If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
KAZI MBALIMBALI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua silabi za sauti py, vy na sh katika maneno mbalimbali - Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa - Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi - Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa - Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kutamka maneno hayo vizuri |
Je, unazingatia mambo gani unapotamka maneno mbalimbali katika kifungu?
|
Mentor uk. 48
Kifaa cha kidijitali Kadi maneno Chati Mti maneno |
Kutambua silabi za sauti py, vy na sh
Kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh
Kusoma kifungu chenye sauti py, vy na sh
Kuunda maneno yenye sauti py, vy na sh
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua silabi za sauti py, vy na sh katika maneno kutoka kifungu - Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa - Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa - Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
Mentor uk. 50
Sauti za kurekodi Vifaa vya kidijitali Kadi maneno Picha Mentor uk. 52 Kifaa cha kidijitali Matini |
Kupigia mstari silabi za sauti py, vy na sh katika maneno
Kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti py, vy na sh
|
|
| 2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua sauti py, vy na sh katika kifungu chepesi kuhusu kazi mbalimbali - Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 49 kwa dakika) - Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo |
Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri?
|
Mentor uk. 54
Vifaa vya kidijitali Chati Matini ya mwalimu Mentor uk. 55 Picha |
Kutambua sauti py, vy na sh katika maneno
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kusoma kwa sauti inayosikika
Kusoma kwa kasi ifaayo
Kusoma kwa kuzingatia ishara
|
|
| 2 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti py, vy na sh kwa ufasaha - Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha - Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake - Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo |
Je, ni mambo gani unayozingatia unaposoma kifungu?
|
Mentor uk. 56
Kifaa cha kidijitali Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Chati Kadi |
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma
Kusoma kwa kasi ifaayo
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
|
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nafasi ya pambizo na aya katika uandishi - Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya - Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kulinganisha vifungu vilivyopangwa vizuri na visivyopangwa vizuri - Kutambua vifungu vilivyopangwa vizuri kwa kuzingatia nafasi ya pambizo na aya - Kurekebisha vifungu vilivyoandikwa bila kuzingatia nafasi ya pambizo na aya - Kuandika kifungu kuhusu kazi mbalimbali akizingatia nafasi ya pambizo na aya |
Mnafikiri kifungu kipi kimepangwa vizuri?
|
Mentor uk. 57
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Vifungu mbalimbali Mentor uk. 59 Vitabu vyenye vifungu Karatasi |
Kurekebisha vifungu visivyozingatia pambizo
Kuandika kifungu kizuri akizingatia pambizo na aya
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi - Kutunga sentensi katika umoja na wingi - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake - Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake |
Je, kwa nini unahitaji kutaja vitu katika hali ya umoja na wingi?
|
Mentor uk. 59
Chati yenye sentensi za umoja na wingi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua sentensi katika umoja na wingi
Kujaza nafasi kwa kutumia umoja au wingi wa sentensi
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi - Kutunga sentensi katika umoja na wingi - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi alizopewa kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kuigiza michezo inayohusisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake - Kutunga sentensi katika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake |
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
|
Mentor uk. 60
Kadi za sentensi za umoja na wingi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuambatanisha sentensi za umoja na wingi
Kutunga sentensi katika umoja na wingi
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi - Kutunga sentensi katika umoja na wingi - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuchagua neno sahihi katika mabano kujazia sentensi - Kutunga sentensi katika umoja na wingi kuhusu kazi mbalimbali - Kuwasiliana na mzazi au mlezi akitumia sentensi katika hali ya umoja na wingi ipasavyo |
Taja tofauti kati ya sentensi za umoja na wingi
|
Mentor uk. 61
Vifaa vya kidijitali Kadi zenye sentensi za umoja na wingi Picha |
Kuchagua umoja au wingi wa neno sahihi
Kuandika sentensi katika umoja na wingi
Kutofautisha kati ya sentensi za umoja na wingi
|
|
| 4 | 1 |
USALAMA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza - Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza - Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusikiliza kifungu cha maneno 60-65 kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali ili kutambua ujumbe unaowasilishwa - Kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza akiwa na wenzake - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati aliousikiliza uliotumika kwenye kifungu - Kujibu maswali yanayohusiana na kifungu alichosikiliza |
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?
|
Mentor uk. 64
Vifaa vya kidijitali Chati Kadi maneno Matini ya mwalimu |
Kutambua ujumbe wa kifungu
Kuuliza na kujibu maswali
Orodha hakiki
Kueleza
Kushiriki mjadala
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza - Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza - Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kujadili mambo muhimu katika kifungu alichokisikiliza akiwa na wenzake - Kusimulia wenzake upya kifungu alichokisikiliza - Kutoa maoni kuhusu ujumbe unaopatikana katika kifungu alichosikiliza - Kutambua hatari zinazoweza kumletea mtoto |
Je, unafanya nini ili uelewe mambo unayoambiwa?
|
Mentor uk. 65
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Picha kuhusu usalama |
Kutambua msamiati katika kifungu
Kueleza ujumbe wa kifungu
Kusimulia kifungu
|
|
| 4 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza - Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza - Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza - Kuchangamkia kusikiliza kifungu |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Elezeni ujumbe wa kifungu mlichosikiliza katika Shughuli ya 1 - Andikeni maneno mapya mliyopata kwenye kifungu hicho - Elezeni maana ya maneno hayo - Tungeni sentensi mkitumia maneno mliyoandika - Simulia mwenzako kifungu mlichosikiliza |
Je, ni mambo gani ya usalama unayoweza kutambua katika mazingira yako?
|
Mentor uk. 65
Vifaa vya kidijitali Chati Picha zinazohusiana na usalama |
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno mapya
Kusimulia kifungu kwa ufasaha
|
|
| 4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi - Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Sikilizeni shairi kwenye kifaa cha kidijitali - Elezeni shairi linahusu nini - Jadilini hatari zinazoweza kutokea nyumbani au shuleni - Tazameni picha na kutabiri maudhui ya kifungu mtakachosoma |
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu simulizi kwa usahihi?
|
Mentor uk. 66
Picha Michoro Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kwa kutambua habari mahususi
Kujibu maswali
Kupanga matukio kwa mtiririko sahihi
Kufanya tathmini
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi - Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Soma kifungu kilichotolewa kuhusu usalama - Jibu maswali yanayohusiana na kifungu hicho - Jadili ujumbe uliomo kwenye kifungu - Eleza mambo muhimu kuhusu usalama shuleni au nyumbani |
Je, ujumbe gani unapatikana katika kifungu kuhusu usalama?
|
Mentor uk. 67
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kusoma na kufasiri kifungu
Kueleza ujumbe wa kifungu
Kutoa mifano ya hatari zinazoweza kumkumba mtoto
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi - Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Tambua msamiati mpya katika kifungu ulichosoma - Tumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi - Eleza mafunzo yanayopatikana kutokana na kifungu kuhusu usalama - Jadili mbinu za kuzingatia usalama katika mazingira yako |
Je, ni hatua gani unazoweza kuchukua ili kuhakikisha uko salama?
|
Mentor uk. 68
Kadi za maneno mapya Picha zinazohusiana na usalama Chati |
Kutambua msamiati mpya
Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
Kufanya tathmini ya maana ya msamiati
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
|
Matumizi ya Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua alama ya kiulizi katika matini - Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini - Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua alama ya kiulizi katika sentensi kutoka kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake - Kujadili na wenzake matumizi ya alama ya kiulizi ili kukuza uwezo wa kuitumia ipasavyo - Kunakili ipasavyo kifungu kilichotumia alama ya kiulizi akishirikiana na wenzake |
Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika maandishi?
|
Mentor uk. 69
Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali Kadi zenye mifano ya matumizi ya kiulizi |
Kutambua alama ya kiulizi katika matini
Kutunga sentensi zenye alama ya kiulizi
Orodha hakiki ya matumizi ya kiulizi
Kujaza pengo kwa kuweka alama ya kiulizi
|
|
| 5 | 4 |
Kuandika
|
Matumizi ya Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua alama ya kiulizi katika matini - Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini - Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Tazama alama ya kiulizi kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali - Eleza matumizi mbalimbali ya alama ya kiulizi katika matini - Sahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama ya kiulizi ipasavyo - Tunga sentensi au vifungu vifupi kuhusu usalama kwa kutumia alama ya kiulizi ipasavyo |
Kwa nini tunahitaji kutumia alama ya kiulizi katika maandishi?
|
Mentor uk. 70
Mifano ya sentensi zenye alama ya kiulizi Vifaa vya kidijitali |
Kueleza matumizi ya alama ya kiulizi
Kusahihisha matumizi ya alama ya kiulizi
Kuandika sentensi zenye alama za kiulizi
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
|
Matumizi ya Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua alama ya kiulizi katika matini - Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini - Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika kifungu cha aya moja mkitumia alama ya kiulizi - Kuwasomea wenzenu kifungu mlichoandika - Kuwaombe watolee kifungu chenu maoni - Kurekebisha makosa yenye matumizi ya alama ya kiulizi katika kifungu |
Ni wakati gani tutahitaji kutumia alama ya kiulizi?
|
Mentor uk. 71
Mifano ya vifungu vyenye alama ya kiulizi Vifaa vya kidijitali Chati |
Kuandika kifungu kifupi chenye alama ya kiulizi
Kutoa maoni kuhusu matumizi ya alama ya kiulizi
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ake na -ao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua -ake na -ao katika sentensi - Kutumia -ake na -ao ipasavyo katika sentensi - Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mazungumzo ya kawaida |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua maneno yenye -ake na -ao katika kifungu - Kueleza matumizi ya -ake na -ao katika sentensi kwa kuonyesha umiliki - Kutazama picha zenye mifano ya matumizi ya -ake na -ao na kuzijadili na wenzake |
Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano?
|
Mentor uk. 71
Picha zinazoonyesha umiliki Mti maneno Kifaa cha kidijitali |
Kutambua -ake na -ao katika sentensi
Kuuliza maswali na kutoa majibu
Kutunga sentensi zenye -ake na -ao
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ake na -ao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua -ake na -ao katika sentensi - Kutumia -ake na -ao ipasavyo katika sentensi - Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mazungumzo ya kawaida |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma sentensi zenye maneno yenye -ake na -ao kutoka kwenye chati, kitabu, vifaa vya kidijitali n.k. akiwa na wenzake - Kutambua -ake na -ao katika kifungu - Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi kwa kutumia -ake na -ao |
Je, unatumia neno gani kuonyesha kuwa kitu ni cha mtu mwingine? Unatumia neno gani kuonyesha kuwa vitu ni vya watu wengine?
|
Mentor uk. 73
Kadi zenye -ake na -ao Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kujaza mapengo kwa -ake na -ao
Kutambua tofauti kati ya -ake na -ao
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ake na -ao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua -ake na -ao katika sentensi - Kutumia -ake na -ao ipasavyo katika sentensi - Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mazungumzo ya kawaida |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu na kutambua maneno yenye -ake na -ao - Kutunga sentensi kwa kutumia -ake na -ao zikiwa katika muktadha wa usalama - Kuigiza matumizi ya -ake na -ao akiwa na wenzake kwa kutumia vitu mbalimbali - Kumsomea mzazi au mlezi sentensi za -ake na -ao zinazoashiria vitendo vya watu mbalimbali nyumbani |
Kwa nini ni muhimu kutofautisha kati ya -ake na -ao katika mawasiliano?
|
Mentor uk. 74
Picha zenye vitu mbalimbali Chati Kadi zenye sentensi za -ake na -ao |
Kutunga sentensi zenye -ake na -ao
Kuorodhesha maneno yenye -ake na -ao
Kufanyiana tathmini
|
|
| 7 | 1 |
USAFI WA MAZINGIRA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua silabi za sauti dh, th na ch katika maneno mbalimbali - Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa - Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi - Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa - Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa - Kutamka maneno hayo vizuri |
Je, kwa nini tunafaa kutamka maneno vizuri?
|
Mentor uk. 77
Kifaa cha kidijitali Kadi maneno Chati Mti maneno |
Kutambua silabi za sauti dh, th na ch
Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch
Kusoma kifungu chenye sauti dh, th na ch
|
|
| 7 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua silabi za sauti dh katika maneno kutoka kifungu - Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa - Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa - Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
Mentor uk. 79
Sauti za kurekodi Vifaa vya kidijitali Kadi maneno Picha |
Kupigia mstari silabi za sauti dh, th na ch katika maneno
Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti dh, th na ch
|
|
| 7 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti th na ch - Kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa - Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano ya kila siku |
Je, ni kwa nini ni muhimu kutamka maneno vizuri tunapozungumza?
|
Mentor uk. 81
Kifaa cha kidijitali Kadi maneno Matini |
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno yenye sauti dh, th na ch
Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa kwa matamshi bora
|
|
| 7 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua sauti dh, th na ch katika kifungu chepesi kuhusu usafi wa mazingira - Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika) - Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo |
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
|
Mentor uk. 83
Vifaa vya kidijitali Chati Matini ya mwalimu |
Kutambua sauti dh, th na ch katika maneno
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kusoma kwa sauti inayosikika
Kusoma kwa kasi ifaayo
Kusoma kwa kuzingatia ishara
|
|
| 8 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa zamu - Kupigia mstari maneno yenye sauti lengwa katika kifungu - Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika vizuri - Kusoma kifungu tena kwa kutumia ishara mbalimbali - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa |
Je, kila mmoja wenu alisoma kwa sauti inayosikika vizuri?
|
Mentor uk. 84
Vifaa vya kidijitali Picha Matini ya mwalimu |
Kutambua maneno yenye sauti dh, th na ch katika kifungu
Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo
Kusoma kifungu kwa kutumia ishara zifaazo
|
|
| 8 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa ufasaha - Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha - Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake - Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo |
Je, mnatumia ishara gani mnapoongea?
|
Mentor uk. 85
Kifaa cha kidijitali Matini ya mwalimu |
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma
Kusoma kwa kasi ifaayo
|
|
| 8 | 3 |
Kuandika
|
Imla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo - Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua maneno yanayotamkwa yakizingatia suala na sauti dh, th na ch na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali - Kusikiliza kwa makini maneno yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali ili kuyaandika ipasavyo |
Je, umewahi kusomewa maneno ili uandike? Yalikuwa maneno gani?
|
Mentor uk. 86
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Karatasi za kuandikia Mentor uk. 87 |
Kutambua maneno ya kuandika
Kuandika kifungu ambacho kinasomwa
|
|
| 8 | 4 |
Kuandika
|
Imla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo - Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika kwa imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo - Kurekebisha imla yake kulingana na maoni ya mwalimu na wenzake - Kuchunguza kazi ya wenzake ili kutoa maoni yake - Kujadili changamoto alizopata wakati wa kuandika imla |
Je, umeandika kwa kuzingatia mambo haya: hati safi, kuacha nafasi katikati ya maneno, kuandika herufi zote vizuri?
|
Mentor uk. 87
Chati Kadi maneno Karatasi za kuandikia |
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla
Kurekebisha makosa ya imla
Tathmini rika
|
|
| 9 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano - Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua maneno yenye rangi -eupe, -eusi, -ekundu kwa kurejelea vitu halisi katika mazingira yake, kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kusikiliza maelezo kuhusu matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake |
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
|
Mentor uk. 88
Picha za vitu vyenye rangi mbalimbali Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
Kupigia mstari maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano - Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Tazama picha za vitu vyenye rangi tofauti - Soma sentensi zilizo chini ya picha - Pigia mstari maneno yaliyotumia -eupe, -eusi na -ekundu - Eleza -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini - Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi na -ekundu |
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini?
|
Mentor uk. 89
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali Kadi za maneno Chati |
Kueleza matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu
Kuorodhesha vitu vya rangi nyeupe, nyeusi na nyekundu
|
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano - Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano - Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kamilisha sentensi ukitumia -eupe, -eusi, -ekundu kulingana na rangi ya picha - Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni - Eleza maana na matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mazingira mbali mbali |
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa vipi kulingana na kategoria za maneno?
|
Mentor uk. 90
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali |
Kukamilisha sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu
Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu
Kutoa mifano ya vitu vyenye rangi nyeupe, nyeusi, nyekundu
|
|
| 9 | 4 |
DUKANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maagizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani - Kutoa maagizo mepesi yanayotumiwa darasani - Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha zinazoonyesha watu wakitoa maagizo - Kutambua maagizo yanayotolewa katika picha hizo - Kujadili kwa nini ni muhimu kufuata maagizo - Kupigilia mstari maagizo katika sentensi mbalimbali - Kutoa mifano ya maagizo mazuri na maagizo mabaya |
Je, kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93
- Picha za watu wakitoa maagizo - Chati zenye maagizo - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93-94 - Kadi zenye maagizo - Vitu halisi vya kutumia katika maigizo |
- Kutambua maagizo katika sentensi
- Kutoa maagizo mbalimbali
- Kufuata maagizo
- Kuuliza na kujibu maswali
- Kujaza nafasi kwa maagizo yanayofaa
|
|
| 10 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Maagizo
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani - Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani - Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusikiliza shairi lenye maagizo likisomwa - Kutambua maagizo katika shairi hilo - Kujadili aina za maagizo zinazotolewa katika shairi - Kutofautisha kati ya maagizo mazuri na maagizo mabaya - Kuimba nyimbo na kukariri mashairi yanayohusu maagizo |
Je, ni maagizo gani mazuri ya kufuata na yapi hayafai kufuatwa?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 94
- Mashairi yenye maagizo - Nyimbo zinazohusiana na maagizo - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 95 - Picha za dukani - Kifungu cha ufahamu "Duka la Kathambi" |
- Kutambua maagizo katika mashairi
- Kutofautisha kati ya maagizo mazuri na mabaya
- Kukariri mashairi yenye maagizo
- Kutunga maagizo mazuri
- Kuwasilisha maagizo kwa wenzake
|
|
| 10 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu - Kutumia msamiati wa suala lengwa katika mawasiliano - Kueleza ujumbe wa kifungu cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma tena kifungu "Duka la Kathambi" - Kutambua msamiati muhimu kama "duka", "muuzaji", "wanunuzi", "noti" - Kutumia msamiati huo kutunga sentensi - Kujibu maswali yanayohitaji habari mahususi kutoka kwenye kifungu - Kujadili umuhimu wa maduka katika jamii |
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96
- Kamusi - Kadi maneno za msamiati wa dukani - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96-97 - Vifungu vya hadithi kuhusu dukani - Picha zinazohusiana na dukani |
- Kutambua msamiati wa dukani
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
- Kuuliza na kujibu maswali
- Kueleza ujumbe wa kifungu
- Kutoa mafunzo kutoka kwenye kifungu
|
|
| 10 | 3 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha - Kueleza ujumbe wa insha - Kufurahia uandishi wa insha ili kuimarisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma insha ya "Joni na Mama Yake" - Kutambua kichwa cha insha hiyo - Kutambua sehemu kuu za insha: utangulizi, kiini, na hitimisho - Kueleza ujumbe wa insha hiyo - Kujadili mambo muhimu yanayozingatiwa katika uandishi wa insha |
Je, umewahi kuandika insha? Ulizingatia mambo gani katika kuandika insha hiyo?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98
- Mfano wa insha "Joni na Mama Yake" - Chati ya muundo wa insha - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98-99 - Kielelezo cha insha - Vifaa vya kidijitali - Orodha hakiki ya kanuni za uandishi |
- Kutambua sehemu za insha
- Kueleza ujumbe wa insha
- Kuchambua muundo wa insha
- Kutoa mafunzo kutoka kwenye insha
- Kuuliza na kujibu maswali
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandika insha yenye maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi - Kusahihisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake - Kufurahia uandishi wa insha ili kuimarisha mawasiliano andishi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma mfano wa insha iliyoandikwa vizuri - Kujadili vipengele muhimu vinavyoifanya insha iwe nzuri - Kuandika insha nyingine kwa kuzingatia maoni aliyopata - Kuwasomea mzazi au mlezi insha aliyoandika - Kuwasilisha insha yake kwa mwalimu |
Je, ni vigezo gani vya tathmini ya insha ya kusimulia?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 99 - Sampuli za insha zilizosahihishwa - Vigezo vya kutathmini insha - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika insha inayofuata kanuni za uandishi
- Kusahihisha insha kulingana na maoni
- Kuwasilisha insha iliyorekebishwa
- Kufanya tathmini ya insha za wenzake
- Kuboresha insha yake
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matumizi ya neno yeye na wao katika ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha zinazoonyesha ukanushaji - Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu katika picha - Kuangalia mifano: "Yeye anaandika - Yeye haandiki" na "Wao wanaandika - Wao hawaandiki" - Kujadili jinsi ukanushaji unavyofanyika kwa nafsi ya tatu |
Je, unafanya nini sasa hivi? Kama hufanyi mambo uliyotaja utasema je?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 100 - Picha za ukanushaji - Chati za sentensi zenye ukanushaji - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji
- Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji
- Kuuliza na kujibu maswali
- Kupambanua ukanushaji katika sentensi
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi - Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi - Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu ipasavyo katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kupigia mstari sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kutofautisha kati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi - Kukamilisha sentensi kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi - Kuandika sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi |
Je, ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja hutofautiana vipi na wa wingi?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 101-102 - Chati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kukamilisha sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kutofautisha kati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Matamshi Bora: Sauti mbw |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja na wingi ipasavyo - Kubadilisha sentensi za ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja hadi wingi - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja - Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu wingi - Kuandika sentensi za nafsi ya tatu umoja katika wingi - Kumsomea mzazi au mlezi sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kucheza michezo ya kuelewana inayohusisha ukanushaji wa nafsi ya tatu |
Je, tutachukulia vipi ukanushaji wa nafsi ya tatu wakati wa kuandika?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 103-104
- Kadi zenye sentensi za kukanusha - Chati ya mifano ya ukanushaji - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 105 - Picha za vitu vyenye maneno ya sauti /mbw/ - Vifaa vya kidijitali - Kadi za silabi za sauti /mbw/ |
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu
- Kubadilisha sentensi za nafsi ya tatu umoja hadi wingi
- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kufanya tathmini ya matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
|
| 11 | 4 |
NDEGE NIMPENDAYE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti mbw
Matamshi Bora: Sauti nd Matamshi Bora: Sauti ny |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua silabi za sauti /mbw/ katika sentensi - Kutamka maneno yenye silabi za sauti /mbw/ kwa ufasaha - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusikiliza mwalimu akisoma sentensi zenye maneno ya sauti /mbw/ - Kutamka sentensi hizo baada ya mwalimu - Kutambua maneno yenye silabi za sauti /mbw/ - Kutamka maneno hayo kwa usahihi - Kutunga sentensi zake akitumia maneno yenye silabi za sauti /mbw/ |
Kwa nini ni muhimu kutamka maneno kwa usahihi?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 106
- Chati zenye sentensi za sauti /mbw/ - Vifaa vya kurekodi sauti - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 107 - Kadi za silabi zenye sauti /nd/ - Picha zenye maneno ya sauti /nd/ - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 109-110 - Kadi za silabi zenye sauti /ny/ - Picha zenye maneno ya sauti /ny/ |
- Kutambua maneno yenye sauti /mbw/
- Kutamka maneno ya sauti /mbw/ kwa usahihi
- Kutunga sentensi zenye maneno ya sauti /mbw/
- Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti /mbw/
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu "Kuku na Mwewe" - Kutamka maneno yote vizuri - Kutambua maneno yenye sauti /mbw/, /nd/ na /ny/ - Kutamka maneno hayo kwa usahihi - Kujadili ujumbe wa kifungu hicho |
Je, ni kwa nini tunafaa kusoma vizuri?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 111
- Kifungu "Kuku na Mwewe" - Vifaa vya kidijitali - Chati za maneno yenye sauti lengwa - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 112 - Vifaa vya kurekodi sauti - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu
- Kusoma kwa matamshi bora
- Kusoma kwa sauti inayosikika
- Kueleza ujumbe wa kifungu
|
|
| 12 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Tahajia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kujadili ishara za mwili zinazotumika wakati wa kuongea - Kusomea mwenzake kifungu cha "Mbwa na Mbweha" akitumia ishara za mwili - Kupokea maoni kutoka kwa mwenzake kuhusu matumizi ya ishara - Kutafuta kifungu kizuri mtandaoni au kitabuni - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi nzuri na ishara mbalimbali |
Je, unajua kutumia ishara gani unapoongea?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 112-113
- Kifungu "Mbwa na Mbweha" - Vifaa vya kidijitali - Vifungu vya hadithi mbalimbali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 114 - Insha "Ndege Wangu" - Kamusi - Vifaa vya kidijitali |
- Kutumia ishara za mwili wakati wa kusoma
- Kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kutoa na kupokea maoni kuhusu usomaji
- Kusoma vifungu mbalimbali
|
|
| 12 | 3 |
Kuandika
|
Tahajia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha - Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno - Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika insha kuhusu ndege anayempenda - Kuzingatia tahajia sahihi za maneno katika uandishi - Kusoma insha yake na kurekebisha tahajia - Kumsomea mzazi au mlezi insha aliyoandika - Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi |
Je, kwa nini ni muhimu kuandika maneno vizuri?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 114-115 - Kamusi - Chati ya tahajia sahihi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika insha yenye tahajia sahihi
- Kurekebisha tahajia zisizo sahihi
- Kutambua na kutumia tahajia sahihi za maneno
- Kusoma insha yake kwa wenzake
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno hili na haya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua neno hili na haya katika sentensi - Kutofautisha kati ya neno hili na haya - Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kujadili matumizi ya hili (umoja) na haya (wingi) - Kutazama picha zenye vitu na kusoma maneno chini ya picha - Kupigia mstari hili na haya katika maneno - Kujadili mifano: "Embe hili" (umoja) na "Maembe haya" (wingi) - Kueleza kuwa hili hutumiwa katika umoja na haya hutumiwa katika wingi |
Je, unatumia neno gani kutaja tunda ambalo liko karibu nawe? Je, unatumia neno gani kutaja matunda ambayo yako karibu nawe?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 116 - Picha za vitu katika umoja na wingi - Chati ya matumizi ya hili na haya - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua matumizi ya hili (umoja)
- Kutambua matumizi ya haya (wingi)
- Kutumia hili na haya katika sentensi
- Kutofautisha kati ya hili na haya
|
|
| 13 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno hili na haya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua neno hili na haya katika kifungu - Kutumia neno hili na haya katika sentensi - Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu kilichotolewa - Kutambua sentensi ambazo zimetumia neno hili - Kutambua sentensi ambazo zimetumia neno haya - Kujaza nafasi kwa kutumia hili na haya - Kuwasomea wenzake sentensi alizojaza - Kuandika kifungu kifupi akitumia hili na haya |
Je, maneno hili na haya hutumiwa kuonyesha nini?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 117 - Kifungu chenye maneno hili na haya - Chati ya sentensi zenye hili na haya - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua hili na haya katika kifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia hili na haya
- Kutunga sentensi zenye hili na haya
- Kuandika kifungu kifupi chenye hili na haya
|
|
| 13 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya neno hili na haya
Mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutumia neno hili na haya ipasavyo katika kifungu - Kuandika kifungu akitumia neno hili na haya ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika kifungu kifupi akitumia hili na haya - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho - Kupokea maoni kutoka kwa mzazi au mlezi - Kusahihisha kifungu chake kulingana na maoni aliyopokea - Kuwasilisha kifungu kilichosahihishwa kwa mwalimu |
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno hili na haya?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 118-119
- Mifano ya vifungu vyenye hili na haya - Kamusi - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 121 - Mfano wa mazungumzo - Picha zinazohusiana na sokoni |
- Kuandika kifungu chenye hili na haya
- Kutumia hili na haya ipasavyo katika mawasiliano
- Kupokea na kutumia maoni
- Kuwasilisha kifungu kilichosahihishwa
|
|
| 13 | 3 |
SOKONI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua suala lengwa linalozungumziwa - Kuteua mada ya kuzungumzia - Kupanga mawazo yake kabla ya kuzungumza - Kuchangamkia mazungumzo katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuchagua jambo la kuzungumzia kati ya "Mambo yanayofanyika sokoni" na "Umuhimu wa soko" - Kuzungumza kuhusu jambo hilo - Kuzingatia matamshi bora, kupanga maelezo vizuri, sauti inayosikika na ishara mbalimbali - Kufanyiana tathmini ya mazungumzo |
Je, unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
- Picha zinazohusiana na shughuli za sokoni - Chati ya vipengele vya kuzingatia katika mazungumzo - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 122 - Picha za watu wakizungumza - Mifano ya mazungumzo bora |
- Kuzungumza kwa ufasaha
- Kutumia matamshi bora
- Kupanga mawazo vizuri
- Kutumia ishara zinazofaa
- Kufanya tathmini ya mazungumzo
|
|
| 13 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha ya sokoni - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu - Kusoma kifungu kilichotolewa - Kuthibitisha iwapo utabiri wao ulitimia - Kujadili kuhusu kifungu hicho - Kutafuta maneno "bidhaa", "mikokoteni", "wateja" na "maduka" katika kifungu |
Je, unafanya nini ili usome kifungu vizuri?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 123
- Picha zinazohusiana na sokoni - Kifungu cha ufahamu - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 124 - Kadi za msamiati wa sokoni - Kamusi |
- Kutambua maneno yanayohusu sokoni
- Kueleza ujumbe wa kifungu
- Kutabiri ujumbe wa kifungu
- Kueleza mafunzo ya kifungu
|
|
| 14 | 1 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa ufahamu
Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu kipya - Kujibu maswali kuhusu kifungu - Kutabiri kitakachotokea baada ya matukio ya kifungu - Kujadili mafunzo yanayopatikana kutoka kifunguni - Kueleza umuhimu wa sokoni katika jamii |
Je, unakisiaje matokeo ya hadithi kutoka kwa matukio ya awali?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 124-125
- Kifungu cha ufahamu - Picha zinazohusiana na sokoni - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-126 - Insha ya "Mimi na Dada Yangu" - Chati ya muundo wa insha ya masimulizi |
- Kutabiri matukio ya hadithi
- Kutambua msamiati mpya
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
- Kueleza mafunzo yanayotokana na hadithi
|
|
| 14 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya masimulizi - Kuandika insha ya masimulizi kati ya maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi - Kufurahia uandishi wa insha ya masimulizi ili kuimarisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kurekebisha makosa katika insha "Mimi na Dada Yangu" - Kuandika insha ya masimulizi yenye maneno 85-90 kuhusu jambo linalohusiana na soko - Kuzingatia muundo wa insha ya masimulizi: utangulizi, kiini na hitimisho - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika - Kupokea maoni kutoka kwa wenzake |
Je, mambo gani yanafaa kuzingatiwa katika uandishi wa insha ya masimulizi?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 126
- Mifano ya insha za masimulizi - Orodha ya kanuni za uandishi wa insha - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 126-127 - Mifano ya insha zilizosahihishwa - Orodha ya vigezo vya kutathmini insha |
- Kuandika insha ya masimulizi
- Kuzingatia kanuni za uandishi
- Kusoma insha kwa wenzake
- Kurekebisha makosa katika insha
|
|
| 14 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya juu ya, ndani ya, na mbele ya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua vihusishi vya mahali katika matini - Kueleza matumizi ya vihusishi vya mahali - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi vya mahali katika mazungumzo ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuambia mwenzake aweke kalamu juu ya dawati - Kujadili matumizi ya kihusishi "juu ya" - Kutazama picha na kujaza nafasi kwa usahihi - Kutunga sentensi tano sahihi akitumia "juu ya" - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga |
Je, unatumia maneno gani kuonyesha kitu kilicho mahali?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 127-128 - Picha za vitu vilivyowekwa mahali mbalimbali - Chati ya vihusishi vya mahali - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua matumizi ya "juu ya"
- Kutunga sentensi zenye kihusishi "juu ya"
- Kujaza nafasi kwa vihusishi vya mahali
- Kucheza michezo ya kuelewa vihusishi
|
|
| 14 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya juu ya, ndani ya, na mbele ya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua vihusishi vya mahali katika matini - Kutumia vihusishi vya mahali ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi vya mahali katika mazungumzo ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuweka kifutio ndani ya mfuko - Kujadili matumizi ya kihusishi "ndani ya" - Kutazama picha na kujaza nafasi kwa usahihi - Kutunga sentensi akitumia "ndani ya" - Kujadili maana ya "mbele ya" - Kusimama mbele ya darasa na kuonyesha wenzake |
Je, vihusishi vya mahali vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 128-129
- Picha zinazohusiana na vihusishi vya mahali - Vitu halisi - Vifaa vya kidijitali - Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 130-131 - Picha zinazoonyesha matumizi ya vihusishi vya mahali - Chati ya sentensi zenye vihusishi vya mahali |
- Kutambua matumizi ya "ndani ya"
- Kutambua matumizi ya "mbele ya"
- Kutunga sentensi zenye vihusishi vya mahali
- Kutumia vihusishi vya mahali katika mazungumzo
|
Your Name Comes Here