If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa (p/b, t/d, k/g, ch/j) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka kwa vifaa vya kidijitali k.v. kinasasauti na rununu. - Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake. - Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa na mwalimu. |
Matamshi bora yana umuhimu gani katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 1
- Kapu maneno - Kadi za maneno - Picha - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j
- Kutamka silabi ipasavyo
- Kutamka vitanzandimi vifaavyo
- Kukariri vitanzandimi
|
|
| 1 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutamka vitanzandimi akiwa na wenzake. - Kuunda vitanzandimi vyepesi vinavyotokana na vitate husika akiwa na wenzake. - Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitandaoni kuvirekebisha. - Kushiriki majadiliano kuhusu sababu za kukariri vitanzandimi maishani mwake. |
Unaundaje vitanzandimi kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3
- Mti maneno - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kuunda vitanzandimi vifaavyo
- Kueleza sababu za kukariri vitanzandimi
- Kutumia lugha ipasavyo katika mawasiliano
|
|
| 1 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu
Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungu cha hadithi ili kuimarisha ufahamu. - Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi. - Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu cha hadithi. - Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa nyumbani (k.v. meza, sebule, balbu/globu, kizingiti, fremu, neti, tendegu, mtoto wa meza, mvungu, figa, kinu, tumbuu, kochi, kupiga deki) uliotumiwa katika kifungu cha hadithi. - Kushirikiana na wenzake kujadili maana na matumizi ya msamiati lengwa katika sentensi. - Kuimba nyimbo zinazolenga msamiati lengwa. - Kusoma kifungu kinachohusiana na suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa na wenzake. |
Unazingatia nini ili kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3
- Picha - Kifaa cha kidijitali - Kamusi - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 8 - Kapu maneno - Mti maneno - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua msamiati wa nyumbani
- Kueleza maana ya msamiati
- Kutumia msamiati kwa usahihi katika sentensi
- Kutoa muhtasari wa ujumbe kutoka kifunguni
|
|
| 1 | 4 |
Sarufi
|
Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nomino katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia nomino kwa njia sahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia nomino kutunga sentensi kwenye daftari na mtandaoni ili wenzake wazisome na kuzisahihisha. |
Nomino zinatumika vipi katika mawasiliano ya kila siku?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 8
- Kifaa cha kidijitali - Kapu maneno - Mti maneno |
- Kujaza nafasi kwa kutumia nomino
- Kutunga sentensi zinazotumia nomino
- Kusahihisha sentensi za wenzake
- Uwasilishaji wa sentensi mtandaoni
|
|
| 2 | 1 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya vitenzi ili kuvitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kwa amani kueleza maana ya vitenzi. - Kushirikiana na wenzake kutoa mifano ya vitenzi (k.v. soma, andika, keti, simama, cheka) katika kadi za maneno, kapu maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k. - Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha au michoro. - Kuigiza vitenzi mbalimbali akishirikiana na wenzake. |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 9
- Picha - Michoro - Kapu maneno - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kueleza maana ya vitenzi
- Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha
- Kuigiza vitenzi mbalimbali
- Kutumia vitenzi katika mawasiliano
|
|
| 2 | 2 |

| 2 | 3 |

| 2 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili na wenzake maana ya insha ya wasifu. - Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Kujadili na wenzake mada ya insha na muundo wa insha ya wasifu akiwa. - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha nzuri ya wasifu?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 6
- Mifano ya insha ya wasifu - Vifaa vya kidijitali - Chati |
- Kutambua sehemu za insha ya wasifu
- Kuandaa vidokezo vya insha
- Kujadili mada na muundo wa insha
|
|
| 3 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mwalimu akitamka vitanzandimi. - Kutamka vitanzandimi vyepesi akiwa na wenzake. - Kucheza mchezo wa kutamka vitanzandimi kwa zamu akiwa na wenzake. - Kuwapongeza na kuwarekebishe wenzake wanapotamka vitanzandimi. |
Kwa nini ni muhimu kutamka vitanzandimi vifaavyo?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3
- Chati - Kadi za maneno - Mti maneno - Vifaa vya kidijitali - Vifaa vya kidijitali - Kadi za maneno |
- Kutamka vitanzandimi kwa ufasaha
- Kukariri vitanzandimi ipasavyo
- Kutumia sauti lengwa katika mawasiliano ya kawaida
|
|
| 3 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungu cha hadithi ili kuimarisha ufahamu. - Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi. - Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu cha hadithi. - Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kinachohusiana na suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa na wenzake. - Kujibu maswali kutokana na kifungu alichosoma. - Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu alichokisoma. - Kumweleza mzazi au mlezi wake ujumbe wa kifungu alichokisoma. |
Kwa nini ni muhimu kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu cha hadithi?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 5
- Chati - Kamusi - Kifaa cha kidijitali |
- Kujibu maswali kwa usahihi
- Kutoa muhtasari wa kifungu
- Kueleza ujumbe kutoka kifunguni
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vitenzi kujaza nafasi kwenye sentensi na kifungu kifupi. - Kutumia vitenzi mbalimbali kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kuwashirikisha wenzake katika kuzisahihisha sentensi zake na kumpa maoni kwa heshima. |
Vitenzi vina umuhimu gani katika mawasiliano ya kila siku?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 10
- Kapu maneno - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kujaza nafasi kwa vitenzi
- Kutunga sentensi zenye vitenzi
- Kusahihishana sentensi
- Kutoa maoni kwa heshima
|
|
| 3 | 4 |

| 4 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kivumishi ili kukitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vivumishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vivumishi ipasavyo katika sentensi na kifungu. - Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya kivumishi. - Kutambua vivumishi katika kundi la maneno aliyopewa (k.m. -zuri, -baya, -refu, -fupi, -eusi, -eupe, n.k). - Kuchagua vivumishi kwenye tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake. - Kutumia vivumishi kujaza nafasi katika sentensi. |
Ni sifa zipi unazoweza kutambua katika nomino mbalimbali?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 10
- Kapu maneno - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali - Mti maneno |
- Kueleza maana ya kivumishi
- Kutambua vivumishi katika maneno
- Kuburura vivumishi kwenye tarakilishi
- Kujaza nafasi kwa vivumishi
|
|
| 4 | 2 |

| 4 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vivumishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vivumishi ipasavyo katika sentensi na kifungu. - Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vivumishi kutunga sentensi daftarini na mtandaoni akizingatia masuala mtambuko mbalimbali yakiwemo masuala ya usalama wa mtandaoni, usawa wa kijinsia, usalama wa nyumbani, mahusiano ya kijamii, n.k. - Kuandika aya fupi akitumia vivumishi mbalimbali. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake kazi yake ili kuitolea maoni kwa heshima na upendo. |
Vivumishi vina umuhimu gani katika kujenga picha akilini mwa msomaji?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 11
- Vifaa vya kidijitali - Chati - Kadi za maneno |
- Kutunga sentensi zenye vivumishi
- Kuandika aya fupi yenye vivumishi
- Kusomea wenzake kazi yake
- Kutoa na kupokea maoni kwa heshima
|
|
| 4 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha inayoeleza sifa za mtu kama vile mzazi au mlezi, rafiki, mwalimu au kiongozi yeyote kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa ubunifu. - Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini. |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia mpangilio mzuri wa mawazo unapoandika insha ya wasifu?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 7
- Vifaa vya kidijitali - Kielelezo cha insha ya wasifu |
- Kuandika insha ya wasifu
- Kuzingatia anwani, mpangilio, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji na ubunifu
- Kusambaza insha mtandaoni kwa ajili ya tathmini
|
|
| 5 | 1 |
NIDHAMU MEZANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. - Kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali. - Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. - Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maamkuzi (k.v. U mzima? U hali gani? Alamsiki, Lala unono, Siku njema) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha. - Kushiriki mjadala na mwenzake kuhusu maamkuzi na maagano yanayolengwa na matumizi yake. - Kushirikiana na wenzake kuigiza maamkuzi na maagano lengwa. |
Watu husalimiana na kuagana vipi katika jamii yako?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 15
- Chati - Michoro - Picha - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua aina za maamkuzi na maagano
- Kueleza matumizi ya maamkuzi na maagano
- Kuigiza maamkuzi na maagano
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
|
Matumizi ya Kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kamusi ili kuitofautisha na vitabu vingine. - Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana na matumizi ya kamusi. - Kujadiliana na wenzake kuhusu mpangilio wa maneno katika kamusi. - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa na wenzake. |
Unazingatia nini unapotafuta maneno katika kamusi?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 18
- Kamusi mbalimbali - Chati - Orodha ya maneno |
- Kueleza maana ya kamusi
- Kueleza mpangilio wa maneno katika kamusi
- Kutafuta maana za maneno katika kamusi
|
|
| 5 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kiwakilishi ili kukibainisha. - Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia viwakilishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya viwakilishi. - Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno aliyopewa. - Kuchagua viwakilishi kwenye tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake. |
Ni maneno gani yanayoweza kutumika badala ya nomino?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Kapu maneno - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kueleza maana ya kiwakilishi
- Kutambua viwakilishi katika maneno
- Kuburura viwakilishi kwenye tarakilishi
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia viwakilishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viwakilishi mwafaka. - Kutumia viwakilishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake sentensi zake ili kuzitathmini. |
Viwakilishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Chati - Vifaa vya kidijitali - Kapu maneno |
- Kujaza nafasi kwa viwakilishi
- Kutunga sentensi zenye viwakilishi
- Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Masimulizi
Maamkuzi na Maagano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. - Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 19
- Mifano ya insha za masimulizi - Vifaa vya kidijitali - Picha - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 16 - Kadi za maneno - Picha za watu wakiamkuana |
- Kutambua vipengele vya insha ya masimulizi
- Kuandaa vidokezo vya kutunga insha
- Kujadili muundo wa insha ya masimulizi
|
|
| 6 | 2 |
Kusoma
|
Matumizi ya Kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati anaotafutia maana. |
Kamusi ina umuhimu gani katika kukuza msamiati wako?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 19
- Kamusi mbalimbali - Vifaa vya kidijitali - Mtandao |
- Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno
- Kueleza umuhimu wa kamusi
- Kukuza msamiati kwa kutumia kamusi
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kielezi ili kukibainisha. - Kutambua vielezi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vielezi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya vielezi (k.v. polepole, haraka, sana, vizuri, kisheria, jana, shuleni, uwanjani). - Kutambua vielezi katika kundi la maneno aliyopewa katika kadi za maneno, chati, mti maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k. - Kuchagua vielezi kutoka kwenye kundi la maneno kwa kutumia tarakilishi kwa kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake. |
Unafanyaje shughuli zako za kila siku?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Kadi za maneno - Chati - Mti maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kueleza maana ya kielezi
- Kutambua vielezi katika maneno
- Kuchagua vielezi kutoka kundi la maneno
- Kuburura vielezi kwenye tarakilishi
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vielezi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vielezi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuigiza vielezi mbalimbali panapofaa akishirikiana na wenzake. - Kutumia vielezi mwafaka kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia vielezi kutunga sentensi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake na mwalimu sentensi zake ili kuzitolea maoni. |
Vielezi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Vifaa vya kidijitali - Chati - Kapu maneno |
- Kuigiza vielezi mbalimbali
- Kujaza nafasi kwa vielezi
- Kutunga sentensi zenye vielezi
- Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha inayosimulia kisa kinachohusu nidhamu mezani kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu. - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Vifaa vya kidijitali - Chati - Picha |
- Kuandika insha ya masimulizi
- Kuzingatia anwani, mpangilio, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi na uakifishaji
- Kusomea wenzake insha aliyoandika
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |
MAVAZI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali. - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafiti maana ya kitendawili kwenye kamusi, vitabuni au mtandaoni akiwa na wenzake. - Kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali (k.m. Nifungue nikufunike (Mwavuli); Pitia huku nami nipitie kule, tupatane pale (mshipi); Ukinitembelea nyayo zi salama (viatu). - Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali. |
Je, unazingatia nini unapotega na kutegua vitendawili?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 26
- Kamusi - Chati - Vifaa vya kidijitali - Mti maneno - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 29 - Matini za kusoma |
- Kueleza maana ya kitendawili
- Kutambua vitendawili katika matini
- Kusikiliza vitendawili vikitegwa
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kiunganishi ili kukibainisha. - Kutambua viunganishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia viunganishi kwa njia sahihi katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya viunganishi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya viunganishi. - Kutambua viunganishi katika kundi la maneno aliyopewa (k.v. na, pia, kwa sababu, lakini). - Kutafiti vitabuni au mtandaoni ili kutoa mifano mbalimbali ya viunganishi. - Kutumia viunganishi kujaza nafasi katika sentensi. |
Je, kwa nini ni muhimu kutumia viunganishi katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Kadi za maneno - Chati |
- Kueleza maana ya kiunganishi
- Kutambua viunganishi katika maneno
- Kutoa mifano ya viunganishi
- Kujaza nafasi kwa viunganishi
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viunganishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia viunganishi kwa njia sahihi katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya viunganishi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia viunganishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi alizozitunga. |
Viunganishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Vifaa vya kidijitali - Chati - Kapu maneno |
- Kutunga sentensi zenye viunganishi
- Kuzingatia mada lengwa na masuala mtambuko
- Kumsomea mzazi sentensi alizozitunga
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kihusishi ili kukibainisha. - Kutambua vihusishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihusishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya vihusishi na kuvitolea mifano (k.m. karibu na, mbali na, juu ya, chini ya, nje ya na ndani ya). - Kutambua vihusishi katika kundi la maneno aliyopewa. - Kuchagua vihusishi kwenye kundi la maneno katika tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa peke yake au kwenye vikundi. |
Vihusishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Kadi maneno - Vifaa vya kidijitali - Picha zinazoonyesha mahali |
- Kueleza maana ya kihusishi
- Kutambua vihusishi katika maneno
- Kuchagua vihusishi kwenye tarakilishi
|
|
| 8 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa. - Kufungua na kufunga tarakilishi ili kuandika kazi na kuihifadhi. - Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi. - Kuhariri kazi yake kwa kuzingatia uakifishaji ufaao. - Kuhifadhi kazi aliyoiandika kwenye tarakilishi. - Kujenga mazoea ya kuandika kwa kutumia tarakilishi na kuhifadhi kazi yake ya maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sehemu za kimsingi za tarakilishi za kupigia chapa akiwa na wenzake (k.v. kiibodi, kipanya, kiwambo, kitufe na faili). - Kuzingatia hatua za kufungua na kufunga tarakilishi. - Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi akizingatia chapa koza, italiki na kupigia mistari panapofaa. |
Je, unazingatia nini unapoandika kwa kutumia tarakilishi?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 32
- Tarakilishi - Chati za sehemu za tarakilishi - Mifano ya mada zinazoweza kuandikwa |
- Kutambua sehemu za tarakilishi
- Kuzingatia hatua za kufungua na kufunga tarakilishi
- Kuandika mada kwa kutumia tarakilishi
|
|
| 8 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake. - Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao. |
Vitendawili vina umuhimu gani katika kukuza utamaduni?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 26
- Picha - Chati - Vifaa vya kidijitali |
- Kutega na kutegua vitendawili
- Kutumia vitendawili katika mawasiliano
- Kujadili umuhimu wa vitendawili
|
|
| 9 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuambatanisha ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. - Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo). - Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno yasiyopungua 70 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) ili wenzake wamtolee maoni. - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa anaposoma (k.v. ishara za uso na mikono). |
Kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 29
- Vifaa vya kidijitali - Matini ya kusoma - Saa ya kupimia wakati |
- Kusoma kwa matamshi bora
- Kusoma kwa kiwango kifaacho cha sauti
- Kusoma kwa kasi ifaayo
- Kusoma kwa kutumia ishara zifaazo
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vihusishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihusishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vihusishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake na mwalimu sentensi alizotunga ili kuzitathmini. |
Unatumiaje vihusishi katika mawasiliano ya kila siku?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Vifaa vya kidijitali - Picha zinazoonyesha mahali - Chati |
- Kutunga sentensi zenye vihusishi
- Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
- Kutumia vihusishi katika mawasiliano
|
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha. - Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya vihisishi na kuvitolea mifano (k.m. Lo!, Ala!, Salalee!, Mama ee!, Oyee! na Aha!) akishirikiana na wenzake. - Kutambua vihisishi katika kundi la maneno. - Kutambua alama ya hisi (!) inayoambatanishwa na vihisishi. - Kutumia vihisishi kujaza nafasi katika sentensi. |
Kutumia vihisishi katika mawasiliano kuna umuhimu gani?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Chati mabango - Vifaa vya kidijitali - Kamusi |
- Kueleza maana ya kihisishi
- Kutambua vihisishi katika maneno
- Kutambua alama ya hisi
- Kujaza nafasi kwa vihisishi
|
|
| 9 | 4 |

| 10 | 1 |
Sarufi
|
Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vihisishi kutunga sentensi kwenye daftari akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kutumia vihisishi kutunga kifungu kifupi daftarini au mtandaoni ili wenzake wakisome na kukitathmini. |
Ni wakati gani tunatumia vihisishi katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Vifaa vya kidijitali - Kadi za maneno - Chati |
- Kutunga sentensi zenye vihisishi
- Kutunga kifungu kifupi
- Kutumia vihisishi ipasavyo
- Kuwasomea wenzake kifungu alichokitunga
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
Maneno ya Upole |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi. - Kuhariri kazi yake kwa kuzingatia uakifishaji ufaao. - Kuhifadhi kazi aliyoiandika kwenye tarakilishi. - Kujenga mazoea ya kuandika kwa kutumia tarakilishi na kuhifadhi kazi yake ya maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika aya kuhusu mavazi katika tarakilishi na kuihariri. - Kutumia mtandao kusambaza kazi aliyoandika ili wenzake na mwalimu waitathmini. - Kuhifadhi kazi yake kwenye faili ya tarakilishi. |
Kuhifadhi kazi kwenye tarakilishi kuna umuhimu gani?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 33
- Tarakilishi - Mtandao - Chati ya hatua za kuhifadhi kazi - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 40 - Chati - Mti maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika aya kuhusu mavazi
- Kuhariri kazi
- Kusambaza kazi mtandaoni
- Kuhifadhi kazi kwenye faili
|
|
| 10 | 4 |
DIRA
Kusoma |
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma. - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali. - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa. - Kutumia vifaa vya kidijitali kwa urahisi kupata matini yanayolengwa. - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama (k.m. kutowasiliana na watu asiowajua, kuwajibika anaposakura tovuti mbalimbali) kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao. - Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga. - Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake. |
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 42
- Tarakilishi - Chati - Mtandao |
- Kutambua hatua za kiusalama
- Kufungua na kufunga faili
- Kutambua mitandao salama
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA. - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi. - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA kwenye sentensi alizosoma. - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma. |
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya A-WA?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 46
- Kadi za sentensi - Kikapu/boksi - Chati - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa ngeli ya A-WA
- Kuchopoa na kusoma kadi za sentensi
- Kutambua nomino za ngeli ya A-WA
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya A-WA. |
Ni nomino zipi zinaweza kuorodheshwa katika ngeli ya A-WA?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 47
- Kadi za maneno - Mti maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua nomino za ngeli ya A-WA
- Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya A-WA
- Kuzingatia upatanisho wa kisarufi
|
|
| 11 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake. - Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano. - Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano. - Kujadili na wenzake mada ya barua ya kirafiki na vipengele vyake/ yale yanayofaa kujumuishwa. - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. |
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 44
- Mifano ya barua za kirafiki - Vifaa vya kidijitali - Chati |
- Kutambua barua ya kirafiki
- Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki
- Kuandaa vidokezo vya kutunga barua
|
|
| 11 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maneno ya Upole
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano. - Kutumia maneno ya upole katika mawasiliano. - Kuthamini matumizi ya maneno ya upole katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika maigizo yanayohusu matumizi ya maneno ya upole. - Kutumia maneno ya upole katika sentensi. |
Ni maneno gani ya upole unayoweza kutumia badala ya maneno ya kawaida?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 40
- Vifaa vya kidijitali - Chati - Kapu maneno |
- Kuigiza matumizi ya maneno ya upole
- Kutumia maneno ya upole katika sentensi
- Kueleza umuhimu wa maneno ya upole
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Ngeli ya A-WA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma. - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali. - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa. - Kutumia vifaa vya kidijitali kwa urahisi kupata matini yanayolengwa. - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao. - Kutafuta maana za maneno kuhusu mada lengwa (k.m. kaskazini, kusini, magharibi, mashariki, kaskazini mashariki, kaskazini magharibi, kusini mashariki na kusini magharibi) kwenye kamusi au mtandaoni. - Asikilize matamshi na maelezo kuhusu anachokisoma mtandaoni panapowezekana. - Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake. |
Kusoma matini kwenye mtandao kuna umuhimu gani?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 43
- Tarakilishi - Mtandao - Kamusi - Vifaa vya kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 48 - Vifaa vya kidijitali - Chati - Kadi za maneno |
- Kutoa habari kuhusu ujumbe kutoka kwa mtu asiyemjua
- Kutafuta maana za maneno kwenye kamusi
- Kusikiliza matamshi na maelezo
- Kutoa muhtasari wa matini
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujibu maswali kwa kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi. - Kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi kwenye daftari. - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kutoka wingi hadi umoja. |
Ni kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi katika sentensi?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 49
- Chati - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kujibu maswali
- Kuandika sentensi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
- Kuzingatia upatanisho wa kisarufi
|
|
| 12 | 3 |

| 12 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika barua ya kirafiki kwa rafiki, ndugu, mzazi, n.k kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu. - Kuwasomea wenzake barua aliyoandika ili waisikilize na waitathmini. |
Barua za kirafiki zina umuhimu gani?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 45
- Vifaa vya kidijitali - Mifano ya barua za kirafiki |
- Kuandika barua ya kirafiki
- Kuzingatia anwani, mpangilio, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji
- Kuwasomea wenzake barua aliyoandika
|
Your Name Comes Here