Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

UFUNGUZI WA SHULE

1

MTIHANI WA UFUNGUZI WA MUHULA

2 1
UZALENDO

Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku

- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano (k.v. Umeamkaje? Umeshindaje? Safiri salama, mchana mwema, usiku mwema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi na maagano
- Kuigiza maamkuzi na maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya
- Kujadiliana na mzazi au mlezi wake maamkuzi na maagano kutoka kwa jamii yake
Je, unajua maamkuzi na maagano yapi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 2
- Chati za maamkuzi na maagano
- Kadi maneno
- Picha na michoro
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano - Kutumia maamkuzi na maagano ipasavyo katika mazungumzo - Igizo la maamkuzi na maagano - Kujadiliana kuhusu matumizi ya maamkuzi na maagano
2 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku

- Kushiriki katika mchezo wa kutaja maneno ya maamkuzi na majibu yake mwafaka
- Kusikiliza mazungumzo kutoka kwa kifaa cha kidijitali na kutambua maamkuzi na maagano
- Kuigiza mazungumzo yanayotumia maamkuzi na maagano
- Kulinganisha maamkuzi na maagano na majibu sahihi
- Kushiriki katika mchezo wa kufananisha maamkuzi na maagano na miktadha mbalimbali
- Kutaja maagano yanayofaa katika matukio mbalimbali
Je, maneno yapi hutumika kuamkuana na kuagana katika jamii yako?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 4
- Kadi zenye maamkuzi na maagano
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 5
- Picha na michoro ya watu wakiamkuana na kuagana
- Kutambua maamkuzi na maagano - Kutumia maamkuzi na maagano ipasavyo katika mazungumzo - Kulinganisha maamkuzi na maagano na majibu yake - Igizo la maamkuzi na maagano
2 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma

- Kusoma kifungu chepesi cha maneno 51-54 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. uzalendo, umoja, undugu, ushirikiano, upendo) akiwa na wenzake
- Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake
- Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake
- Kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa ili amtolee maoni
1. Je, unapenda kusoma hadithi za aina gani? 2. Je, ni mambo gani unayoweza kujifunza kutokana na hadithi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 6
- Vifungu vya hadithi
- Picha zinazohusu uzalendo
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 7
- Kifungu cha hadithi kuhusu uzalendo
- Kadi za maneno yanayohusiana na uzalendo
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 8
- Matini ya mwalimu
- Kutambua msamiati wa suala lengwa - Kueleza ujumbe wa kifungu - Kujibu maswali ya ufahamu - Kueleza mafunzo ya kifungu - Kutumia msamiati katika sentensi
2 4
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu
- Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu
- Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano

- Kutambua mambo mbalimbali yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu (k.v. muundo wa herufi, nafasi ifaayo kati ya maneno, nafasi zifaazo pambizoni, kutenganisha sentensi ifaavyo, usafi wa nakala) kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kunakili kifungu cha maneno yasiyozidi 30 kwa hati nadhifu kutoka kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 30 akizingatia hatua za uandishi (k.v. maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake
Unazingatia mambo gani unapoandika kifungu?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 9
- Chati za mifano ya hati nadhifu
- Vifaa vya kidijitali
- Karatasi za kuandikia
- Matini ya mwalimu
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 10
- Mifano ya vifungu visivyo na nafasi kati ya maneno
- Picha zinazohusu uzalendo
- Vifaa vya kuandikia
- Kunakili kifungu kwa hati nadhifu - Kuandika kifungu chake kwa kuzingatia mambo muhimu ya hati nadhifu - Kutambua mambo yanayozingatiwa katika hati nadhifu
3 1
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu
- Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu
- Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano

- Kutazama picha zinazohusu uzalendo na kujadiliana na wenzake kuhusu mambo anayoyaona
- Kuandika sentensi kuhusu picha akizingatia muundo wa herufi kubwa na ndogo
- Kujadiliana na wenzake kuhusu matumizi ya herufi kubwa na ndogo katika kuandika sentensi
- Kuandika kifungu cha maneno 25-30 kuhusu uzalendo akizingatia usafi wa nakala, nafasi kati ya maneno, na kutenganisha sentensi ifaavyo
- Kuhariri kazi yake akizingatia maoni ya wenzake
- Kuandika upya kazi yake kwa kuzingatia marekebisho
Je, kwa nini ni muhimu kuandika kwa hati nadhifu?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 11
- Picha zinazohusu uzalendo
- Karatasi za kuandikia
- Chati yenye mifano ya hati nadhifu
- Matini ya mwalimu
- Kuandika kifungu kwa kuzingatia herufi kubwa na ndogo - Kutumia nafasi ifaayo kati ya maneno - Kutenganisha sentensi ifaavyo - Kufanya marekebisho katika kazi
3 2
Sarufi
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi
- Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi
- Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano

- Kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu yeye na wao kutoka kwa mwalimu au kifaa cha kidijitali
- Kutambua neno yeye na wao kutoka kifungu alichokisikiliza
- Kusoma vifungu na kutambua neno yeye na wao akiwa na wenzake au katika kikundi
- Kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao
- Kutumia yeye na wao katika kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi k.m. Yeye anasoma - wao wanasoma
Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 12
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Picha na michoro
- Matini ya mwalimu
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 15
- Picha
- Kadi zenye maneno yeye na wao
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi - Kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao - Kutumia neno yeye na wao katika sentensi - Kutofautisha matumizi ya yeye na wao
3 3
Sarufi
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi
- Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi
- Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano

- Kusoma kifungu kinachotumia maneno yeye na wao
- Kupigia mstari maneno yeye na wao katika kifungu hicho
- Kujaza nafasi katika sentensi mbalimbali kwa kutumia yeye au wao
- Kuandika sentensi katika umoja (yeye) na kubadilisha ziwe katika wingi (wao)
- Kushiriki katika mchezo wa kutunga sentensi: Mmoja ataje jina la mtu au watu na mwingine aseme kama atatumia yeye au wao
- Kutumia maneno yeye na wao kwa usahihi katika mawasiliano ya kila siku
Je, sasa unaweza kutumia yeye na wao kwa usahihi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 17
- Vifungu vyenye maneno yeye na wao
- Kadi zenye sentensi
- Chati
- Matini ya mwalimu
- Kutambua maneno yeye na wao katika vifungu - Kujaza nafasi kwa kutumia yeye au wao - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi - Kutunga sentensi kwa kutumia yeye na wao
3 4
SHAMBANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Vokali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini
- Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi

- Kutambua vokali za Kiswahili (a, e, i, o, u) katika matini ya kutamkwa au kuandikwa
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili
- Kusikiliza vokali za Kiswahili zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali
- Kutambua vokali za Kiswahili katika kifungu kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kutamka vokali za Kiswahili ipasavyo na wenzake
Je, kwa nini ni muhimu kutambua sauti za lugha fulani?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 20
- Chati za herufi
- Kadi za vokali
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili - Kutofautisha vokali za Kiswahili - Kusikiliza na kutambua vokali
4 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Konsonanti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi

- Kutambua konsonanti za Kiswahili (b, ch, d, dh, f, g, gh, h, j, k, l, m, n, ng, ng', ny, p, r, s, sh, t, th, v, w, y, z) katika matini ya kutamkwa au kuandikwa
- Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili
- Kusikiliza konsonanti za Kiswahili zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kutambua konsonanti
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika kifungu kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kutamka konsonanti za Kiswahili ipasavyo na wenzake
Je, ni sauti zipi za Kiswahili zinazotamkwa kwa kutumia ulimi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 21
- Chati za herufi
- Kadi za konsonanti
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini - Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili - Kutofautisha konsonanti za Kiswahili - Kusikiliza na kutambua konsonanti
4 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vokali na konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo vokali na konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi

- Kutamka silabi zenye vokali na konsonanti za Kiswahili
- Kutambua vokali na konsonanti katika maneno ya shambani
- Kusikiliza kwa makini sentensi zenye maneno yenye vokali na konsonanti
- Kutamka maneno na sentensi akizingatia matamshi bora ya vokali na konsonanti
- Kujirekodi akitamka sauti za Kiswahili kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kujisikiliza pamoja na wenzake
- Kutamka sauti za Kiswahili ipasavyo na mzazi au mlezi ampe maoni yake
Je, utafanya nini ili kuboresha matamshi yako ya sauti za Kiswahili?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 24
- Alfabeti ya Kiswahili
- Picha za vifaa vya shambani
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 25
- Chati
- Vifungu vya kusoma
- Kutamka kwa usahihi vokali na konsonanti za Kiswahili - Kutofautisha vokali na konsonanti za Kiswahili - Kutambua vokali na konsonanti katika maneno - Kutumia matamshi bora katika mazungumzo
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma "Shamba letu" au kifungu kingine kuhusu shamba kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi inayofaa na ishara zifaazo
- Kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu alichosoma
- Kusoma maneno yenye sauti lengwa
- Kutathmini idadi ya maneno aliyosoma kwa dakika moja
- Kuwasomea wenzake maneno yenye sauti lengwa na kufanya zoezi la kutambua sauti hizo
- Kujadiliana na wenzake iwapo amesoma vizuri
Je, unaweza kutambua sauti gani katika maneno uliyosoma?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 26
- Kifungu "Shamba letu"
- Saa ya kupimia muda
- Kadi za maneno yenye sauti lengwa
- Vifaa vya kidijitali
- Kusoma kifungu kwa matamshi bora - Kusoma kwa kasi ifaayo - Kutambua sauti lengwa katika kifungu - Kusoma maneno yenye sauti lengwa
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu "Kazi ya shambani" kwa makini
- Kutathmini iwapo mwenzake amesoma kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu tena akizingatia matamshi bora, kasi inayofaa na kutumia ishara zinazofaa
- Kutafuta maneno yenye sauti lengwa /bw/, /fy/ na /kw/ katika kifungu hicho
- Kuandika orodha ya maneno yenye sauti lengwa katika daftari lake
- Kuwasomea wenzake maneno hayo
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho akizingatia yote aliyojifunza
Je, ni makosa gani yanayofanywa wakati wa kusoma?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 27
- Kifungu "Kazi ya shambani"
- Orodha hakiki ya vipengele vya kuzingatia wakati wa kusoma
- Matini ya mwalimu
- Kusoma kifungu kwa ufasaha - Kutambua sauti lengwa katika kifungu - Kuorodhesha maneno yenye sauti lengwa - Kutathmini usomaji wa wenzake
5 1
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano

- Kutazama mfano wa uendelezaji ufaao wa maumbo ya herufi kubwa kwenye kifaa cha kidijitali
- Kutambua herufi kubwa katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake
- Kunakili kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa
- Kuandika kifungu chenye maneno 25-30 akizingatia maumbo ya herufi kubwa ifaavyo akizingatia hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake
- Kumwonyesha mzazi au mlezi kifungu alichokiandika akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa ili akitolee maoni
Kwa nini tunatumia hati nadhifu katika uandishi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 27
- Chati zenye mifano ya herufi kubwa
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya vifungu vyenye herufi kubwa
- Matini ya mwalimu
- Kutambua herufi kubwa katika matini - Kunakili kifungu kwa kuzingatia mpangilio wa herufi kubwa - Kuandika kifungu akizingatia maumbo ya herufi kubwa ifaavyo - Kutofautisha herufi kubwa na ndogo
5 2
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano

- Kutambua herufi kubwa katika kifungu kilichoko kwenye kitabu au chati
- Kutofautisha kati ya herufi kubwa na ndogo katika silabi na maneno
- Kusoma kifungu kilichoandikwa vizuri kwa kuzingatia matumizi ya herufi kubwa
- Kujadiliana na wenzake kuhusu matumizi ya herufi kubwa katika kifungu
- Kuandika maneno yenye herufi kubwa na herufi ndogo
- Kushiriki katika zoezi la kutofautisha herufi kubwa na ndogo katika vifungu
Kwa nini tunatumia herufi kubwa katika uandishi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 28
- Chati ya alfabeti ya Kiswahili
- Kadi za herufi kubwa na ndogo
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua herufi kubwa katika matini - Kutofautisha herufi kubwa na ndogo - Kuandika maneno kwa kuzingatia herufi kubwa na ndogo
5 3
Kuandika
Sarufi
Hati Nadhifu
Umoja na Wingi wa Sentensi: Umoja wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano

- Kutazama picha inayoonyesha shamba
- Kuandika sentensi kuhusu picha hiyo akizingatia matumizi ya herufi kubwa mwanzoni mwa sentensi na katika majina mahususi
- Kunakili kifungu kutoka kwenye kitabu akizingatia matumizi ya herufi kubwa
- Kurekebisha kifungu kilichoandikwa bila kuzingatia matumizi ya herufi kubwa
- Kuandika kifungu chake mwenyewe kuhusu shambani akizingatia matumizi ya herufi kubwa ipasavyo
- Kuwasomea wenzake kifungu chake ili wakitolee maoni
Je, ni wakati gani tunatumia herufi kubwa katika uandishi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 29
- Picha ya shamba
- Mifano ya vifungu vyenye herufi kubwa
- Karatasi za kuandikia
- Matini ya mwalimu
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 30
- Chati zenye sentensi katika umoja
- Picha za vitu katika hali ya umoja
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua matumizi ya herufi kubwa - Kurekebisha kifungu kisicho na herufi kubwa - Kuandika kifungu chake akitumia herufi kubwa ipasavyo - Kutathimini kazi za wenzake
5 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi: Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika wingi
- Kutunga sentensi katika wingi
- Kuchangamkia kutumia wingi katika sentensi

- Kusoma sentensi katika wingi akishirikiana na wenzake
- Kutambua sentensi katika wingi kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali
- Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi katika wingi akiwa na mwenzake
- Kushiriki katika mchezo wa kusoma sentensi katika wingi na mwenzake
- Kuandika wingi wa sentensi akiwa na wenzake
- Kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi alizoandika katika wingi ili azitolee maoni
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika wingi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 32
- Chati zenye sentensi katika wingi
- Picha za vitu katika hali ya wingi
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua sentensi katika wingi - Kujaza nafasi kwa kutumia maneno yanayofaa - Kuandika sentensi katika wingi - Kutumia sentensi katika wingi kwa kujieleza ipasavyo
6 1
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Umoja na Wingi wa Sentensi
Maneno ya Heshima na Adabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kulinganisha sentensi zilizo katika umoja na wingi kwenye jedwali
- Kubadilisha sentensi zilizo katika umoja ziwe katika wingi
- Kubadilisha sentensi zilizo katika wingi ziwe katika umoja
- Kushiriki katika mchezo wa kutunga sentensi: mmoja atunga sentensi katika umoja, wengine waibadilishe iwe katika wingi
- Kutunga sentensi zake mwenyewe katika umoja na wingi
- Kuzungumza na mzazi au mlezi wake akitumia sentensi katika hali ya umoja na wingi ipasavyo
Je, sasa unaweza kutambua sentensi zilizo katika umoja na wingi?
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 34
- Jedwali la kulinganisha sentensi katika umoja na wingi
- Kadi za sentensi
- Vifaa vya kidijitali
- Picha za vitu katika umoja na wingi
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 36
Kadi maneno
Rekodi ya mazungumzo
Kifaa cha kidijitali
- Kulinganisha sentensi katika umoja na wingi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake - Kutunga sentensi katika umoja na wingi - Kutumia sentensi katika umoja na wingi katika mazungumzo
6 2
MIEZI YA MWAKA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maneno ya Heshima na Adabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutambua maneno ya adabu katika matini
- Kutumia maneno ya adabu katika mawasiliano
- Kuthamini matumizi ya maneno ya adabu katika mawasiliano ya kila siku

- Kutazama picha zinazoonyesha matumizi ya maneno ya adabu
- Kutambua maneno ya adabu kutoka kwenye picha
- Kujadiliana na wenzake kuhusu matumizi ya maneno ya adabu
- Kuigiza mazungumzo yanayotumia maneno ya adabu
- Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu maneno ya adabu
Je, ni kwa nini tunatumia maneno ya adabu?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 37
Chati ya maneno ya heshima na adabu
Rekodi ya mazungumzo
Kadi maneno
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 38
Sentensi zenye maneno ya heshima na adabu
Kifaa cha kidijitali
Kutambua maneno ya adabu Kujibu maswali Igizo za mazungumzo Maigizo
6 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutambua msamiati kuhusu miezi ya mwaka katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu

- Kutaja majina ya miezi ya mwaka kutoka kwenye kadi za maneno
- Kusoma kifungu chepesi kuhusu ratiba ya shule
- Kujadili kuhusu miezi ya mwaka yanayotajwa katika kifungu
- Kujibu maswali yanayohusiana na kifungu
Je, unapenda kusoma hadithi za aina gani?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 38
Kadi za maneno ya miezi ya mwaka
Kifaa cha kidijitali
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 39
Picha
Kifungu cha ufahamu "Kiangazi"
Orodha ya maswali
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 40
Karatasi ya kuandikia sentensi
Kutambua miezi ya mwaka Kujibu maswali Kusimulia tena Kutabiri
6 4
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu
- Kuandika herufi ndogo ipasavyo
- Kufurahia kuandika herufi ndogo kwa usahihi

- Kutazama herufi ndogo na kubwa
- Kutambua herufi ndogo kati ya herufi mbalimbali
- Kutaja maneno yenye herufi ndogo pekee
- Kuandika herufi ndogo hewani na kwenye daftari kwa mwandiko mzuri
Je, unazingatia mambo gani unapoandika herufi ndogo ifaavyo?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 43
Kadi za herufi
Mifano ya herufi ndogo
Karatasi za kuandikia
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 44
Jedwali la herufi kubwa na ndogo
Kifungu cha kunakili
Kuandika herufi ndogo Kutambua herufi ndogo Tathmini ya maandishi Kujadili
7

MTIHANI WA KATI YA MUHULA

8

MAPUMZIKO YA KATIKATI YA MUHULA

9 1
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutumia herufi ndogo kuandika kifungu
- Kupanga mawazo ya kuandika kifungu
- Kurekebisha makosa katika kifungu kilichoandikwa

- Kuandika kifungu cha maneno 45-55 kuhusu miezi ya mwaka
- Kufuata hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi)
- Kusoma kifungu alichoandika ili kuona kama kina makosa
- Kuwasilisha kifungu kwa wenzake ili waitolee maoni
Unazingatia nini unapoandika kifungu?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 45
Mfano wa kifungu
Karatasi za kuandikia
Orodha ya mambo ya kuzingatia
Kuandika kifungu Ufahamu wa herufi ndogo Tathmini ya wenzake Urekebishaji
9 2
Sarufi
Matumizi ya neno yule na wale
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutambua matumizi ya neno yule katika kifungu
- Kutumia neno yule ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia matumizi ya neno yule katika mawasiliano

- Kutazama picha na kusoma maneno yanayotumiwa na watoto
- Kutambua matumizi ya neno "yule" katika sentensi
- Kusikiliza kifungu chenye neno "yule"
- Kuandika sentensi zenye neno "yule"
- Kupiga mstari neno "yule" katika sentensi
Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na neno "yule"?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 46
Picha
Sentensi zenye neno "yule"
Kifungu cha kusoma
Rekodi ya maneno
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 48
Shairi lenye neno "wale"
Sentensi zenye neno "wale"
Kutambua neno "yule" Kujibu maswali Kuandika sentensi Kupiga mstari
9 3
Sarufi
Matumizi ya neno yule na wale
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kulinganisha matumizi ya neno yule na wale katika sentensi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
- Kutumia neno yule na wale katika mawasiliano

- Kulinganisha umoja na wingi wa sentensi zenye neno "yule" na "wale"
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia neno "yule" au "wale"
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
- Kucheza mchezo wa kutunga sentensi kwa kutumia "yule" na "wale"
Je, unaweza vipi kutofautisha matumizi ya "yule" na "wale"?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 50
Jedwali la umoja na wingi
Sentensi za kujaza nafasi
Sentensi za kubadilisha
Kulinganisha "yule" na "wale" Kujaza nafasi Kubadilisha umoja na wingi Mchezo wa kutunga sentensi
9 4
KAZI MBALIMBALI

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutazama picha na kutamka maneno yaliyo chini ya picha
- Kuonyesha herufi py, vy na sh kwenye maneno hayo
- Kusikiliza rekodi ya sauti py, vy na sh na kuzitamka
- Kutaja maneno yenye sauti py, vy na sh
Je, matamshi bora hufanikisha vipi mawasiliano?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 53
Picha
Rekodi ya sauti py, vy, sh
Herufi py, vy, sh
Maneno yenye sauti lengwa
Kutamka sauti py, vy, sh Kutambua sauti lengwa Kutaja maneno yenye sauti Tathmini ya matamshi
10 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano
- Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutamka silabi zenye sauti py, vy na sh
- Kusikiliza na kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh
- Kutaja silabi zenye sauti py, vy na sh katika maneno husika
- Kusikiliza kifungu na kutaja silabi zenye sauti py, vy na sh
Je, ni kwa nini tunahitaji kutamka maneno vizuri?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 54
Orodha ya silabi na maneno
Kifungu cha kusoma
Rekodi ya silabi na maneno
Kutamka silabi na maneno Kutambua silabi lengwa Kutaja silabi lengwa Tathmini ya matamshi
10 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti lengwa
- Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano

- Kusikiliza rekodi ya maneno kwenye kifaa cha kidijitali
- Kutamka maneno yaliyosikilizwa kwa usahihi
- Kusikiliza na kutambua maneno yenye sauti py, vy na sh kutoka kwenye kifungu
- Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti py, vy na sh kwa usahihi
Je, ni kwa nini ni muhimu kutamka maneno kwa usahihi?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 55
Rekodi ya maneno
Kifungu cha kusoma
Orodha ya maneno
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 56
Picha
Kifungu "Ukulima bora"
Orodha ya sauti lengwa
Kutamka maneno Kutambua silabi lengwa Kusoma kifungu Tathmini ya usomaji
10 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu "Viwanda vyetu" kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu huku akitumia ishara zifaazo
- Kutambua na kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh kwenye kifungu
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi
Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa ufasaha?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 57
Kifungu "Viwanda vyetu"
Orodha ya maneno yenye sauti lengwa
Kusoma kwa kasi ifaayo Kusoma kwa ishara zifaazo Kutambua maneno ya sauti lengwa Tathmini ya usomaji
10 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kusoma kwa kuzingatia kasi ifaayo, sauti inayosikika na ishara zifaazo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa ufasaha
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kutazama kifungu cha kifungu cha hadithi
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kutathmini usomaji wake na kurudia kusoma kifungu ili kuimarisha stadi ya usomaji
Je, unazingatia mambo gani ili kusoma kwa ufasaha?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 58
Kifungu cha hadithi
Orodha ya mambo ya kuzingatia wakati wa kusoma
Kusoma kwa ufasaha Kutathmini usomaji Kujadili mbinu za kuimarisha usomaji Tathmini ya wenzake
11 1
Kuandika
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya
- Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya

- Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya
- Kunakili kifungu akizingatia pambizo na mwanzo wa kila aya
- Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika
- Kujadili kama amezingatia nafasi ya pambizo na aya
Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 59
Kifungu cha kunakili
Karatasi za kuandika
Orodha ya mambo ya kuzingatia
Kunakili kifungu Kuzingatia pambizo Kuzingatia aya Tathmini ya wenzake
11 2
Kuandika
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya
- Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya

- Kunakili kifungu kingine akizingatia pambizo na mwanzo wa kila aya
- Kusahihisha kifungu chake kuhakikisha kila herufi, neno na sentensi zimeandikwa kwa usahihi
- Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika
- Kurekebisha makosa yaliyotambuliwa
Unazingatia mambo gani katika uandishi?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 60
Kifungu cha kunakili
Karatasi za kuandika
Mfano wa kifungu kilichoandikwa vizuri
Kunakili kifungu Kuzingatia pambizo Kusahihisha makosa Kurekebisha kifungu
11 3
Kuandika
Sarufi
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kupanga mawazo ya kuandika kifungu
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya
- Kurekebisha makosa katika kifungu kilichoandikwa

- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 kuhusu Kazi Aliyopendayo
- Kufikiria kuhusu yale ambayo atayaandika kwenye kifungu chake
- Kuzingatia nafasi ya pambizo na mwanzo wa kila aya
- Kuwapa wenzake kifungu alichoandika ili waitolee maoni
Je, ni kazi gani unayopenda kufanya zaidi?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 60
Karatasi za kuandika
Mfano wa kifungu kilichoandikwa vizuri
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 61
Picha na sentensi
Orodha ya sentensi za kusoma
Vifaa vya kidijitali
Kuandika kifungu Kuzingatia pambizo Kuzingatia aya Tathmini ya wenzake
11 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
- Kutambua sentensi katika umoja
- Kutunga sentensi katika umoja
- Kuchangamkia kutumia umoja katika sentensi

- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia maneno yanayoonyesha umoja
- Kuandika sentensi katika umoja kwa kutumia maneno aliyopewa
- Kutunga sentensi katika umoja
- Kuwasilisha sentensi alizopewa na wenzake watambue sentensi za umoja
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja?
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 62
Sentensi za kujaza nafasi
Orodha ya maneno ya kutunga sentensi
Karatasi za kuandikia
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 63
Picha na sentensi
Orodha ya sentensi za kusoma
Vifaa vya kidijitali
Kujaza nafasi Kuandika sentensi za umoja Kutunga sentensi za umoja Tathmini ya wenzake
12

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

13

KUFUNGA SHULE


Your Name Comes Here


Download

Feedback