Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SABA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 3
Unyanyasaji wa Kijinsia
Usalama shuleni
Sarufi; Nyakati na hali; Wakati ujao hali ya kuendelea
Kusikiliza na Kuzungumza- Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati ujao hali ya kuendelea
Je, utafanya nini kesho?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 65-66
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 67-68
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 4
Usalama shuleni
Kusoma kwa kina; Maudhui na dhamira
Kuandika; Insha za masimulizi kutokana na picha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi.
Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu.
Kujadiliana maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma.
Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aweze, kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi
Mwanafunzi, aweze kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu.
Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma
Vitabu vya hadithi ulivyowahi kusoma vinazungumiza nini?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 68-69
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 69-72
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 1
Usalama shuleni
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza tofauti kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi.
Kuigiza vitendo mbalimbali, k.v. ruka, Tembea, cheza, cheka, andika.
Kutathmini matumizi ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza tofauti kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Mkiwa wawili, wanafunzi kuigiza vitendo mbalimbali, k.v. ruka, Tembea, cheza, cheka, andika
Vitenzi ni nini?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 72-73
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 2
Usalama shuleni
Kuhudumia Jamii Shuleni
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi.
Kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi.
Wanafunzi, kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi
Wanafunzi waweze kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Kuna tofauti gani kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 73-74
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 3
Kuhudumia Jamii Shuleni
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu
Kusoma; Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa makini.
Kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali.
Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa makini
Mwanafunzi aweze, kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa makini
Mwanafunzi aweze kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali
Je, kusikiliza kwa makini kuna faida gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75-76
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 4
Kuhudumia Jamii Shuleni
Kusoma; Ufupisho
Kuandika; Insha ya kubuni- Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuandika kifungu hicho katika ufupisho.
Kutathmini umuhimu wa ufupisho.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi kuandika kifungu hicho katika ufupisho
Unaondoa nini katika habari ili kuitoa kwa ufupi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77-78
Mabango
Kamusi
Majarida
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 79-80
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 1
Kuhudumia Jamii Shuleni
Sarufi; Aina za vitenzi- Vitenzi vishirikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutambua vitenzi vishirikishi vilivyotumika katika sentensi.
Kutathmini matumizi ya vitenzi vishirikishi.
Mwanafunzi aweze, kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vishirikishi vilivyotumika katika sentensi
Ni aina gani ya maneno ambayo huelezea kufanyika kwa kitendo?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 80-81
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 2
Kuhudumia Jamii Shuleni
Ulanguzi wa Binadamu
Sarufi; Aina za vitenzi- Vitenzi vishirikishi
Kuzungumza ili kupasha habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza matumizi ya vitenzi vishirikishi katika matini.
Kutunga kifungu kifupi kuhusu Kuhudumia jamii shuleni. Tumia vitenzi vishirikishi.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vishirikishi.
Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya vitenzi vishirikishi katika matini
Mwanafunzi aweze kutunga kifungu kifupi kuhusu Kuhudumia jamii shuleni. Tumia vitenzi vishirikishi
Kuna aina gani za vitenzi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 81-82
Kapu maneno
Chati
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 83-84
Mabango
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 3
Ulanguzi wa Binadamu
Kuzungumza ili kupasha habari
Kusoma kwa kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutaja vipengele vya katika kuzungumza ili kupasha habari.
Kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kufurahia kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya katika kuzungumza ili kupasha habari
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi
Je, kuna Ukweli upi katika mazungumzo mliyoyaigiza?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 84-86
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 86-88
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 4
Ulanguzi wa Binadamu
Kusoma kwa kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya ploti.
Kueleza umuhimu wa ploti katika novela.
Kuandika maelezo kuhusu ploti ya novela aliyoisoma.
Kuchangamkia kusoma novela mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ploti
Wakiwa wawiliwawili au katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa ploti katika novela
Wanafunzi waweze kuandika maelezo kuhusu ploti ya novela aliyoisoma
Je, ni matukio gani muhimu yaliyo katika novela aliyosoma?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 1
Ulanguzi wa Binadamu
Kuandika; Viakifishi: Kiulizi
Kuandika; Viakifishi: Koma
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza matumizi ya kiulizi katika maandishi.
Kuandika sentensi akitumia alama ya kiulizi.
Kutumia kiulizi mahali panapofaa katika sentensi.
Kuchangamkia matumizi ya kiulizi.
Mwanafunzi aweze
kueleza matumizi ya kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia alama ya kiulizi
Mwanafunzi aweze kutumia kiulizi mahali panapofaa katika sentensi
Kiulizi hutumiwa vipi katika maandishi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91-92
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 2
Ulanguzi wa Binadamu
Sarufi; Ngeli ya A-WA
Sarufi; Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi.
Kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA
Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya A-WA
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya A-WA?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 93-94
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 94-96
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 3
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa.
Kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti d na nd.
Kuchangamkia kukariri silabi za sauti d na nd katika silabi na maneno.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa.
Mkiwa wawili, wanafunzi kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti d na nd.
Ni maneno gani unayojua ambayo yana sauti d au nd?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97-98
Chati
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 4
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu.
Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu.
Kutathmini matumizi ya vifaa vya kidijitali.
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu
Mwanafunzi aweze Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu
Je, ni ujumbe gani wa kushawishi umewahi kupewa?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 98-100
Mabango
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 1
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
Kuandika; Insha za kubuni: Masimulizi
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi.
Kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu'
Kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi.
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu'
Ni mambo yapi yaliyokuvutia uliposimuliwa kisa fulani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 100-101
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 102-104
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 2
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
Kuthamini
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya LI-YA
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi.
Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya LI-YA
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya LI-YA katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi
Ni vitu gani katika mazingira yako ya shuleni vilivyo katika ngeli ya LI-YA?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 104-106
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 107-109
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 3
Kuthamini
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutaja nyimbo za dini anazozijua katika jamii yake.
Kutambua mazingira ambamo nyimbo za dini huimbwa.
Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu.
Kuchangamkia kuimba nyimbo za dini.
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za dini anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za dini huimbwa
Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu
Je, unajua nyimbo gani za dini?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 109-110
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 4
Kuthamini
Kusoma; Kusoma kwa kina- Wahusika
Kuandika; Barua ya kuomba msamaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma novela iliyoteuliwa.
Kutaja sifa za wahusika katika novela.
Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela.
Kutathmini umuhimu wa kusoma novela.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma novela iliyoteuliwa
Wanafunzi waweze kutaja sifa za wahusika katika novela.
Wanafunzi waweze kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela
Je, unawakumbuka wahusika gani katika novela uliyosoma? Ni mambo gani yanayokuwezesha kuwakumbuka wahusika katika novela uliyosoma?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 110-112
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 112-114
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 1
Kuthamini
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya nomino
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno.
Kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino.
Kuchangamkia kutumia vinyume vya nomino.
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino
Je, unajua vinyume vya maneno gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 114-117
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 117-118
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 2
Majukumu ya Watoto
Kusikiliza na kuzungumza; Kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara
Kusoma kwa mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara.
Kutaja vitendo au ishara za kuambatanisha na mazungumzo.
Kutumia vitendo na ishara mwafaka katika mazungumzo yao.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo au ishara.
Wanafunzi waweze kutaja vitendo au ishara za kuambatanisha na mazungumzo.
Kwa nini watu hutumiwa vitendo au ishara wanapozungumza?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 119-120
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 121-122
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 3
Majukumu ya Watoto
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya insha ya maelezo.
Kutaja vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo.
Kujadiliana sehemu za insha ya maelezo.
Kutathmini umuhimu wa maelezo.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana sehemu za insha ya maelezo.
Insha ya maelezo
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 122-123
Kapu maneno
Kamusi
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 4
Majukumu ya Watoto
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua aina za insha za maelezo.
Kutambua sifa za insha ya maelezo.
Kuandika insha ya maelekezo.
Kufurahia kuandika insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kutambua aina za insha za maelezo.
Mwanafunzi aweze kutambua sifa za insha ya maelezo
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelekezo.
Ni mambo gani huzingatiwa ili kuandika insha nzuri ya maelezo?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 123-124
Kamusi
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 124-126
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 1
Majukumu ya Watoto
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendea
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea.
Kutunga sentensi katika Kauli ya kutendea.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea.
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika Kauli ya kutendea
Je, nani huwapikia chakula nyumbani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 126-127
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 127-128
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 2
Magonjwa Ambukuzi
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusikiliza habari atakayosomewa na mwalimu.
Kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari.
Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa kusafiri
Mwanafunzi asikilize pamoja na mwenzako, habari atakayosomewa na mwalimu.
Mwanafunzi aweze kuandika orodha ya mambo muhimu atakayoyatambua katika habari.
Kwa nini unafaa kutambua hoja muhimu katika habari aliyoisikiliza?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 129-130
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 3
Magonjwa Ambukuzi
Kusoma kwa ufasaha
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.
Kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu
Unazingatia nini ili kusoma Makala kwa ufasaha?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 130-131
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 4
Magonjwa Ambukuzi
Kuandika; Hotuba ya kupasha habari
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi sahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari.
Kuchangamkia kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari
Je, ni vigezo vipi utakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya masimulizi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 132-133
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 133-134
Kapu maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8-9

Mid term

10 1
Magonjwa Ambukuzi
Utatuzi wa Mizozo
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi ambatano
Kusikiliza na kuzungumza; Wahusika katika nyimbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya sentensi ambatano.
Kutambua sentensi ambatano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutunga sentensi ambatano kuhusu magonjwa ambukizi.
Kuchangamkia matumizi ya sentensi ambatano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi ambatano.
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi ambatano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi ambatano kuhusu magonjwa ambukizi.
Sentensi ambatano ni gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 134-135
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 137-139
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 2
Utatuzi wa Mizozo
Kusoma kwa kina- Mbinu za lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika novela.
Kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela.
Kutathmini umuhimu wa mbinu za lugha.
Wanafunzi kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Wanafunzi waweze kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika novela.
Wanafunzi waweze kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 139-141
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 3
Utatuzi wa Mizozo
Kuandika; Insha za kubuni-Maelezo
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya insha ya maelezo.
Kutambua vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo.
Kuandika insha ya maelezo.
Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo.
Wanafunzi kuandika insha ya maelezo.
Je, insha ya maelezo inahusu nini? Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 141-142
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 142-143
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 4
Utatuzi wa Mizozo
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini.
Kuonea fahari ukanushaji katika matini.
Wanafunzi waweze kusoma vifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi kukanusha kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini
Tunakanusha sentensi kwa kuzingatia nyakati gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 143-144
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 144-146
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 1
Matumizi ya pesa
Kusikiliza na kuzungumza; Lugha katika nyimbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo.
Kusikiliza wimbo aliounusa mwalimu kwenye kifaa cha kidijitali.
Kujadiliana umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule.
Kutathmini umuhimu wa nyimbo.
Wanafunzi waweze kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo.
Wanafunzi kusikiliza wimbo aliounusa mwalimu kwenye kifaa cha kidijitali.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule.
Je, umewahi kusikiliza wimbo gani? Unaweza kutambua matumizi gani ya lugha katika wimbo?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 147-149
Kapu maneno
Chati
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 2
Matumizi ya pesa
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha mjadala
Kuandika; Insha ya maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala.
Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi.
Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 150
Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala.
Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi.
Umewahi kusoma kifungu cha mjadala? Je, ni mambo gani hukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 149-152
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 153-154
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 3
Matumizi ya pesa
Kuandika; Insha ya maelekezo
Sarufi; Ukubwa wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kuchagua mada atakayoandikia insha ya maelezo.
Kuandaa kisha kupanga vidokezo atakavyotumia kutoa maelekezo.
Kuandika insha ya maelekezo.
Mwanafunzi kuchagua mada atakayoandikia insha ya maelezo.
Mwanafunzi kuandaa kisha kupanga vidokezo atakavyotumia kutoa maelekezo
Insha ya maelekezo ina umuhimu gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 154
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 155-156
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 4
Matumizi ya pesa
Maadili y mtu binafsi
Sarufi; Ukubwa wa nomino
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza habari na kujibu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa.
Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa.
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa.
Umegundua nini kuhusu viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 156-158
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 159-160
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 1
Maadili y mtu binafsi
Kusoma; Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya.
Kutathmini umuhimu wa ufupisho.
Mwanafunzi kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 161
Mwanafunzi kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya.
Je, ni kwa nini watu hufupisha habari?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 160-161
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 2
Maadili y mtu binafsi
Kusoma; Ufupisho
Kuandika kidijitali- Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kuchagua matini kwenye kitabu au mtandao aisome.
Kuandika kwa ufupi bila kutoa ufafanuzi au mifano.
Kuonea fahari ufupisho.
Mwanafunzi kuchagua matini kwenye kitabu au mtandao aisome.
Mwanafunzi kuandika kwa ufupi bila kutoa ufafanuzi au mifano.
Ni mambo gani ambayo unazingatia unapoandika ufupisho?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 161-162
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 162-163
Kapu maneno
Mabango
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 3
Maadili y mtu binafsi
Kuandika kidijitali- Baruapepe
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kuchagua sifa zinazofaa kuzingatiwa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki.
Kuandika baruapepe kwa rafiki yako.
Kuchangamkia kuandika baruapepe kwa rafiki yake.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kuchagua sifa zinazofaa kuzingatiwa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki.
Mwanafunzi aweze kuandika baruapepe kwa rafiki yako.
Unazingatia mambo gani unapoandika Baruapepe kwa rafiki yako?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 163-164
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 164-165
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 4
Maadili y mtu binafsi
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa.
Kutunga sentensi katika usemi wa taarifa.
Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi wa taarifa.
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa.
Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa.
Je, ni mambo gani unayozingatia wakati wa Kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 165-167
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
13-14

End Term Exam

Your Name Comes Here

Download

Feedback