Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 3
UZALENDO

Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maamkuzi mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kutumia ipasavyo maamkuzi mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kuthamini matumizi ya maamkuzi katika mawasiliano ya kila siku
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi (k.v. Umeamkaje? Umeshindaje? Safiri salama, mchana mwema, usiku mwema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi
- Kuigiza maamkuzi ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya
- Kujadiliana na mzazi au mlezi wake maamkuzi kutoka kwa jamii yake
Je, unajua maamkuzi na maagano yapi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 1
- Chati
- Kadi maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Picha
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
1 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusoma
Maamkuzi na Maagano
Kusoma kwa Ufahamu
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maamkuzi mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kutumia ipasavyo maamkuzi mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kuthamini matumizi ya maamkuzi katika mawasiliano ya kila siku
- Kutambua maamkuzi kutoka kwenye kadi za maneno
- Kuigiza maamkuzi aliyotambua katika nambari ya 1
- Kutoa majibu ya maamkuzi kama "Habari yako?", "Waambaje?", "Umeshindaje?", "Umeamkaje?", "Habari ya mchana?"
- Kujaza nafasi kwa maamkuzi sahihi
Je, unajua maamkuzi na maagano yapi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 2
- Kadi maneno
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 3
- Picha
- Mentor Kielekezi cha uk. 10
- Kifungu cha hadithi
- Mentor Kielekezi cha uk. 11
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Zoezi la kuandika
2 1
Kusoma
Kuandika
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Hati Nadhifu
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua msamiati kuhusu uzalendo katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
- Kutafuta maneno yanayohusiana na uzalendo kutoka kifungu walichosoma (k.m. uzalendo, umoja, undugu, amani, upendo)
- Kutumia maneno hayo kutunga sentensi
- Kusoma sentensi walizotunga kwa sauti
- Kumsomea mzazi au mlezi sentensi walizotunga kuhusu uzalendo
Je, unaweza kujifunza nini kutokana na hadithi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 12
- Kifungu cha hadithi
- Orodha ya msamiati
- Madaftari
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 13
- Vifungu vya kunakili
- Madaftari
- Chati
- Kutunga sentensi - Kusoma kwa sauti - Zoezi la kuandika
2 2
Kuandika
Sarufi
Hati Nadhifu
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu
- Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu
- Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 30 akizingatia hatua za uandishi (k.v. maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake
- Kuwasilisha kazi yake kwa mwalimu kwa ajili ya tathmini
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichoandika
Unazingatia mambo gani unapoandika kifungu?
- Mentor Kielekezi cha uk. 13
- Madaftari
- Miongozo ya uandishi
- Mentor Kielekezi cha uk. 14
- Vifaa vya kidijitali
- Vifungu vyenye maneno yeye na wao
- Picha
- Kazi ya kuandika - Usomaji kwa sauti - Tathmini ya mwalimu
2 3
Sarufi
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi
- Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi
- Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano
- Kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao
- Kutumia yeye na wao katika kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi k.v. Yeye anasoma - wao wanasoma
- Kutunga sentensi akitumia yeye na wao
Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 15
- Zoezi la kujaza mapengo
- Mifano ya sentensi
- Picha
- Mentor Kielekezi cha uk. 16
- Kifungu cha kusoma
- Madaftari
- Michoro/picha
- Zoezi la kuandika - Igizo - Kutunga sentensi
2 4
SHAMBANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini
- Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano
- Kutazama na kutambua herufi za vokali (a, e, i, o, u) kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali
- Kupiga mstari vokali katika herufi zilizoandikwa
- Kutamka vokali kwa ufasaha
- Kusikiliza mwalimu akitamka vokali na kurudia baada yake
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
- Mentor Kielekezi cha uk. 18
- Chati ya herufi
- Kadi za vokali
- Vifaa vya kidijitali
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Utamkaji wa vokali
3 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano
- Kutazama herufi za konsonanti (b, ch, d, dh, f, g, gh, h, j, k, l, m, n, p, r, s, sh, t, th, v, w, y, z) kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali
- Kupiga mstari konsonanti katika herufi zilizoandikwa
- Kutamka konsonanti kwa ufasaha
- Kusikiliza mwalimu akitamka konsonanti na kurudia baada yake
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
- Mentor Kielekezi cha uk. 19
- Chati ya herufi
- Kadi za konsonanti
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 20-21
- Kifungu cha kusoma
- Vifaa vya kurekodi
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Utamkaji wa konsonanti
3 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sauti lengwa (/bw/, /fy/, /kw/) katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
- Kusoma kifungu "Shamba la Bwana Talwa"
- Kutamka maneno yote vizuri
- Kutambua maneno yenye sauti lengwa /bw/, /fy/ na /kw/ katika kifungu
- Kuorodhesha maneno yenye sauti hizo
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 22
- Kifungu cha hadithi
- Orodha ya maneno yenye sauti lengwa
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 23
- Saa/kifaa cha kupima muda
- Usomaji wa kifungu - Utambuzi wa maneno - Orodha ya maneno
3 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
- Kujadili na kuonyesha ishara mbalimbali zinazotumiwa wakati wa kusoma na kuzungumza
- Kusoma kifungu "Shamba Letu" kwa kutumia ishara za uso na mikono
- Kutoleana maoni kuhusu matumizi ya ishara wakati wa kusoma
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 24
- Kifungu cha hadithi
- Picha zinazoonyesha ishara mbalimbali
- Usomaji wa kifungu - Matumizi ya ishara - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
3 4
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kuandika herufi kubwa ipasavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano
- Kutazama herufi mbalimbali na kupiga mstari herufi kubwa
- Kuandika herufi kubwa katika madaftari
- Kusoma kifungu na kupiga mstari herufi kubwa
- Kujadili ni wakati gani tunatumia herufi kubwa
Kwa nini ni muhimu kuandika herufi kubwa ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 26
- Chati ya herufi
- Kifungu chenye herufi kubwa
- Madaftari
- Mentor Kielekezi cha uk. 27
- Kadi za maneno
- Sentensi zenye herufi kubwa
- Kupiga mstari herufi kubwa - Kuandika herufi kubwa - Maswali ya mdomo
4 1
Kuandika
Sarufi
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano
- Kunakili kifungu chenye herufi kubwa kutoka kitabuni
- Kuandika kifungu kifupi kwa kutumia herufi kubwa ifaavyo
- Kusoma na kusahihisha kifungu alichoandika
- Kuonyesha na kuwasilisha kifungu chake kwa mwenzake ili akitolee maoni
Kwa nini ni muhimu kuandika herufi kubwa ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 28
- Kifungu cha kunakili
- Madaftari
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 29
- Picha za vitendo
- Sentensi katika umoja na wingi
- Chati
- Kunakili kifungu - Kuandika kifungu - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
4 2
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi
- Kusoma sentensi na kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi katika umoja na wingi
- Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi aliyopewa
- Kushiriki katika mchezo wa kusoma sentensi katika umoja na mwenzake
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 30
- Sentensi katika umoja na wingi
- Zoezi la kukamilisha sentensi
- Zoezi la kuambatanisha
- Zoezi la kuandika - Mchezo wa kusoma - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
4 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Umoja na Wingi wa Sentensi
Maneno ya Heshima na Adabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kusomeana sentensi hizo
- Kutoleana maoni kuhusu sentensi walizotunga
- Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga katika umoja na wingi
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 31
- Madaftari
- Kadi za maneno
- Mifano ya sentensi
- Mentor Kielekezi cha uk. 34
- Picha
- Michoro
- Video
- Vifaa vya kidijitali
- Kutunga sentensi - Kusoma kwa sauti - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
4 4
MIEZI YA MWAKA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maneno ya Heshima na Adabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maneno ya heshima na adabu katika matini
- Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano
- Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano
- Kuigiza mazungumzo yanayoonyesha matumizi ya maneno ya heshima na adabu akishirikiana na wenzake
- Kujadili na wenzake kwa nini ni muhimu kutumia maneno ya heshima na adabu
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia maneno ya heshima na adabu
Je, ni kwa nini tunatumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano?
- Mentor Kielekezi cha uk. 35
- Maigizo
- Zoezi la kujaza nafasi
- Picha
- Mentor Kielekezi cha uk. 36
- Orodha ya maneno ya heshima na adabu
- Igizo - Zoezi la kuandika - Maswali ya mdomo
5 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua msamiati kuhusu miezi ya mwaka katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
- Kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu majina ya miezi ya mwaka kwenye kifaa cha kidijitali
- Kutaja majina ya miezi ya mwaka akiwa na wenzake
- Kuimba nyimbo kuhusu majina ya miezi akiwa na wenzake
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno 55-60 na kutambua msamiati wa miezi ya mwaka (k.v. Januari, Februari, Machi, Aprili, Mei, Juni, Julai, Agosti, Septemba, Oktoba, Novemba, Disemba)
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 37
- Nyimbo za miezi ya mwaka
- Vifaa vya kidijitali
- Kifungu cha ufahamu
- Uchunguzi - Utambuzi wa msamiati - Maswali ya mdomo
5 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua msamiati kuhusu miezi ya mwaka katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
- Kusoma kifungu chepesi "Mbuzi Wetu"
- Kutambua miezi ya mwaka yaliyotajwa katika kifungu hicho
- Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake
- Kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 38
- Kifungu cha hadithi
- Picha
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 39
- Maigizo
- Orodha ya miezi ya mwaka
- Kusoma kwa sauti - Utambuzi wa miezi - Kutabiri kitakachotokea
5 3
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Ndogo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu
- Kuandika herufi ndogo ipasavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo
- Kutazama mfano wa uendelezaji ufaao wa maumbo ya herufi ndogo kwenye kifaa cha kidijitali
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ifaavyo katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali n.k. akiwa na wenzake
- Kupiga mstari herufi ndogo kwenye kifungu kilichotolewa
- Kuandika herufi ndogo mbalimbali katika madaftari
Je, unazingatia mambo gani unapoandika herufi ndogo ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 40
- Chati ya herufi ndogo
- Kifungu chenye herufi ndogo
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 41
- Orodha ya maneno
- Sentensi za kuandika
- Madaftari
- Kupiga mstari herufi ndogo - Kuandika herufi ndogo - Uchunguzi
5 4
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Ndogo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu
- Kuandika kifungu akitumia herufi ndogo ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo
- Kunakili kifungu akizingatia mwendelezo ufaao wa herufi ndogo
- Kuandika kifungu chenye maneno 55-60 akizingatia maumbo ya herufi ndogo ifaavyo akizingatia hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake
- Kushirikiana na wenzake kuandika kifungu kifupi akizingatia mwendelezo ufaao wa herufi ndogo
- Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika
Je, unazingatia mambo gani unapoandika herufi ndogo ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 42
- Kifungu cha kunakili
- Mwongozo wa hatua za uandishi
- Madaftari
- Kunakili kifungu - Kuandika kifungu - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
6 1
Sarufi
Matumizi ya yule na wale
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matumizi ya neno yule na wale katika kifungu
- Kutumia neno yule na wale katika sentensi
- Kuchangamkia matumizi ya yule na wale katika mawasiliano
- Kutazama picha zinazoonyesha matumizi ya yule na wale
- Kusoma sentensi zilizo chini ya picha hizo
- Kupiga mstari neno yule katika picha ya kwanza
- Kupiga mstari neno wale katika picha ya pili
- Kujadili matumizi ya maneno yule na wale katika sentensi
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno yule na wale?
- Mentor Kielekezi cha uk. 43
- Picha
- Sentensi zenye maneno yule na wale
- Chati
- Mentor Kielekezi cha uk. 44
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Kifungu au wimbo
- Sentensi zenye maneno yule na wale
- Upigaji mstari maneno yule na wale - Maswali ya mdomo - Uchunguzi
6 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya yule na wale
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matumizi ya neno yule na wale katika kifungu
- Kutumia neno yule na wale katika sentensi
- Kuchangamkia matumizi ya yule na wale katika mawasiliano
- Kuigiza vitendo vya kuwaashiria watu mbalimbali kwa kutumia neno yule na wale akiwa na wenzake
- Kuandika sentensi akitumia yule na wale (k.v Mtoto yule anacheza - watoto wale wanacheza) na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni
- Kujaza nafasi ili akamilishe sentensi akitumia yule na wale
- Kumsomea mzazi au mlezi kazi aliyoandika kuhusu matumizi ya yule na wale
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno yule na wale?
- Mentor Kielekezi cha uk. 45-46
- Maigizo
- Zoezi la kujaza nafasi
- Madaftari
Mentor uk. 48
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Chati
Mti maneno
Mentor uk. 50
Sauti za kurekodi
Vifaa vya kidijitali
Picha
- Maigizo - Kuandika sentensi - Zoezi la kujaza nafasi
6 3
KAZI MBALIMBALI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusoma
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kusoma kwa Ufasaha
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti py, vy na sh
- Kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano ya kila siku
Je, kwa nini ni muhimu kutamka maneno vizuri tunapozungumza?
Mentor uk. 52
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Matini
Mentor uk. 54
Vifaa vya kidijitali
Chati
Matini ya mwalimu
Mentor uk. 55
Picha
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno yenye sauti py, vy na sh Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa kwa matamshi bora
6 4
Kusoma
Kuandika
Kuandika
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti py, vy na sh kwa ufasaha
- Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha
- Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake
- Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
Je, ni mambo gani unayozingatia unaposoma kifungu?
Mentor uk. 56
Kifaa cha kidijitali
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kadi
Mentor uk. 57
Vifungu mbalimbali
Mentor uk. 59
Vitabu vyenye vifungu
Karatasi
Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma Kusoma kwa kasi ifaayo
7 1
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
Je, kwa nini unahitaji kutaja vitu katika hali ya umoja na wingi?
Mentor uk. 59
Chati yenye sentensi za umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua sentensi katika umoja na wingi Kujaza nafasi kwa kutumia umoja au wingi wa sentensi
7 2
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi alizopewa kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kuigiza michezo inayohusisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
Mentor uk. 60
Kadi za sentensi za umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Mentor uk. 61
Kadi zenye sentensi za umoja na wingi
Picha
Kuambatanisha sentensi za umoja na wingi Kutunga sentensi katika umoja na wingi
7 3
USALAMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza
- Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza
- Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza
- Kuchangamkia kusikiliza kifungu

- Kusikiliza kifungu cha maneno 60-65 kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali ili kutambua ujumbe unaowasilishwa
- Kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza akiwa na wenzake
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati aliousikiliza uliotumika kwenye kifungu
- Kujibu maswali yanayohusiana na kifungu alichosikiliza
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?
Mentor uk. 64
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kadi maneno
Matini ya mwalimu
Mentor uk. 65
Picha kuhusu usalama
Kutambua ujumbe wa kifungu Kuuliza na kujibu maswali Orodha hakiki Kueleza Kushiriki mjadala
7 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza
- Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza
- Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza
- Kuchangamkia kusikiliza kifungu

- Elezeni ujumbe wa kifungu mlichosikiliza katika Shughuli ya 1
- Andikeni maneno mapya mliyopata kwenye kifungu hicho
- Elezeni maana ya maneno hayo
- Tungeni sentensi mkitumia maneno mliyoandika
- Simulia mwenzako kifungu mlichosikiliza
Je, ni mambo gani ya usalama unayoweza kutambua katika mazingira yako?
Mentor uk. 65
Vifaa vya kidijitali
Chati
Picha zinazohusiana na usalama
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno mapya Kusimulia kifungu kwa ufasaha
8

Midterm

9 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
- Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari

- Sikilizeni shairi kwenye kifaa cha kidijitali
- Elezeni shairi linahusu nini
- Jadilini hatari zinazoweza kutokea nyumbani au shuleni
- Tazameni picha na kutabiri maudhui ya kifungu mtakachosoma
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu simulizi kwa usahihi?
Mentor uk. 66
Picha
Michoro
Vifaa vya kidijitali
Mentor uk. 67
Matini ya mwalimu
Kusoma kwa kutambua habari mahususi Kujibu maswali Kupanga matukio kwa mtiririko sahihi Kufanya tathmini
9 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Matumizi ya Kiulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
- Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari

- Tambua msamiati mpya katika kifungu ulichosoma
- Tumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi
- Eleza mafunzo yanayopatikana kutokana na kifungu kuhusu usalama
- Jadili mbinu za kuzingatia usalama katika mazingira yako
Je, ni hatua gani unazoweza kuchukua ili kuhakikisha uko salama?
Mentor uk. 68
Kadi za maneno mapya
Picha zinazohusiana na usalama
Chati
Mentor uk. 69
Matini ya mwalimu
Kifaa cha kidijitali
Kadi zenye mifano ya matumizi ya kiulizi
Kutambua msamiati mpya Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya Kufanya tathmini ya maana ya msamiati
9 3
Kuandika
Matumizi ya Kiulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua alama ya kiulizi katika matini
- Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini
- Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali

- Tazama alama ya kiulizi kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali
- Eleza matumizi mbalimbali ya alama ya kiulizi katika matini
- Sahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama ya kiulizi ipasavyo
- Tunga sentensi au vifungu vifupi kuhusu usalama kwa kutumia alama ya kiulizi ipasavyo
Kwa nini tunahitaji kutumia alama ya kiulizi katika maandishi?
Mentor uk. 70
Mifano ya sentensi zenye alama ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Kueleza matumizi ya alama ya kiulizi Kusahihisha matumizi ya alama ya kiulizi Kuandika sentensi zenye alama za kiulizi
9 4
Kuandika
Sarufi
Matumizi ya Kiulizi
Matumizi ya -ake na -ao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua alama ya kiulizi katika matini
- Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini
- Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali

- Kuandika kifungu cha aya moja mkitumia alama ya kiulizi
- Kuwasomea wenzenu kifungu mlichoandika
- Kuwaombe watolee kifungu chenu maoni
- Kurekebisha makosa yenye matumizi ya alama ya kiulizi katika kifungu
Ni wakati gani tutahitaji kutumia alama ya kiulizi?
Mentor uk. 71
Mifano ya vifungu vyenye alama ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Chati
Picha zinazoonyesha umiliki
Mti maneno
Kifaa cha kidijitali
Kuandika kifungu kifupi chenye alama ya kiulizi Kutoa maoni kuhusu matumizi ya alama ya kiulizi
10 1
Sarufi
Matumizi ya -ake na -ao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua -ake na -ao katika sentensi
- Kutumia -ake na -ao ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mazungumzo ya kawaida

- Kusoma sentensi zenye maneno yenye -ake na -ao kutoka kwenye chati, kitabu, vifaa vya kidijitali n.k. akiwa na wenzake
- Kutambua -ake na -ao katika kifungu
- Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi kwa kutumia -ake na -ao
Je, unatumia neno gani kuonyesha kuwa kitu ni cha mtu mwingine? Unatumia neno gani kuonyesha kuwa vitu ni vya watu wengine?
Mentor uk. 73
Kadi zenye -ake na -ao
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Mentor uk. 74
Picha zenye vitu mbalimbali
Chati
Kadi zenye sentensi za -ake na -ao
Kujaza mapengo kwa -ake na -ao Kutambua tofauti kati ya -ake na -ao
10 2
USAFI WA MAZINGIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutambua silabi za sauti dh, th na ch katika maneno mbalimbali
- Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa
- Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi
- Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa
- Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa
- Kutamka maneno hayo vizuri
Je, kwa nini tunafaa kutamka maneno vizuri?
Mentor uk. 77
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Chati
Mti maneno
Kutambua silabi za sauti dh, th na ch Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch Kusoma kifungu chenye sauti dh, th na ch
10 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutambua silabi za sauti dh katika maneno kutoka kifungu
- Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa
- Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa
- Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
Mentor uk. 79
Sauti za kurekodi
Vifaa vya kidijitali
Kadi maneno
Picha
Mentor uk. 81
Kifaa cha kidijitali
Matini
Kupigia mstari silabi za sauti dh, th na ch katika maneno Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch Kuunda vitanzandimi vyenye sauti dh, th na ch
10 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kutambua sauti dh, th na ch katika kifungu chepesi kuhusu usafi wa mazingira
- Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika)
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
Mentor uk. 83
Vifaa vya kidijitali
Chati
Matini ya mwalimu
Mentor uk. 84
Picha
Kutambua sauti dh, th na ch katika maneno Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kusoma kwa sauti inayosikika Kusoma kwa kasi ifaayo Kusoma kwa kuzingatia ishara
11 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa ufasaha
- Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha
- Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake
- Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
Je, mnatumia ishara gani mnapoongea?
Mentor uk. 85
Kifaa cha kidijitali
Matini ya mwalimu
Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma Kusoma kwa kasi ifaayo
11 2
Kuandika
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi

- Kutambua maneno yanayotamkwa yakizingatia suala na sauti dh, th na ch na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali
- Kusikiliza kwa makini maneno yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali ili kuyaandika ipasavyo
Je, umewahi kusomewa maneno ili uandike? Yalikuwa maneno gani?
Mentor uk. 86
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Karatasi za kuandikia
Mentor uk. 87
Kutambua maneno ya kuandika Kuandika kifungu ambacho kinasomwa
11 3
Kuandika
Sarufi
Imla
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi

- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika kwa imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kurekebisha imla yake kulingana na maoni ya mwalimu na wenzake
- Kuchunguza kazi ya wenzake ili kutoa maoni yake
- Kujadili changamoto alizopata wakati wa kuandika imla
Je, umeandika kwa kuzingatia mambo haya: hati safi, kuacha nafasi katikati ya maneno, kuandika herufi zote vizuri?
Mentor uk. 87
Chati
Kadi maneno
Karatasi za kuandikia
Mentor uk. 88
Picha za vitu vyenye rangi mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla Kurekebisha makosa ya imla Tathmini rika
11 4
Sarufi
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku

- Tazama picha za vitu vyenye rangi tofauti
- Soma sentensi zilizo chini ya picha
- Pigia mstari maneno yaliyotumia -eupe, -eusi na -ekundu
- Eleza -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini
- Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi na -ekundu
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini?
Mentor uk. 89
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali
Kadi za maneno
Chati
Kueleza matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu Kuorodhesha vitu vya rangi nyeupe, nyeusi na nyekundu
12 1
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Maagizo
Maagizo
Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku

- Kamilisha sentensi ukitumia -eupe, -eusi, -ekundu kulingana na rangi ya picha
- Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni
- Eleza maana na matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mazingira mbali mbali
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa vipi kulingana na kategoria za maneno?
Mentor uk. 90
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali
Kadi za sentensi
Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93
- Picha za watu wakitoa maagizo
- Chati zenye maagizo
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93-94
- Kadi zenye maagizo
- Vitu halisi vya kutumia katika maigizo
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 94
- Mashairi yenye maagizo
- Nyimbo zinazohusiana na maagizo
Kukamilisha sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu Kutoa mifano ya vitu vyenye rangi nyeupe, nyeusi, nyekundu
12 2
DUKANI

Kusoma
Kusoma
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma

- Kutazama picha inayohusu duka
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu
- Kusoma kifungu "Duka la Kathambi"
- Kuthibitisha iwapo utabiri wake ulikuwa sahihi
- Kujadili ujumbe wa kifungu hicho
- Kujibu maswali kuhusu kifungu
Je, unafanya nini ili uelewe kifungu unachosoma?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 95
- Picha za dukani
- Kifungu cha ufahamu "Duka la Kathambi"
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96
- Kamusi
- Kadi maneno za msamiati wa dukani
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96-97
- Vifungu vya hadithi kuhusu dukani
- Picha zinazohusiana na dukani
- Kutambua msamiati wa dukani - Kuuliza na kujibu maswali - Kufanya utabiri kutokana na picha - Kutambua ujumbe wa kifungu - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
12 3
Kuandika
Uandishi wa Insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha
- Kueleza ujumbe wa insha
- Kufurahia uandishi wa insha ili kuimarisha mawasiliano

- Kusoma insha ya "Joni na Mama Yake"
- Kutambua kichwa cha insha hiyo
- Kutambua sehemu kuu za insha: utangulizi, kiini, na hitimisho
- Kueleza ujumbe wa insha hiyo
- Kujadili mambo muhimu yanayozingatiwa katika uandishi wa insha
Je, umewahi kuandika insha? Ulizingatia mambo gani katika kuandika insha hiyo?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98
- Mfano wa insha "Joni na Mama Yake"
- Chati ya muundo wa insha
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98-99
- Kielelezo cha insha
- Vifaa vya kidijitali
- Orodha hakiki ya kanuni za uandishi
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 99
- Sampuli za insha zilizosahihishwa
- Vigezo vya kutathmini insha
- Kutambua sehemu za insha - Kueleza ujumbe wa insha - Kuchambua muundo wa insha - Kutoa mafunzo kutoka kwenye insha - Kuuliza na kujibu maswali
12 4
Sarufi
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matumizi ya neno yeye na wao katika ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku

- Kutazama picha zinazoonyesha ukanushaji
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu katika picha
- Kuangalia mifano: "Yeye anaandika - Yeye haandiki" na "Wao wanaandika - Wao hawaandiki"
- Kujadili jinsi ukanushaji unavyofanyika kwa nafsi ya tatu
Je, unafanya nini sasa hivi? Kama hufanyi mambo uliyotaja utasema je?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 100
- Picha za ukanushaji
- Chati za sentensi zenye ukanushaji
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 101-102
- Chati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kapu maneno
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 103-104
- Kadi zenye sentensi za kukanusha
- Chati ya mifano ya ukanushaji
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji - Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji - Kuuliza na kujibu maswali - Kupambanua ukanushaji katika sentensi

Your Name Comes Here

Download

Feedback