If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 11 | 1-4 |
UZALENDO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi na maagano. - Kuigiza maamkuzi na maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya. |
Unajua maamkuzi gani?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 2
Picha za maamkuzi Chati za maamkuzi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua maamkuzi mbalimbali
Kuigiza maamkuzi
Kutumia maamkuzi ipasavyo
|
|
| 11 |
Week 8 |
||||||||
| 12 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma |
Maamkuzi na Maagano
Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maagano (k.v. Safiri salama, mchana mwema, usiku mwema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro. - Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maagano. - Kuigiza maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya. |
Unajua maagano gani?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 4
Picha za maagano Chati za maagano Vifaa vya kidijitali Stadi za Kiswahili Moran, uk. 5 Chati za maamkuzi na maagano Stadi za Kiswahili Moran, uk. 7 Picha Hadithi ya "Uzalendo Wetu" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 8 Hadithi ya "Neema na wavulana wawili" |
Kutambua maagano mbalimbali
Kuigiza maagano
Kutumia maagano ipasavyo
|
|
| 12 | 2 |
Kusoma
Kuandika Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusoma kwa Ufahamu
Hati Nadhifu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Matumizi ya yeye na wao Matumizi ya yeye na wao Matumizi ya yeye na wao Matamshi Bora |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake. - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa. - Tumia kifaa cha kidijitali kusoma hadithi inayohusu uzalendo. |
Umejifunza nini kutokana na hadithi ya uzalendo?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 9
Vifaa vya kidijitali Hadithi za uzalendo Stadi za Kiswahili Moran, uk. 10 Chati ya hati nadhifu Kifungu cha "Kijiji changu" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 11 Stadi za Kiswahili Moran, uk. 12 Stadi za Kiswahili Moran, uk. 14 Picha zinazoonyesha yeye na wao Stadi za Kiswahili Moran, uk. 15 Picha Kadi maneno Stadi za Kiswahili Moran, uk. 16 Picha mbalimbali Matini ya mwalimu Stadi za Kiswahili Moran, uk. 18 Chati ya vokali |
Kueleza mafunzo kutoka kwa hadithi
Kusoma kwa ufasaha
Kuwasilisha mawazo kwa umakinifu
|
|
| 12 | 3 |
SHAMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha Hati Nadhifu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Umoja na Wingi wa Sentensi Umoja na Wingi wa Sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini. - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini. - Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini. - Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini. - Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi. |
- Kusikiliza vokali za Kiswahili (a, e, i, o, u) zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kutambua vokali. - Kutambua vokali za Kiswahili katika kifungu kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kutamka maneno, sentensi au kifungu chenye sauti za Kiswahili akiwa na wenzake. |
Je, unajua kutamka sauti gani za Kiswahili?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 19
Chati ya konsonanti Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Stadi za Kiswahili Moran, uk. 21 Chati za sauti za Kiswahili Stadi za Kiswahili Moran, uk. 23 Vitabu vya hadithi Chati za silabi na maneno Stadi za Kiswahili Moran, uk. 24 Hadithi ya "Bwana Komu" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 25 Hadithi kuhusu shambani Stadi za Kiswahili Moran, uk. 26 Chati za herufi kubwa Kifungu cha "Pato na Kaleki" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 28 Kifungu cha "Reki ya jirani" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 29 Karatasi ya kuandikia Stadi za Kiswahili Moran, uk. 30 Picha zinazoonyesha umoja na wingi Chati za sentensi katika umoja na wingi Stadi za Kiswahili Moran, uk. 32 Kadi zenye sentensi za umoja na wingi |
Kutamka vokali na maneno zenye vokali
Kubaini vokali katika maneno
Kutamka sentensi zenye vokali mbalimbali
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi Sarufi |
Umoja na Wingi wa Sentensi
Maneno ya Heshima na Adabu Maneno ya Heshima na Adabu Maneno ya Heshima na Adabu Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Matumizi ya neno yule na wale Matumizi ya neno yule na wale Matumizi ya neno yule na wale |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi. - Kutunga sentensi katika umoja na wingi. - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi. |
- Kuwasiliana na mzazi au mlezi akitumia sentensi katika hali ya umoja na wingi ipasavyo. - Shirikiana na wenzako kutunga sentensi katika umoja na wingi. - Msomee mzazi au mlezi wako sentensi ambazo uliandika katika umoja na wingi. |
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno mimi na sisi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 33
Karatasi za kuandikia Vifaa vya kidijitali Stadi za Kiswahili Moran, uk. 34 Picha za matumizi ya maneno ya heshima na adabu Stadi za Kiswahili Moran, uk. 36 Picha za heshima na adabu Stadi za Kiswahili Moran, uk. 37 Kadi za maneno ya heshima na adabu Sentensi za kukamilisha Stadi za Kiswahili Moran, uk. 38 Wimbo wa miezi ya mwaka Kifungu cha "Miezi kumi na miwili" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 39 Picha za kupendekeza hadithi Kifungu cha "Shamba letu" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 40 Stadi za Kiswahili Moran, uk. 42 Chati ya herufi ndogo Kifungu cha "Sherehe za Jamhuri" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 44 Kifungu cha "JANUARI HADI JULAI" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 45 Stadi za Kiswahili Moran, uk. 46 Picha zinazoonyesha yule na wale Kifungu kinachotumia yule na wale Stadi za Kiswahili Moran, uk. 47 Picha za watu na vitu mbalimbali Kadi maneno Stadi za Kiswahili Moran, uk. 48 Kadi zenye majina ya watu na vitu |
Kutumia umoja na wingi wa sentensi katika mawasiliano
Kutunga sentensi kwa kuzingatia umoja na wingi
Kusahihisha makosa katika sentensi
|
|
Your Name Comes Here