If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 4 | 1-2 |
USALAMA SHULENI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kusikiliza kwa Kufasiri - Matini
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira Vitenzi Vikuu na Vitenzi Visaidizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza kwa usahihi masuala yanayozungumziwa katika matini ya kusikiliza - Kufasiri habari katika matini ya kusikiliza - Kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumika katika matini ya kusikiliza - Kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo katika matini ya kusikiliza - Kufurahia kufasiri matini za kusikiliza ili kukuza stadi ya kusikiliza Mwisho wa funzo, - Kueleza dhana za maudhui na dhamira katika fasihi - Kujadili maudhui katika novela - Kujadili dhamira katika novela - Kutoa muhtasari wa dhamira na maudhui kuhusu novela - Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza - Kufasiri habari katika matini aliyosikiliza - Kueleza maana ya msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumika katika habari - Kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo - Kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza na kuchanganua habari Mwanafunzi aelekezwe: - Kueleza maana ya maudhui katika fasihi - Kutambua maudhui mbalimbali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kujadili maudhui ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu maudhui - Kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika novela - Kueleza maana ya dhamira katika fasihi |
Je, ni mambo gani utakayozingatia katika kuchanganua habari uliyosikiliza?
Vitabu vya fasihi ulivyowahi kusoma vinazungumzia nini? |
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 66
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 67 Novela iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 68 Kadi maneno Chati |
Kufasiri habari
Kutabiri matukio
Kueleza maana ya msamiati
Kutambua maudhui na dhamira Kujadili maudhui Kuandika muhtasari |
|
| 4 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Picha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kubuni anwani inayooana na kisa atakachosimulia kutokana na picha katika matini - Kutoa maelezo dhahiri kuhusu matukio katika picha kwenye matini - Kuandika kisa chenye maelezo dhahiri kutokana na picha katika matini - Kufurahia kusimulia kisa kutokana na picha ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kusimuliana matukio kutokana na picha - Kubuni anwani inayooana na kisa atakachosimulia kutokana na picha - Kutoa maelezo dhahiri kuhusu matukio katika picha - Kuandika kisa chenye maelezo dhahiri kutokana na picha - Kuwasomea wenzake kisa alichoandika ili wakitolee maoni |
Je, ni vigezo vipi utakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya kubuni kutokana na picha?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 69
Picha za usalama Vifaa vya kidijitali |
Kubuni anwani
Kuandika kisa
Kutoa maelezo dhahiri
|
|
| 4 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kufasiri - Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza kwa usahihi masuala yanayozungumziwa katika matini ya kusikiliza - Kufasiri habari katika matini ya kusikiliza - Kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumika katika matini ya kusikiliza - Kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo katika matini ya kusikiliza - Kufurahia kufasiri matini za kusikiliza ili kukuza stadi ya kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza habari mtakayosomewa na mwalimu - Shirikiana na mwenzako kueleza masuala ambayo yamezungumziwa - Tambueni na kueleza maana ya msamiati juu ya usalama shuleni - Mlidhani ni jambo gani lingetokea katika habari baada ya kusomewa anwani - Kufasiri habari kutokana na vidokezo |
Ni jambo gani litakalotokea katika matini?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 70
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kusikiliza na kufasiri
Kutambua msamiati
Kutabiri matukio
|
|
| 5 | 1-2 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira
Vitenzi Vikuu na Vitenzi Visaidizi Insha za Kubuni - Picha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza dhana za maudhui na dhamira katika fasihi - Kujadili maudhui katika novela - Kujadili dhamira katika novela - Kutoa muhtasari wa dhamira na maudhui kuhusu novela - Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku Mwisho wa funzo, - Kubuni anwani inayooana na kisa atakachosimulia kutokana na picha katika matini - Kutoa maelezo dhahiri kuhusu matukio katika picha kwenye matini - Kuandika kisa chenye maelezo dhahiri kutokana na picha katika matini - Kufurahia kusimulia kisa kutokana na picha ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua dhamira ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kuandika maelezo mafupi kuhusu dhamira ya novela - Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu dhamira - Kumsomea mzazi au mlezi novela na kutambua dhamira yake - Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma chapisho la novela - Kutambua ujumbe wake Mwanafunzi aelekezwe: - Kuandika kisa chenye maelezo dhahiri kutokana na picha - Kuwasomea wenzake kisa alichoandika ili wakitolee maoni - Kushirikiana na mzazi au mlezi kutafiti mtandaoni kuhusu insha za picha - Kusimuliana visa kutokana na picha - Kutoa maelezo kuhusu matukio katika picha |
Kwa nini mwandishi anaandika kazi ya fasihi?
Utawezaje kubuni kisa kutokana na picha? |
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 71
Novela iliyoteuliwa Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 72 Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 72 Picha mbalimbali Vifaa vya kidijitali |
Kutambua dhamira
Kuwasilisha uchambuzi
Kushirikiana na wazazi
Kuandika kisa Kusimuliana visa Kutafiti kuhusu insha za picha |
|
| 5 | 3 |
KUHUDUMIA JAMII SHULENI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe katika ufahamu wa kusikiliza - Kueleza maana ya msamiati ulio katika ufahamu wa kusikiliza - Kufasiri ujumbe kutokana na ufahamu wa kusikiliza - Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza kwa ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua ujumbe wa suala lengwa uliotumiwa katika ufahamu wa kusikiliza - Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa - Kusikiliza kauli au vifungu vya sentensi kuhusu suala lengwa - Kufasiri ujumbe katika kauli au sentensi hizo - Kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza ufahamu kuhusu suala lengwa |
Je, kusikiliza kwa ufahamu kuna faida zipi?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 74
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua ujumbe
Kufasiri ujumbe
Kueleza maana ya msamiati
|
|
| 5 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Vitenzi Vishirikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua - Kutambua habari kuu za aya na kuzieleza kwa usahihi katika sentensi moja - Kufupisha kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa habari kutokana na matini - Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ufupisho - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa - Kutambua habari kuu za aya na kuzieleza kwa usahihi - Kufupisha kifungu alichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari - Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni |
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 75
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 77 Kadi maneno Kapu maneno |
Kutambua habari kuu
Kufupisha kifungu
Kuwasilisha ufupisho
|
|
| 6 | 1-2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Maelezo
Kusikiliza kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya maelezo - Kutambua msamiati ufaao katika kutoa maelezo - Kutambua umuhimu wa msamiati ufaao katika insha ya maelezo - Kutumia msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo - Kufurahia kuandika insha za maelezo ili kujenga stadi ya kuandika Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe katika ufahamu wa kusikiliza - Kueleza maana ya msamiati ulio katika ufahamu wa kusikiliza - Kufasiri ujumbe kutokana na ufahamu wa kusikiliza - Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza kwa ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati ufaao katika kutoa maelezo kutoka kwa vielelezo vya insha - Kutumia kifaa cha kidijitali kupigia mstari maneno yaliyotumiwa kutoa maelezo - Kutambua umuhimu wa kuteua maneno yafaayo katika kielelezo cha insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia msamiati ufaao - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni Mwanafunzi aelekezwe: - Sikiliza habari atakayotoa mgeni mwalikwa kuhusu kuhudumia jamii shuleni - Tambua ujumbe katika habari mliyosikiliza - Dondoa msamiati kuhusu kuhudumia jamii shuleni - Eleza maana ya msamiati uliotumiwa - Sikilizeni mgeni mwalikwa akitaja kauli kuhusu kuhudumia jamii shuleni |
Je, unatumia lugha ya aina gani unapotaka kumweleza mtu jambo fulani ili aweze kupata picha kamili?
Unazingatia nini katika kusikiliza kwa ufahamu? |
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 78
Mifano ya insha za maelezo Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 80 Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali |
Kutambua msamiati ufaao
Kuandika insha ya maelezo
Kutumia lugha ya maelezo
Kusikiliza mgeni mwalikwa Kutambua ujumbe Kudondoa msamiati |
|
| 6 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Vitenzi Vishirikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua - Kutambua habari kuu za aya na kuzieleza kwa usahihi katika sentensi moja - Kufupisha kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa habari kutokana na matini - Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mkiwa wawiliwawili, elezeni maana ya ufupisho - Soma kifungu "Vyama vya wanafunzi shuleni" - Tambueni habari kuu za kila aya ya kifungu - Fupisheni kifungu mlichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao - Wawasilishie wenzako habari uliyoifupisha ili waitolee maoni |
Ni vipengele vipi muhimu katika ufupisho?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 80
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 81 Kapu maneno |
Kueleza maana ya ufupisho
Kufupisha kifungu
Kuwasilisha ufupisho
|
|
| 6 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya maelezo - Kutambua msamiati ufaao katika kutoa maelezo - Kutambua umuhimu wa msamiati ufaao katika insha ya maelezo - Kutumia msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo - Kufurahia kuandika insha za maelezo ili kujenga stadi ya kuandika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mweleze mwenzako maana ya insha ya maelezo - Someni insha mtakayopatiwa na mwalimu darasani - Tambueni msamiati uliotumika kutoa maelezo katika insha mliyosoma - Andika insha ya maelezo ukizingatia msamiati ufaao - Wasomee wenzako insha uliyoandika ili waitolee maoni |
Ni lugha gani inafaa katika insha ya maelezo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 82
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kueleza maana ya insha ya maelezo
Kuandika insha ya maelezo
Kutumia msamiati ufaao
|
|
| 7 | 1-2 |
ULANGUZI WA BINADAMU
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kuzungumza ili Kupasha Habari
Kusoma kwa Kina - Mandhari Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - Ngeli ya A-WA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kuzungumza ili kupasha habari - Kutambua aina za uzungumzaji wa kupasha habari - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza ili kupasha habari Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mandhari na ploti katika fasihi - Kutambua mandhari mbalimbali na ploti ya novela - Kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ya novela |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza ili kupasha habari - Kushiriki katika kikundi kujadili aina za uzungumzaji wa kupasha habari - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza ili kupasha habari Mwanafunzi aelekezwe: - Kueleza maana ya mandhari katika fasihi - Kutambua mandhari mbalimbali katika novela iliyoteuliwa - Kujadili umuhimu wa mandhari ya novela - Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu mandhari |
Je, uzungumzaji wa kupasha habari hutolewa katika miktadha gani ya jamii yako?
Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika kazi za fasihi ulizowahi kusoma? |
Nyota ya Kiswahili uk. 84
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Mgeni mwalikwa Nyota ya Kiswahili uk. 85 Novela iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Michoro Nyota ya Kiswahili uk. 86 Chati Kadi maneno Tarakilishi |
Kushiriki mazungumzo
Kutathmini vipengele vya kupasha habari
Kutoa maelezo sahihi
Kutambua mandhari Kuandika maelezo mafupi Kuwasilisha uchambuzi |
|
| 7 | 3 |
Kuandika
|
Viakifishi - Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua matumizi ya kiulizi na koma katika matini - Kutumia kiulizi na koma ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi bora ya kiulizi na koma katika matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matumizi ya kiulizi katika maneno, sentensi na vifungu - Kuandika sentensi kuhusu ulanguzi wa binadamu kwa kutumia kiulizi ipasavyo - Kusahihisha kifungu kwa kutumia kiulizi ipasavyo |
Je, kiulizi hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 88
Tarakilishi Matini za mwalimu Kadi za mifano |
Kutambua matumizi ya kiulizi
Kuandika sentensi sahihi
Kusahihisha vifungu
|
|
| 7 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kuzungumza ili Kupasha Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kupasha habari kwa kutumia vipengele vifaavyo - Kuchangamkia kupasha habari mbalimbali ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika uzungumzaji wa kupasha habari kuhusu ulanguzi wa binadamu - Kushiriki katika mazungumzo na mzazi au mlezi wake kuhusu suala lengwa |
Je, utatumia mikakati gani ili kuwapasha wanajamii habari kuhusu mambo mbalimbali?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 89
Vifaa vya kidijitali Chati za vipengele |
Kuwasilisha mazungumzo
Kutathmini mazungumzo
Kutoa maoni
|
|
| 8 | 1-2 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Kina - Ploti
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - Ngeli ya U-I Viakifishi - Koma |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ploti ya novela - Kujadili umuhimu wa ploti katika novela - Kuandika maelezo mafupi kuhusu ploti ya novela Mwisho wa funzo, - Kutambua matumizi ya koma katika matini - Kutumia koma ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi bora ya koma katika matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ploti katika fasihi - Kutambua ploti ya novela iliyoteuliwa - Kujadili umuhimu wa ploti ya novela - Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu ploti Mwanafunzi aelekezwe: - Kutambua matumizi ya koma katika maneno, sentensi na vifungu - Kuandika kifungu kifupi kuhusu ulanguzi wa binadamu kwa kutumia koma ipasavyo - Kusahihisha kifungu kwa kutumia koma ipasavyo |
Ploti ya hadithi ina vipengele gani?
Je, koma hutumiwaje katika sentensi? |
Nyota ya Kiswahili uk. 90
Novela iliyoteuliwa Video za uchambuzi Nyota ya Kiswahili uk. 91 Chati Kadi maneno Matini za mwalimu Nyota ya Kiswahili uk. 93 Tarakilishi Mifano ya sentensi Vitabu vya ziada |
Kutambua ploti
Kuandika maelezo mafupi
Kuwasilisha uchambuzi
Kutambua matumizi ya koma Kuandika kifungu sahihi Kusahihisha vifungu |
|
| 8 | 3 |
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /d/ na /nd/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sauti /d/ na /nd/ katika silabi na maneno - Kutamka sauti /d/ na /nd/ ipasavyo - Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /d/ na /nd/ katika mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /d/ na /nd/ katika maneno na silabi - Kutafuta maneno yenye sauti /d/ na /nd/ katika matini - Kutunga vitanzandimi vinavyotumia sauti /d/ na /nd/ |
Ni maneno yepi unayoyajua yaliyo na sauti /d/ na /nd/?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 95
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Tarakilishi |
Kutambua sauti sahihi
Kutamka ipasavyo
Kuunda vitanzandimi
|
|
| 8 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya KI-VI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi - Kutambua msamiati mpya katika kifungu - Kuandika habari za kifungu kwa ufupi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu athari za teknolojia - Kudondoa habari mahususi katika kifungu - Kutambua msamiati mpya na kueleza maana zake - Kuandika ujumbe wa kifungu kwa ufupi |
Kifungu cha kushawishi kina sifa gani?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 97
Kamusi Matini ya kushawishi Nyota ya Kiswahili uk. 98 Chati Kadi maneno Tarakilishi |
Kudondoa habari sahihi
Kuandika ufupisho
Kuwasilisha kazi
|
|
| 9 | 1-2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /d/ na /nd/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo - Kueleza vipengele vinavyojenga wazo - Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika aya ipasavyo Mwisho wa funzo, - Kutamka maneno yenye sauti /d/ na /nd/ ipasavyo - Kuunda vitanzandimi vyenye sauti /d/ na /nd/ - Kuchangamkia matamshi bora ya sauti hizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi - Kushirikiana na wenzake kueleza vipengele vinavyojenga wazo - Kuandika insha ya masimulizi akizingatia sehemu ya mwanzo, kati na hitimisho Mwanafunzi aelekezwe: - Kutofautisha maneno yenye sauti /d/ na /nd/ katika vitanzandimi - Kutunga vitanzandimi vyenye maneno yenye sauti /d/ na /nd/ - Kujirekodi na kusikiliza vitanzandimi walivyounda |
Ni sehemu gani kuu katika mpangilio wa matukio ya insha ya masimulizi?
Ni maneno yepi unayoyajua yaliyo na sauti /d/ na /nd/? |
Nyota ya Kiswahili uk. 100
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha Nyota ya Kiswahili uk. 101 Simu Rununu Vitabu vya hadithi |
Kuandika insha
Kuwasilisha kazi
Kusahihisha insha
Kutamka ipasavyo Kuunda vitanzandimi Kutathmini vitanzandimi |
|
| 9 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya LI-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua msamiati wa teknolojia - Kuchangamkia usomaji wa ufahamu - Kuridhia kusoma vifungu vya kushawishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya teknolojia shuleni - Kutambua msamiati wa teknolojia - Kuwawasilishia wenzake kifungu alichofupisha |
Kifungu cha kushawishi kina sifa gani?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 103
Kamusi Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 104 Chati Kadi maneno Tarakilishi |
Kujibu maswali
Kuandika ufupisho
Kuwasilisha kazi
|
|
| 9 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika insha ya masimulizi - Kufurahia utunzi wa insha za masimulizi - Kusahihisha insha za wenzake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya masimulizi inayogusia matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kuwasambazie wenzake insha aliyoandika - Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya masimulizi |
Ni sehemu gani kuu katika mpangilio wa matukio ya insha ya masimulizi?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 105
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha
Kusambazie kazi
Kusahihisha insha
|
|
| 10 | 1-2 |
KUJITHAMINI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Nyimbo za Kazi
Kusoma kwa Kina - Wahusika Vinyume vya Maneno - Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nyimbo za kazi na za dini - Kutambua mazingira ambapo nyimbo za kazi huimbwa - Kueleza ujumbe katika nyimbo za kazi Mwisho wa funzo, - Kutambua wahusika katika novela - Kujadili sifa za wahusika katika novela - Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kielelezo cha wimbo wa kazi kutoka kwa mwalimu - Kueleza maana ya nyimbo za kazi - Kutambua mazingira ambapo nyimbo za kazi huimbwa - Kueleza ujumbe katika nyimbo za kazi Mwanafunzi aelekezwe: - Kusoma novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kutambua wahusika katika novela - Kujadili sifa za wahusika katika novela - Kuigiza wahusika katika novela |
Je, unajua nyimbo zipi katika jamii yako?
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela? |
Nyota ya Kiswahili uk. 107
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Picha za mazingira Nyota ya Kiswahili uk. 109 Novela iliyoteuliwa Video za wahusika Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 110 Mti maneno Kadi za nomino Tarakilishi |
Kuimba nyimbo
Kueleza ujumbe
Kurekodi nyimbo
Kutambua wahusika Kuandaa muhtasari Kuigiza wahusika |
|
| 10 | 3 |
Kuandika
|
Barua ya Kuomba Msamaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha - Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha - Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza umuhimu wa kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha - Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha - Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 111
Mifano ya barua Tarakilishi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vipengele
Kuandika barua
Kuwasilisha barua
|
|
| 10 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Nyimbo za Dini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nyimbo za dini - Kutambua mazingira ambapo nyimbo za dini huimbwa - Kuwasilisha nyimbo za dini kwa zamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kielelezo cha nyimbo za dini - Kueleza maana ya nyimbo za dini - Kutambua mazingira mengine ambapo nyimbo za dini huimbwa - Kutunga wimbo mwepesi wa dini |
Je, nyimbo za kazi na za dini zinatofautianaje?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 113
Vifaa vya kidijitali Simu Vitabu vya nyimbo |
Kuimba nyimbo
Kuwasilisha nyimbo
Kurekodi nyimbo
|
|
| 11 | 1-2 |
Kusoma
Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Kina - Wahusika
Vinyume vya Maneno - Vivumishi Barua ya Kuomba Msamaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika maelezo mafupi kuhusu wahusika - Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika - Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi Mwisho wa funzo, - Kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha - Kufurahia kujieleza kwa njia ifaayo kupitia kwa barua - Kushirikiana na wenzake kutathmini barua |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama video kuhusu wahusika katika novela - Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika - Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika - Kumhadithia mzazi au mlezi hadithi ya novela Mwanafunzi aelekezwe: - Kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha kwa mwalimu wa darasa - Kuwasambazie wenzake barua aliyoandika - Kushirikiana na wenzake kutathmini barua za kirafiki |
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha? |
Nyota ya Kiswahili uk. 114
Video za uchambuzi Novela iliyoteuliwa Nyota ya Kiswahili uk. 115 Kadi maneno Sentensi za mifano Tarakilishi Nyota ya Kiswahili uk. 116 Tarakilishi Vifaa vya kidijitali |
Kuandaa muhtasari
Kujadili mafunzo
Kuwasilisha uchambuzi
Kuandika barua Kusambazie kazi Kutathmini barua |
|
| 11 | 3 |
MAJUKUMU YA WATOTO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kujadili vitendo au ishara vya kuambatanisha na mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kuigiza jinsi ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo |
Ni vitendo gani tunatumia tunapozungumza?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 117
Video za mazungumzo Vifaa vya kidijitali |
Kuigiza mazungumzo
Kutambua vipengele
Kushiriki mazungumzo
|
|
| 11 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia - Kutumia ipasavyo msamiati aliosoma katika matini ya kujichagulia |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua makala mbalimbali kuhusu majukumu ya watoto - Kusoma makala aliyojichagulia - Kutambua msamiati uliotumika katika matini aliyoichagua - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno |
Unapenda kusoma matini za aina gani?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 118
Makala mbalimbali Kamusi Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 119 Tarakilishi Kapu maneno Jedwali la vitenzi |
Kusoma matini
Kutambua msamiati
Kutunga sentensi
|
|
| 12 | 1-2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Maelezo
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo - Kueleza mpangilio wa insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo inayozingatia mpangilio ufaao Mwisho wa funzo, - Kutoa mazungumzo kwa kuyaambatanisha na vitendo au ishara zifaazo - Kujenga mazoea ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kushiriki mazungumzo na mzazi au mlezi wake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya maelezo kuhusu haki za watoto - Kutambua mpangilio wa maelezo katika insha - Kushirikiana kueleza jinsi maelezo yalivyopangwa - Kuandika vidokezo vya insha kuhusu majukumu ya watoto Mwanafunzi aelekezwe: - Kuwasilisha mazungumzo yanayoambatana na vitendo kuhusu majukumu ya watoto - Kushiriki na mzazi au mlezi wake katika kuzungumza - Kutazama na kusikiliza mazungumzo yanayoambatana na vitendo |
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
Kuna umuhimu gani wa kutumia vitendo tunapozungumza? |
Nyota ya Kiswahili uk. 121
Mifano ya insha Tarakilishi Vidokezo vya insha Nyota ya Kiswahili uk. 122 Rununu Video za mazungumzo Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mpangilio
Kuandika vidokezo
Kuandika insha
Kuwasilisha mazungumzo Kutathmini mazungumzo Kushiriki na mzazi |
|
| 12 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma - Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku - Kusakura mtandaoni kujichagulia matini ya ziada |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika muhtasari wa makala ya kujichagulia aliyosoma - Kuwawasilishia wenzake muhtasari wake - Kusakura mtandaoni ili kujichagulia matini ya ziada kuhusu majukumu ya watoto |
Unazingatia nini unapochagua matini ya kujisomea?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 123
Matini mbalimbali Mtandao Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 124 Tarakilishi Kadi maneno Jedwali la vitenzi |
Kuandika muhtasari
Kuwasilisha kazi
Kusakura mtandaoni
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao - Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku - Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao wa maelezo - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika - Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo |
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 125
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha
Kuwasilisha kazi
Kusahihisha insha
|
Your Name Comes Here