sarufi; Ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya ukubwa wa nomino. Kusoma kifungu kisha kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa. Kuonea fahari ukubwa wa nomino. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukubwa wa nomino.
Mwanafunzi kusoma kifungu kisha kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa. |
Utatambuaje nomino katika hali ya Ukubwa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 155-156
Kapu maneno Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 4 |
Matumizi ya pesa
|
Sarufi; Ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa. Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa. |
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. |
Umegundua nini kuhusu viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 156-158
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here