If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 |
Opening assessment |
||||||||
| 3 | 1 |
USAFI WA KIBINAFSI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kusikiliza na Kujibu
Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi Nomino za Pekee |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mazungumzo - Kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mazungumzo - Kuchangamkia kushiriki mazungumzo katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza (k.v. kuwa makini, kumtazama mzungumzaji) - Kusikiliza na kujibu mazungumzo kuhusu usafi wa kibinafsi - Kuigiza mazungumzo ya simu kwa kutumia vipengele vifaavyo |
Je, unaposikiliza mazungumzo unapaswa kuzingatia nini ili kupata ujumbe unaowasilishwa?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 1
Vifaa vya kidijitali Chati Kadi maneno Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 4 Picha Michoro Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 7 |
Maswali ya mdomo
Uchunguzi wakati wa mazungumzo
Tathmini ya wenzake
|
|
| 3 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Viakifishi - Herufi Kubwa
Kusikiliza na Kujibu Ufahamu wa Kifungu cha Simulizi Nomino za Kawaida Viakifishi - Kikomo Kusikiliza kwa Kina - Sauti /dh/ na /th/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua matumizi ya herufi kubwa katika matini - Kutumia herufi kubwa ipasavyo katika matini - Kuonea fahari matumizi ya herufi kubwa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matumizi ya herufi kubwa (mwanzoni mwa sentensi, majina ya watu) - Kuandika kifungu kuhusu usafi wa kibinafsi - Kusahihisha kifungu kisichozingatia herufi kubwa |
Je, herufi kubwa hutumika vipi katika maandishi?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 8
Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 1 Vifaa vya sauti Mifano ya mazungumzo Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 5 Chati Kamusi Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 13 Tarakilishi Kadi maneno Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 14 Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 16 Mti maneno |
Kutambua alama za herufi kubwa
Kuandika kifungu
Kusahihisha makosa
|
|
| 3 | 3 |
LISHE BORA
Kusoma Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Nomino za Makundi Barua ya Kirafiki ya Kutoa Mwaliko |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua msamiati katika matini ya kujichagulia - Kutumia msamiati mpya katika sentensi - Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua matini kuhusu lishe bora - Kutambua msamiati mpya katika matini - Kutumia kamusi kueleza maana za maneno - Kuweka rekodi ya msamiati mpya |
Unapenda kusoma matini za aina gani?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 18
Matini mbalimbali Kamusi Kijitabu cha msamiati Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 19 Vifaa vya kidijitali Chati Kadi maneno Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 20 Mifano ya barua Matini ya mwalimu |
Kutambua msamiati
Kueleza ujumbe
Kuweka rekodi
|
|
| 3 | 4 |
UHURU WA WANYAMA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Tanzu za Fasihi - Utangulizi
Kusoma kwa Kina - Novela Nomino za Wingi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kueleza maana ya fasihi - Kujadili sifa za tanzu za fasihi - Kutambua aina za tungo za fasihi simulizi na andishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya fasihi katika jamii - Kutambua tanzu za fasihi (simulizi na andishi) - Kutofautisha fasihi simulizi na andishi - Kutambua tungo za fasihi simulizi na andishi |
Fasihi inahusika na mambo gani katika jamii?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 28
Kadi za fasihi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 30 Diwani ya mashairi Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 31 Chati Kadi maneno |
Kutambua tanzu za fasihi
Kutofautisha fasihi
Kushiriki mjadala
|
|
| 3 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha za Kubuni - Vidokezo
Tanzu za Fasihi - Utangulizi Kusoma kwa Kina - Novela |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kuteua mada na ujumbe wa kuandikia insha - Kujadili vidokezo kulingana na mada - Kuandika vidokezo vyenye ujumbe |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuteua mada kulingana na ujumbe anaoandikia - Kutafiti kuhusu mada anayoiandikia - Kujadiliana na wenzake vidokezo vya mada - Kuandika vidokezo vyenye ujumbe |
Ni mambo gani unayozingatia unapoandaa vidokezo vya insha ya kubuni?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 32
Vifaa vya kidijitali Matini mbalimbali Vitabu vya ziada Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 33 Vitabu vya fasihi Matini za kidijitali Kadi za tungo Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 35 Novela iliyoteuliwa Chati ya sifa Matini ya mwalimu |
Kuteua mada
Kuandaa vidokezo
Kujadili na wenzake
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Nomino za Vitenzi-jina
Insha za Kubuni - Vidokezo Nyimbo za Watoto na Bembelezi Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo, - Kutambua nomino za vitenzi-jina katika matini - Kutumia nomino za vitenzi-jina ipasavyo - Kuchangamkia kutumia nomino za vitenzi-jina |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za vitenzi-jina (kusimama, kula, kuchunga) - Kutenga nomino za vitenzi-jina katika sentensi - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za vitenzi-jina - Kutafiti na mzazi au mlezi nomino za vitenzi-jina |
Ni nomino zipi za vitenzi-jina zinazopatikana katika mazingira yako?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 36
Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 37 Mifano ya insha Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 38 Mti maneno Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 40 Picha Michoro |
Kutambua nomino za vitenzi-jina
Kutunga sentensi
Kutafiti na jamii
|
|
| 4 | 2 |
AINA ZA MALIASILI
Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Nyakati na Hali
Insha za Kubuni - Masimulizi Nyimbo za Watoto na Bembelezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kubainisha vitenzi vilivyo katika wakati uliopo, uliopita na ujao katika matini - Kutumia wakati uliopo, uliopita na ujao ifaavyo katika matini - Kuchangamkia kutumia wakati uliopo, uliopita na ujao ifaavyo ili kuboresha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake katika kikundi kubainisha vitenzi vilivyo katika wakati uliopo, uliopita na ujao - Kusoma kifungu na kutambua nyakati zilizotumiwa - Kutunga sentensi kwa kutumia wakati uliopo, uliopita na ujao ifaavyo - Kuandika sentensi kuhusu suala lengwa katika wakati uliopo, uliopita au ujao - Kubadilisha nyakati katika kifungu kulingana na maagizo |
Kwa nini tunatumia nyakati mbalimbali katika mawasiliano?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 42
Vifaa vya kidijitali Chati Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 43 Mifano ya insha za masimulizi Picha Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 38 |
Kubainisha nyakati
Kutunga sentensi zenye nyakati mbalimbali
Kubadilisha nyakati
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Nyakati na Hali Insha za Kubuni - Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo - Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo - Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - Kumsomea mzazi au mlezi makala akizingatia vipengele vya usomaji bora - Kutunga kifungu kuhusu umuhimu wa misitu - Kutumia vipengele vya kusoma kwa ufasaha |
Je, ni jambo gani litakalotokea katika habari uliyosikiliza?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 40
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 42 Kadi zenye mifano Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 43 |
Kusoma kifungu kwa ufasaha
Kutunga kifungu
Kutoa maoni
|
|
| 4 | 4 |
UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Mazungumzo Mahususi - Maamkuzi
Kusoma kwa Ufahamu Nyakati na Hali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maamkuzi na maagano ya nyakati mbalimbali za siku - Kutambua majibu ya maamkuzi na maagano ya nyakati mbalimbali za siku - Kutambua maamkuzi yanayotumiwa na makundi mbalimbali ya kijamii pamoja na majibu ya maamkuzi hayo - Kutumia maamkuzi na maagano mwafaka katika miktadha mbalimbali - Kujenga mazoea ya kutumia maamkuzi na maagano mwafaka katika maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maamkuzi pamoja na majibu ya maamkuzi hayo - Kutambua maamkuzi mwafaka kwa kuzingatia mahusiano ya kijamii - Kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali - Kuigiza mazungumzo akiwa katika kikundi kwa kuzingatia maamkuzi na maagano mwafaka - Kushirikiana na wenzake kujadili kuhusu maamkuzi na maagano yanayotumiwa |
Je, ni maamkuzi na maagano gani yanayotumiwa katika jamii yako?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 50
Chati za maamkuzi Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 53 Kamusi Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 55 Chati mabango |
Kutambua maamkuzi na maagano
Kuigiza mazungumzo
Kutumia lugha ya adabu
|
|
| 4 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha ya Maelekezo
Mazungumzo Mahususi - Maagano Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya maelekezo - Kutambua aina za insha za maelekezo - Kujadili sifa za insha ya maelekezo - Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo - Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele muhimu vya insha ya maelekezo - Kufurahia kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele vyake muhimu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya insha ya maelekezo - Kutambua anwani ya insha ya maelekezo - Kutambua aina za insha za maelekezo - Kujadili sifa za insha ya maelekezo - Kushiriki katika kikundi kuandaa mpangilio ufaao wa hatua za insha ya maelekezo - Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele vyake muhimu |
Ukimwelekeza rafiki yako nyumbani kwenu utatumia mpangilio gani wa hatua ili asipotee njia?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 56
Mifano ya insha za maelekezo Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 59 Mti wa maneno Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 62 Kamusi |
Kutambua sifa za insha ya maelekezo
Kuandaa mpangilio wa hatua
Kuandika insha ya maelekezo
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Nyakati na Hali
Insha ya Maelekezo Kusikiliza kwa Kufasiri - Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kubainisha vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea, uliopita hali ya kuendelea na ujao hali ya kuendelea katika matini - Kutumia wakati uliopo hali ya kuendelea, uliopita hali ya kuendelea na ujao hali ya kuendelea ifaavyo katika matini - Kuchangamkia kutumia wakati uliopo hali ya kuendelea, uliopita hali ya kuendelea na ujao hali ya kuendelea ifaavyo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika sentensi kuhusu unyanyasaji wa kijinsia - Kuwasambazie wenzake sentensi mtandaoni ili waziweke katika nyakati na hali zinazozingatiwa - Kubadilisha nyakati na hali katika kifungu kulingana na maagizo - Kushirikiana na mzazi au mlezi kubadilisha nyakati na hali katika kifungu - Kutumia viambishi vya nyakati na hali ipasavyo |
Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 64
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 65 Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 66 |
Kuandika sentensi
Kubadilisha nyakati na hali
Kushirikiana na wenzake
|
|
| 5 | 2 |
USALAMA SHULENI
Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira
Vitenzi Vikuu na Vitenzi Visaidizi Insha za Kubuni - Picha Kusikiliza kwa Kufasiri - Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza dhana za maudhui na dhamira katika fasihi - Kujadili maudhui katika novela - Kujadili dhamira katika novela - Kutoa muhtasari wa dhamira na maudhui kuhusu novela - Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya maudhui katika fasihi - Kutambua maudhui mbalimbali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kujadili maudhui ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu maudhui - Kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika novela - Kueleza maana ya dhamira katika fasihi |
Vitabu vya fasihi ulivyowahi kusoma vinazungumzia nini?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 67
Novela iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 68 Kadi maneno Chati Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 69 Picha za usalama Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 70 Matini ya mwalimu |
Kutambua maudhui na dhamira
Kujadili maudhui
Kuandika muhtasari
|
|
| 5 | 3 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira
Vitenzi Vikuu na Vitenzi Visaidizi Insha za Kubuni - Picha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza dhana za maudhui na dhamira katika fasihi - Kujadili maudhui katika novela - Kujadili dhamira katika novela - Kutoa muhtasari wa dhamira na maudhui kuhusu novela - Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua dhamira ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kuandika maelezo mafupi kuhusu dhamira ya novela - Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu dhamira - Kumsomea mzazi au mlezi novela na kutambua dhamira yake - Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma chapisho la novela - Kutambua ujumbe wake |
Kwa nini mwandishi anaandika kazi ya fasihi?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 71
Novela iliyoteuliwa Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 72 Vifaa vya kidijitali Picha mbalimbali |
Kutambua dhamira
Kuwasilisha uchambuzi
Kushirikiana na wazazi
|
|
| 5 | 4 |
KUHUDUMIA JAMII SHULENI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kusikiliza kwa Ufahamu
Ufupisho Vitenzi Vishirikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe katika ufahamu wa kusikiliza - Kueleza maana ya msamiati ulio katika ufahamu wa kusikiliza - Kufasiri ujumbe kutokana na ufahamu wa kusikiliza - Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza kwa ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua ujumbe wa suala lengwa uliotumiwa katika ufahamu wa kusikiliza - Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa - Kusikiliza kauli au vifungu vya sentensi kuhusu suala lengwa - Kufasiri ujumbe katika kauli au sentensi hizo - Kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza ufahamu kuhusu suala lengwa |
Je, kusikiliza kwa ufahamu kuna faida zipi?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 74
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 75 Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 77 Kadi maneno Kapu maneno |
Kutambua ujumbe
Kufasiri ujumbe
Kueleza maana ya msamiati
|
|
| 5 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha za Kubuni - Maelezo
Kusikiliza kwa Ufahamu Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya maelezo - Kutambua msamiati ufaao katika kutoa maelezo - Kutambua umuhimu wa msamiati ufaao katika insha ya maelezo - Kutumia msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo - Kufurahia kuandika insha za maelezo ili kujenga stadi ya kuandika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati ufaao katika kutoa maelezo kutoka kwa vielelezo vya insha - Kutumia kifaa cha kidijitali kupigia mstari maneno yaliyotumiwa kutoa maelezo - Kutambua umuhimu wa kuteua maneno yafaayo katika kielelezo cha insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia msamiati ufaao - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni |
Je, unatumia lugha ya aina gani unapotaka kumweleza mtu jambo fulani ili aweze kupata picha kamili?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 78
Mifano ya insha za maelezo Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 80 Mgeni mwalikwa Matini ya mwalimu |
Kutambua msamiati ufaao
Kuandika insha ya maelezo
Kutumia lugha ya maelezo
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Vitenzi Vishirikishi
Insha za Kubuni - Maelezo Kuzungumza ili Kupasha Habari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vitenzi vishirikishi katika matini - Kutumia vitenzi vishirikishi katika matini - Kuonea fahari matumizi ya vitenzi vishirikishi katika sentensi na vifungu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mkumbushe mwenzako kuhusu maana ya vitenzi vishirikishi - Chopoeni vitenzi vishirikishi kutoka kwenye kapu maneno - Tambueni vitenzi vishirikishi katika kifungu - Andika sentensi zifuatazo kwenye tarakilishi - Tunga sentensi kwa kutumia vitenzi vishirikishi |
Vitenzi vishirikishi vina kazi gani?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 81
Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 82 Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili uk. 84 Kinasasauti Mgeni mwalikwa |
Kutambua vitenzi vishirikishi
Kutunga sentensi
Kueleza majukumu ya vitenzi
|
|
| 6 | 2 |
ULANGUZI WA BINADAMU
Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusoma kwa Kina - Mandhari
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - Ngeli ya A-WA Viakifishi - Kiulizi Kuzungumza ili Kupasha Habari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mandhari na ploti katika fasihi - Kutambua mandhari mbalimbali na ploti ya novela - Kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ya novela |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mandhari katika fasihi - Kutambua mandhari mbalimbali katika novela iliyoteuliwa - Kujadili umuhimu wa mandhari ya novela - Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu mandhari |
Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika kazi za fasihi ulizowahi kusoma?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 85
Novela iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Michoro Nyota ya Kiswahili uk. 86 Chati Kadi maneno Tarakilishi Nyota ya Kiswahili uk. 88 Matini za mwalimu Kadi za mifano Nyota ya Kiswahili uk. 89 Chati za vipengele |
Kutambua mandhari
Kuandika maelezo mafupi
Kuwasilisha uchambuzi
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Kina - Ploti
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - Ngeli ya U-I Viakifishi - Koma |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ploti ya novela - Kujadili umuhimu wa ploti katika novela - Kuandika maelezo mafupi kuhusu ploti ya novela |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ploti katika fasihi - Kutambua ploti ya novela iliyoteuliwa - Kujadili umuhimu wa ploti ya novela - Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu ploti |
Ploti ya hadithi ina vipengele gani?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 90
Novela iliyoteuliwa Video za uchambuzi Nyota ya Kiswahili uk. 91 Chati Kadi maneno Matini za mwalimu Nyota ya Kiswahili uk. 93 Tarakilishi Mifano ya sentensi Vitabu vya ziada |
Kutambua ploti
Kuandika maelezo mafupi
Kuwasilisha uchambuzi
|
|
| 6 | 4 |
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /d/ na /nd/
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya KI-VI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sauti /d/ na /nd/ katika silabi na maneno - Kutamka sauti /d/ na /nd/ ipasavyo - Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /d/ na /nd/ katika mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /d/ na /nd/ katika maneno na silabi - Kutafuta maneno yenye sauti /d/ na /nd/ katika matini - Kutunga vitanzandimi vinavyotumia sauti /d/ na /nd/ |
Ni maneno yepi unayoyajua yaliyo na sauti /d/ na /nd/?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 95
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Tarakilishi Nyota ya Kiswahili uk. 97 Kamusi Matini ya kushawishi Nyota ya Kiswahili uk. 98 Chati Kadi maneno |
Kutambua sauti sahihi
Kutamka ipasavyo
Kuunda vitanzandimi
|
|
| 6 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /d/ na /nd/ Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo - Kueleza vipengele vinavyojenga wazo - Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika aya ipasavyo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi - Kushirikiana na wenzake kueleza vipengele vinavyojenga wazo - Kuandika insha ya masimulizi akizingatia sehemu ya mwanzo, kati na hitimisho |
Ni sehemu gani kuu katika mpangilio wa matukio ya insha ya masimulizi?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 100
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha Nyota ya Kiswahili uk. 101 Simu Rununu Vitabu vya hadithi Nyota ya Kiswahili uk. 103 Kamusi |
Kuandika insha
Kuwasilisha kazi
Kusahihisha insha
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya LI-YA
Insha za Kubuni - Masimulizi Nyimbo za Kazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi - Kutumia ipasavyo upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kadi maneno - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA - Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi wa nomino za ngeli ya LI-YA |
Utajuaje kama matini inazingatia kanuni za kisarufi?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 104
Chati Kadi maneno Tarakilishi Nyota ya Kiswahili uk. 105 Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 107 Kinasasauti Picha za mazingira |
Kutambua nomino za ngeli
Kutunga sentensi sahihi
Kufanyiana tathmini
|
|
| 7 | 2 |
KUJITHAMINI
Kusoma Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Kina - Wahusika
Vinyume vya Maneno - Nomino Barua ya Kuomba Msamaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua wahusika katika novela - Kujadili sifa za wahusika katika novela - Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kutambua wahusika katika novela - Kujadili sifa za wahusika katika novela - Kuigiza wahusika katika novela |
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 109
Novela iliyoteuliwa Video za wahusika Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 110 Mti maneno Kadi za nomino Tarakilishi Nyota ya Kiswahili uk. 111 Mifano ya barua |
Kutambua wahusika
Kuandaa muhtasari
Kuigiza wahusika
|
|
| 7 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Sarufi Kuandika |
Nyimbo za Dini
Kusoma kwa Kina - Wahusika Vinyume vya Maneno - Vivumishi Barua ya Kuomba Msamaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nyimbo za dini - Kutambua mazingira ambapo nyimbo za dini huimbwa - Kuwasilisha nyimbo za dini kwa zamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kielelezo cha nyimbo za dini - Kueleza maana ya nyimbo za dini - Kutambua mazingira mengine ambapo nyimbo za dini huimbwa - Kutunga wimbo mwepesi wa dini |
Je, nyimbo za kazi na za dini zinatofautianaje?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 113
Vifaa vya kidijitali Simu Vitabu vya nyimbo Nyota ya Kiswahili uk. 114 Video za uchambuzi Novela iliyoteuliwa Nyota ya Kiswahili uk. 115 Kadi maneno Sentensi za mifano Tarakilishi Nyota ya Kiswahili uk. 116 |
Kuimba nyimbo
Kuwasilisha nyimbo
Kurekodi nyimbo
|
|
| 7 | 4 |
MAJUKUMU YA WATOTO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo
Kusoma kwa Mapana Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kujadili vitendo au ishara vya kuambatanisha na mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kuigiza jinsi ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo |
Ni vitendo gani tunatumia tunapozungumza?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 117
Video za mazungumzo Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 118 Makala mbalimbali Kamusi Nyota ya Kiswahili uk. 119 Tarakilishi Kapu maneno Jedwali la vitenzi |
Kuigiza mazungumzo
Kutambua vipengele
Kushiriki mazungumzo
|
|
| 7 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha za Kubuni - Maelezo
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo - Kueleza mpangilio wa insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo inayozingatia mpangilio ufaao |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya maelezo kuhusu haki za watoto - Kutambua mpangilio wa maelezo katika insha - Kushirikiana kueleza jinsi maelezo yalivyopangwa - Kuandika vidokezo vya insha kuhusu majukumu ya watoto |
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 121
Mifano ya insha Tarakilishi Vidokezo vya insha Nyota ya Kiswahili uk. 122 Rununu Video za mazungumzo Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 123 Matini mbalimbali Mtandao |
Kutambua mpangilio
Kuandika vidokezo
Kuandika insha
|
|
| 8 |
Midterm break |
||||||||
| 9 |
Halfterm |
||||||||
| 10 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendwa
Insha za Kubuni - Maelezo Kusikiliza kwa Makini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa - Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa ipasavyo - Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa - Kutenga vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda na kutendwa - Kugeuza vitenzi katika jedwali katika kauli zinazoangaziwa - Kutunga kifungu kuhusu majukumu ya watoto |
Ni kauli gani za vitenzi unazozijua?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 124
Tarakilishi Kadi maneno Jedwali la vitenzi Nyota ya Kiswahili uk. 125 Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 127 Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kutambua vitenzi
Kutenga vitenzi
Kutunga kifungu
|
|
| 10 | 2 |
MAGONJWA AMBUKIZI
Kusoma Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano Hotuba ya Kupasha Habari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo - Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha - Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akizingatia matamshi bora - Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 128
Vifaa vya kidijitali Video Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 129 Chati Kadi maneno Tarakilishi Mifano ya hotuba |
Kusoma kwa ufasaha
Kutazama video
Kutoa maoni kuhusu usomaji
|
|
| 10 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Sarufi Kuandika |
Kusikiliza kwa Makini
Kusoma kwa Ufasaha Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano Hotuba ya Kupasha Habari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza - Kuwasilisha hoja muhimu katika habari - Kujenga mazoea ya kutambua hoja katika habari anayosikiliza ili kuimarisha usikilizaji wa makini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza habari kwenye kinasasauti jinsi atakavyoongozwa na mwalimu - Kutafiti mtandaoni kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya magonjwa yanayoambukizwa - Kuwawasilishie wenzake hoja muhimu alizotatmbua katika utafiti wake |
Unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika habari uliyosikiliza?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 132
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 133 Kifungu kuhusu magonjwa Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 135 Kadi maneno Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 136 Tarakilishi |
Kutambua hoja muhimu
Kuwasilisha utafiti
Kutoa maoni
|
|
| 10 | 4 |
UTATUZI WA MIZOZO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Wahusika katika Nyimbo
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua wahusika katika wimbo - Kuchambua wahusika katika wimbo - Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika wimbo - Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika nyimbo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kutambua wahusika katika wimbo aliosikiliza - Kuchambua akiwa na wenzake wahusika katika wimbo anaosikiliza - Kuimba au kusikiliza wimbo katika vifaa vya kidijitali kuhusu utatuzi wa mizozo |
Je, ni wahusika gani katika wimbo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 137
Kinasasauti Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyimbo za utatuzi wa mizozo Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 139 Novela iliyoteuliwa Kamusi Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 140 Chati za nyakati Mti maneno |
Kutambua wahusika
Kuchambua wahusika
Kuimba nyimbo
|
|
| 10 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha za Kubuni - Maelezo
Wahusika katika Nyimbo Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mtu - Kuchangamkia kutoa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua dhana ya insha ya maelezo akiwa peke yake au katika kikundi - Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo akiwa na wenzake katika kikundi - Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo - Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu sura na matendo ya mtu |
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 141
Mifano ya insha za maelezo Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 142 Kinasasauti Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 143 Novela iliyoteuliwa |
Kutambua insha ya maelezo
Kuandaa vidokezo
Kujadiliana kuhusu mada
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati
Insha za Kubuni - Maelezo Lugha katika Nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji - Kutambua nyakati katika matini - Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini - Kutumia ipasavyo hali ya ukanushaji wa wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini - Kuchangamkia kukanusha sentensi katika wakati uliopita, uliopo na ujao ili kukuza mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi kwa kutumia nyakati hizo na kujadiliana na wenzake wakiwa wawili wawili au katika kikundi - Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji katika wakati uliopita, uliopo na ujao kuhusu utatuzi wa mizozo - Kushirikiana na wenzake kuwatumia sentensi kupitia vifaa vya kidijitali |
Ni nyakati gani zinazoathiri ukanushaji?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 144
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Kadi maneno Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 145 Tarakilishi Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 147 Kinasasauti Nyimbo kuhusu pesa |
Kutunga sentensi za ukanushaji
Kubadilisha nyakati
Kushirikiana kutumia vifaa vya kidijitali
|
|
| 11 | 2 |
MATUMIZI YA PESA
Kusoma Sarufi Kuandika |
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Ukubwa wa Nomino Insha ya Maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala - Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala - Kuandika habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi - Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala - Kuridhia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala cha ufahamu 'Mla Leo' kuhusu matumizi ya pesa - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala cha ufahamu - Kutambua msamiati mpya kuhusu matumizi ya pesa katika kifungu cha mjadala - Kuandika habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi |
Kwa nini tunasoma ufahamu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 149
Kifungu 'Mla Leo' Kamusi Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 151 Kadi maneno Chati Vifaa vya darasani Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 152 Mifano ya insha za maelekezo Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kifungu cha mjadala
Kudondoa habari mahususi
Kuandika ufupisho
|
|
| 11 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Sarufi Kuandika |
Lugha katika Nyimbo
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala Ukubwa wa Nomino Insha ya Maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule - Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika nyimbo kama utungo wa fasihi simulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo mtakayoimbiwa na mwalimu na kuimba wimbo mliosikiliza - Kutambua mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo mliosikiliza - Kujadili umuhimu wa vipengele vya mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo - Kushirikiana na mwenzake kutunga wimbo unaohusu matumizi ya pesa na kuimbeni wimbo wenu huku mkijirekodi kwenye kinasasauti |
Kutumia vipengele mbalimbali vya lugha katika wimbo kuna umuhimu gani?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 154
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu Kifungu 'Uwekezaji bora' Kamusi Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 156 Kadi maneno Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 158 Tarakilishi |
Kutambua mbinu za lugha
Kutunga wimbo
Kujirekodi
|
|
| 11 | 4 |
MAADILI YA MTU BINAFSI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kusikiliza Habari na Kujibu
Ufupisho Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua masuala katika matini aliyosikiliza - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini aliyosikiliza - Kutabiri yatakayotokea katika matini kutokana na vidokezo alivyosikia katika habari - Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza - Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua masuala yanayoshughulikiwa katika matini kuhusu maadili ya mtu binafsi aliyosikiliza - Kutambua msamiati wa maadili ya mtu binafsi uliotumika katika matini alizosikiliza - Kutabiri kitakachotokea au atakachofanya mhusika kutoka kwenye matini aliyosikiliza kwa kuzingatia vidokezo |
Je, ni mambo gani yanayokuelekeza kufasiri suala muhimu katika habari unayosikiliza?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 159
Kinasasauti Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 160 Kifungu kuhusu maadili Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 161 Mifano ya sentensi za usemi halisi na wa taarifa |
Kutambua masuala
Kutambua msamiati
Kutabiri matukio
|
|
| 11 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika |
Kuandika Kidijitali - Baruapepe
Kusikiliza Habari na Kujibu Ufupisho Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa Kuandika Kidijitali - Baruapepe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki - Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki - Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki - Kuandika baruapepe kwa rafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe kwa rafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma baruapepe na kutambua ujumbe katika barua hiyo - Kutambua na kujadili ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki - Kujadili vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki vinavyojitokeza kwenye barua - Kushiriki katika kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki |
Je, utazingatia nini unapoandika barua pepe kwa rafiki yako?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 163
Mfano wa baruapepe Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 164 Kinasasauti Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 165 Kifungu 'Adili' Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 166 Mifano ya sentensi Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 167 |
Kusoma baruapepe
Kutambua ujumbe na muundo
Kujadili lugha inayofaa
|
|
| 12 |
Endterm exam |
||||||||
| 13 |
Marking |
||||||||
| 14 |
Closing |
||||||||
Your Name Comes Here