Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
KAZI MBALIMBALI

Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Maktaba Yetu [40383]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sauti lengwa /sh/ katika kifungu cha hadithi ya Maktaba Yetu
Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika na kasi ifaayo
Kueleza ujumbe wa hadithi kuhusu kazi za maktabani
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma hadithi ya Maktaba Yetu kuhusu shule ya Shamara, mwalimu mkuu Bwana Yusufu na maktaba mpya
Kujibu maswali: Shule yetu inaitwa nini? / Bwana Yusufu aliwaelekeza wanafunzi kufanya kazi gani maktabani? / Mtu anayefundisha wanafunzi anaitwa nini?
Kumsomea mzazi au mlezi hadithi hii akizingatia matamshi bora
Je, unahakikishaje umesoma kifungu kwa ufasaha?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 46
Picha ya maktaba
Vifaa vya kidijitali
Kamusi ndogo
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Tathmini ya matamshi
2 2
Kuandika
Nafasi ya Pambizo - Andika Kifungu chenye Pambizo na Aya [40386]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya
Kuandika kifungu cha maneno 55–60 kuhusu Kazi Ninayoipenda akizingatia pambizo na aya
Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya akiwa na wenzake
Kusoma kifungu na kutambua pambizo na aya kwenye kitabu au chati
Kuandika kifungu cha maneno 55–60 kuhusu Kazi Ninayoipenda akizingatia hatua za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi
Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 46
Vitabu vya kuandikia
Chati ya pambizo na aya
Vifaa vya kidijitali
Kuandika kifungu chenye pambizo na aya Orodha hakiki Tathmini ya wenzake
2 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora - Sauti /sh/ katika Kifungu [40380]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua silabi za sauti /sh/ katika kifungu
Kutamka maneno yenye sauti /sh/ kwa ufasaha
Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kifungu cha hadithi ya Maktaba Yetu kikisomwa na mwalimu na kutambua maneno yenye sauti /sh/
Kutumia kifaa cha kidijitali kusikiliza matamshi bora ya sauti /sh/
Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti /sh/ kutoka kwa kitabu au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake
Unazingatia mambo gani unapotamka maneno mbalimbali katika kifungu?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 46
Vifaa vya kidijitali (kinasasauti)
Kadi za maneno yenye /sh/
Chati
Kutambua sauti /sh/ Kusoma kifungu kwa ufasaha Tathmini ya matamshi Orodha hakiki
2 4
Matumizi ya Lugha
Umoja na Wingi wa Sentensi - Andika katika Wingi [40389]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sentensi katika umoja na wingi
Kuandika sentensi katika wingi ipasavyo
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake
Kuandika sentensi katika wingi: Mwanafunzi alitunza kitabu chake / Mkulima alinunua jembe jipya / Daktari alimtibu mgonjwa / Mwalimu anafunza vizuri
Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizoandika ili azitolee maoni
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 46
Kadi za sentensi
Chati ya umoja/wingi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika sentensi wingi Kusomea wenzake Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
3 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Siku ya Michezo [40384]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sauti /sh/ na /py/ katika kifungu cha hadithi
Kusoma hadithi kwa kuzingatia matamshi bora na ishara zifaazo
Kueleza kazi mbalimbali zilizotajwa katika hadithi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma hadithi ya Siku ya Michezo kuhusu mashindano shuleni, ajali na daktari wa hospitali
Kujibu maswali: Ni nani alimtibu mwanafunzi aliyeumia? / Daktari hufanya kazi gani hospitalini? / Taja kazi nyingine mbili unazozijua / Nesi hufanya nini?
Kutunga sentensi ukitumia neno kinyozi
Je, unahakikishaje umesoma kifungu kwa ufasaha?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 48
Picha ya siku ya michezo
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kutambua kazi mbalimbali Tathmini ya matamshi
3 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Nafasi ya Pambizo - Msomea Wenzako na Nakala Safi [40387]
Matamshi Bora - Maneno yenye Sauti /sh/ [40381]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kurekebisha kifungu cha Kazi Ninayoipenda akizingatia aya na pambizo
Kuwasomea wenzake kifungu alichoandika na kupokea maoni
Kufurahia kuandika kwa kuzingatia pambizo na aya
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha nakala ya kwanza ya kifungu cha Kazi Ninayoipenda akizingatia pambizo na aya
Kuwasomea wenzake kifungu alichoandika ili wamtolee maoni
Kuandika nakala safi ya kifungu kwa kuzingatia maoni ya wenzake
Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 51
Kazi za awali za wanafunzi
Orodha hakiki ya pambizo na aya
Vitabu vya kuandikia
Kadi za maneno yenye /sh/
Chati
Vifaa vya kidijitali
Kusomea wenzake kifungu Kutoa na kupokea maoni Tathmini kwa orodha hakiki
3 3
Matumizi ya Lugha
Umoja na Wingi wa Sentensi - Andika katika Umoja [40390]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sentensi katika wingi na kuzibadilisha kuwa umoja
Kuandika sentensi katika umoja ipasavyo
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi katika wingi na kutambua jinsi ya kuzibadilisha kuwa umoja
Kuandika sentensi katika umoja: Wapishi walipika vyakula vitamu / Wachezaji hodari walipewa zawadi / Waimbaji wameimba wimbo wa taifa / Madereva wataendesha magari vizuri
Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizoandika ili azitolee maoni
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 48
Kadi za sentensi
Chati ya umoja/wingi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika sentensi umoja Kusomea wenzake Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
3 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Mkulima Hamisi [40385]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kusoma hadithi kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo (maneno 49 kwa dakika)
Kueleza ujumbe wa hadithi kuhusu kazi ya ukulima
Kueleza mafunzo yanayotokana na hadithi ya Mkulima Hamisi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma hadithi ya Mkulima Hamisi kuhusu faida za ukulima, ufugaji wa ng'ombe/kondoo/kuku na biashara ya maziwa na mayai
Kujibu maswali: Kazi ya ukulima ilimwezesha Hamisi kufanya nini? / Hamisi anafuga nini? / Kwa nini Hamisi anapenda kazi ya ukulima? / Tunga sentensi ukitumia neno kinyozi
Kumsomea mzazi au mlezi hadithi hii
Je, unahakikishaje umesoma kifungu kwa ufasaha?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 51
Picha ya shamba
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kujadili ujumbe Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
4 1
Kuandika
Nafasi ya Pambizo - Rekebisha na Nakala Safi ya Mkulima [40388]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika kifungu kipya kuhusu mkulima akizingatia aya na pambizo
Kurekebisha na kuandika nakala safi ya kifungu
Kumuonyesha mzazi au mlezi kifungu alichoandika ili ampe maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika kifungu kuhusu Mkulima akizingatia aya na pambizo ipasavyo
Kurekebisha kifungu alichoandika na kuandika nakala safi
Kumuonyesha mzazi au mlezi kifungu alichoandika akizingatia aya na pambizo ili ampe maoni yake
Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 56
Vitabu vya kuandikia
Orodha hakiki ya pambizo na aya
Vifaa vya kidijitali
Kuandika kifungu chenye pambizo Kurekebisha na kuandika upya Tathmini kwa orodha hakiki
4 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora - Maneno /sh/ na Kusikiliza Hadithi [40382]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua na kutamka maneno yenye sauti /sh/: jipya, mapya, kompyuta, mpyo
Kusikiliza hadithi ya Mpishi Hodari kutoka kwa mwalimu kwa makini
Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma na kutamka maneno: jipya, mapya, kompyuta, mpyo
Kutazama picha ya Mpishi Hodari na kujadili anachoona akimwambia mwenzake
Kusikiliza hadithi ya Mpishi Hodari kutoka kwa mwalimu kwa makini na kujibu maswali
Unazingatia mambo gani unapotamka maneno mbalimbali katika kifungu?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 58
Picha uk. 60
Kadi za maneno yenye /sh/
Vifaa vya kidijitali
Kutamka maneno kwa ufasaha Kusikiliza hadithi Tathmini ya matamshi Maoni ya wenzake
4 3
Matumizi ya Lugha
Umoja na Wingi wa Sentensi - Pigia Mstari na Jaza Nafasi [40391]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua na kupiga mstari sentensi zilizo katika umoja
Kujaza nafasi katika jedwali la umoja na wingi
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika uandishi wa kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
Pigia mstari sentensi zilizo katika umoja: Wavuvi walienda kuvua samaki / Mchungaji alikama ng'ombe / Seremala ametengeneza kitanda / Marefa walipuliza firimbi
Kujaza nafasi katika jedwali: ___ / Watu hawa ni wasusi / Dereva ameendesha gari / ___ / Wapishi wametuzwa / Hakimu ameamua kesi
Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizoandika ili azitolee maoni
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 53
Jedwali la umoja/wingi
Karatasi za mazoezi
Vifaa vya kidijitali
Kupiga mstari sentensi za umoja Kujaza jedwali umoja/wingi Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
4 4
USALAMA

Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Nyumbani kwa Bwana Omari [40395]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua msamiati wa usalama katika hadithi
Kueleza ujumbe wa hadithi kuhusu usalama nyumbani
Kueleza mafunzo yanayotokana na hadithi ya familia ya Bwana Omari
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutabiri kitakachotokea katika hadithi kwa kutazama picha
Kusoma hadithi ya Nyumbani kwa Bwana Omari na kueleza ujumbe wake
Kujibu maswali: Bwana na Bi. Omari waliwaeleza watoto wao kufanya nini? / Ni nini kilifanya Maria kuumia mguu? / Utafanya nini rafiki yako akiumia? / Tunga sentensi ukitumia maneno huduma ya kwanza
Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia ili kufanikisha usomaji bora?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 61
Picha ya familia nyumbani
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kutabiri na kuthibitisha Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
5 1
Kuandika
Matumizi ya Kiulizi - Andika Kifungu kuhusu Usalama Jikoni [40398]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua alama ya kiulizi katika maandishi
Kuandika kifungu cha maneno 55–60 kuhusu Usalama Jikoni akitumia alama ya kiulizi ipasavyo
Kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua alama ya kiulizi kutoka kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake
Kujadili na wenzake matumizi ya alama ya kiulizi
Kuandika kifungu cha maneno 55–60 kuhusu Usalama Jikoni akizingatia matumizi ya alama ya kiulizi, kisha kumsomea mwenzake, mzazi au mlezi ili amtolee maoni
Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika uandishi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 68
Vitabu vya kuandikia
Chati ya alama ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika kifungu chenye kiulizi Kusomea wenzake Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
5 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza - Nyumbani kwa Bwana Omari [40392]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu alichosikiliza
Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu
Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza hadithi ya Nyumbani kwa Bwana Omari (maneno 60–65) ikisomwa na mwalimu
Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati aliousikiliza kwenye kifungu
Kujibu maswali yanayohusiana na hadithi aliyoisikiliza na kuisimulia upya kwa wenzake
Je, unazingatia mambo gani ili kuelewa mambo unayoelezewa?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 61
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kadi za msamiati
Kusikiliza na kujibu maswali Kusimulia upya Tathmini ya usikilizaji Orodha hakiki
5 3
Matumizi ya Lugha
Matumizi ya -ake na -ao - Kutambua katika Sentensi [40401]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya -ake na -ao katika sentensi
Kupiga mstari maneno yenye -ake na -ao katika sentensi
Kufurahia kutumia -ake na -ao katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua matumizi ya -ake na -ao kutoka kwenye kadi maneno au chati akiwa na wenzake
Kupiga mstari maneno yenye -ake au -ao katika sentensi: Yeye anacheza na mpira wake / Kiatu chake ni kizuri / Nchi yao ina wanariadha wengi / Watoto wanazingatia usalama wao
Kuigiza matumizi ya -ake na -ao akiwa na wenzake kwa kutumia vitu anavyomiliki
Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 61
Kadi za sentensi
Chati ya -ake/-ao
Vifaa vya kidijitali
Kupiga mstari -ake/-ao Kuigiza matumizi Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
5 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Tuzingatie Usalama [40396]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua msamiati wa usalama wa kibinafsi katika hadithi
Kueleza ujumbe wa hadithi ya Matano na mama mgeni
Kutabiri na kuthibitisha maudhui ya hadithi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma hadithi ya Tuzingatie Usalama kuhusu Matano aliyekataa kupokea pipi kutoka kwa mgeni
Kujibu maswali: Familia ya Matano iliishi vizuri na nani? / Mama aliyebisha mlango alikuwa ameshika nini? / Unaweza kufanya nini ili uwe salama nyumbani? / Kumshawishi mtu ni kufanya nini?
Kutabiri mwisho wa hadithi kwa kutazama picha
Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia ili kufanikisha usomaji bora?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 63
Picha ya usalama wa kibinafsi
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kujadili ujumbe Tathmini ya kikundi
6 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Kiulizi - Andika Usalama Barabarani [40399]
Ufahamu wa Kusikiliza - Igiza Mazungumzo ya Usalama [40393]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika kifungu kuhusu Usalama Barabarani akitumia alama ya kiulizi ipasavyo
Kuwasomea wenzake kifungu na kupokea maoni
Kurekebisha kifungu kwa kuzingatia matumizi sahihi ya kiulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kunakili ipasavyo kifungu kilichotumia alama ya kiulizi akishirikiana na wenzake
Kuandika kifungu kipya cha maneno 55–60 kuhusu Usalama Barabarani akizingatia alama ya kiulizi
Kuwasomea wenzake kifungu alichoandika ili wamtolee maoni
Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika uandishi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 71
Vitabu vya kuandikia
Orodha hakiki ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 73
Kadi za maneno yenye /sh/
Chati ya mazungumzo
Kuandika kifungu chenye kiulizi Kusomea wenzake Tathmini kwa orodha hakiki
6 2
Matumizi ya Lugha
Matumizi ya -ake na -ao - Kutunga Sentensi [40402]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutumia -ake na -ao katika sentensi ipasavyo
Kutunga sentensi mbili ukitumia -ake na mbili ukitumia -ao
Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma mifano: Jirani yake alipongezwa kwa kuwasaidia watoto kuvuka barabara / Alifagia darasa lao
Kutunga sentensi mbili ukitumia -ake na sentensi mbili ukitumia -ao kuhusu usalama
Kusomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga ili amtolee maoni
Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 63
Kadi za mifano ya -ake/-ao
Karatasi za mazoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi -ake/-ao Kusomea wenzake Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
6 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Usalama Barabarani [40397]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua msamiati wa usalama barabarani katika hadithi
Kueleza ujumbe wa hadithi kuhusu Inspekta Boru na usalama barabarani
Kueleza mafunzo yanayotokana na hadithi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma hadithi ya Usalama Barabarani kuhusu Inspekta Boru aliyewaelimisha wananchi usikoni barabarani
Kujibu maswali: Madereva walionywa wasifanye nini? / Inspekta Boru aliwaelimisha wananchi wapi? / Unafaa kuyafanya mambo gani ili uwe salama barabarani? / Watu wanaposafiri hufunga nini?
Kumsomea mzazi au mlezi hadithi hii
Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia ili kufanikisha usomaji bora?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 71
Picha ya barabara
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kujadili mafunzo Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
6 4
Kuandika
Matumizi ya Kiulizi - Rekebisha na Nakala Safi [40400]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kurekebisha kifungu alichoandika kuhusu usalama kwa kuzingatia matumizi ya kiulizi
Kuandika nakala safi ya kifungu
Kumuonyesha mzazi au mlezi kifungu kwa maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha kifungu cha Usalama Barabarani kilichoandikwa kipindi kilichopita
Msomee mwenzako kifungu ulichoandika kuhusu Usalama Barabarani ili amtolee maoni
Kuandika nakala safi akizingatia matumizi sahihi ya alama ya kiulizi
Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika uandishi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 73
Kazi za awali za wanafunzi
Orodha hakiki ya kiulizi
Vitabu vya kuandikia
Msomea wenzako kifungu Kutoa na kupokea maoni Tathmini kwa orodha hakiki
7 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza - Lulu na Jabali [40394]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika hadithi aliyosikiliza
Kusimulia upya hadithi ya Lulu na Jabali kwa wenzake
Kuchangamkia kusikiliza kifungu kuhusu usalama
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha ya Lulu na Jabali na kujadili anachoona akimwambia mwenzake
Kusikiliza hadithi ya Lulu na Jabali ikisomwa na mwalimu kwa makini
Kujibu maswali na kusimulia upya hadithi aliyoisikiliza kwa wenzake
Je, unazingatia mambo gani ili kuelewa mambo unayoelezewa?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 75
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kusikiliza hadithi Kujibu maswali Kusimulia upya Tathmini ya usikilizaji
7 2
Matumizi ya Lugha
Matumizi ya -ake na -ao - Andika Wingi na Kamilisha [40403]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika sentensi katika wingi kwa kubadilisha -ake kuwa -ao
Kukamilisha vifungu vya maneno kwa kutumia -ake au -ao ipasavyo
Kuchangamkia matumizi sahihi ya -ake na -ao katika uandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika sentensi kwa wingi: Kitabu hiki ni chake / Mwalimu wake ni mzuri / Nguo yake ni safi / Bawabu wake alifunga mlango
Kamilisha vifungu vya maneno kwa kutumia -ake au -ao ipasavyo
Kusomea mzazi au mlezi sentensi alizoandika ili azitolee maoni
Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 66
Karatasi za mazoezi
Kadi za sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika sentensi wingi Kukamilisha vifungu Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
7 3
USAFI WA MAZINGIRA

Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Usafi Nyumbani na Usafi Shuleni [40407]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sauti /dh/, /th/ na /ch/ katika vifungu vya Usafi Nyumbani na Usafi Shuleni
Kusoma vifungu kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika na kasi ifaayo
Kueleza ujumbe wa vifungu kuhusu umuhimu wa usafi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu cha Usafi Nyumbani kuhusu umuhimu wa usafi wa choo, nguo na jikoni
Kusoma kifungu cha Usafi Shuleni kuhusu wanafunzi wa Shule ya Hekima wanaothamini usafi
Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika)
Je, utafanya nini ili kusikika vizuri unaposoma?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 78
Picha ya usafi
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufasaha Kutambua sauti /dh/ /th/ /ch/ Tathmini ya matamshi
7 4
Kuandika
Imla - Kuandika Sentensi za Imla (Somo la Kwanza) [40410]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo
Kuandika sentensi za imla akizingatia sauti /dh/, /th/ na /ch/
Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kwa makini maneno yenye sauti /dh/, /th/ na /ch/ yakitamkwa na mwalimu
Kuandika sentensi utakazosomewa na mwalimu akizingatia kanuni za uandishi
Kujadili na wenzake sentensi alizoziandika ili kuzitethmini
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 76
Daftari la kuandikia
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kuandika imla Kusahihisha kwa wenzake Tathmini ya uandishi Orodha hakiki
8 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora - Sikiliza na Tamka Sauti /dh/ /th/ /ch/ [40404]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua silabi za sauti /dh/, /th/ na /ch/ katika kifungu
Kutamka maneno yenye sauti /dh/, /th/ na /ch/ kwa ufasaha
Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kifungu kuhusu usafi wa mazingira kikisomwa na mwalimu na kujibu maswali: kichwa cha kifungu, faida ya kusafisha choo, vitendo vya kuimarisha usafi nyumbani
Kujirekodi akisoma kifungu chenye maneno yenye sauti /dh/, /th/ na /ch/ na kusikiliza pamoja na wenzake
Msomee wenzako maneno: dhamini, dhalimu, thibiti, thubutu, chunguza, chechemea
Je, matamshi bora hufanikisha vipi mawasiliano?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 76
Kadi za maneno /dh/ /th/ /ch/
Vifaa vya kidijitali (kinasasauti)
Chati ya sauti
Kusikiliza na kujibu maswali Kutamka maneno kwa ufasaha Tathmini ya matamshi Orodha hakiki
8 2
Matumizi ya Lugha
Matumizi ya -eupe -eusi -ekundu - Kutambua na Kutumia -ekundu [40413]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua maneno yenye -ekundu katika sentensi
Kukamilisha sentensi kwa kutumia -ekundu ipasavyo
Kufurahia kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua maneno yenye -ekundu kwa kurejelea vitu halisi katika mazingira akiwa na wenzake
Kukamilisha sentensi kwa kutumia -ekundu: Maua ___ yanavutia nyuki / Ukuta utapakwa rangi ___ / Zena alivaa nguo ___ / Vikombe ___ vitasafishwa
Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 81
Vitu vya rangi nyekundu darasani
Kadi za sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kukamilisha sentensi -ekundu Kutunga sentensi Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
8 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Maneno yenye Sauti /ch/ [40408]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sauti /ch/ katika maneno: cheti, chemchemi, alichora, ilichacha
Kusoma maneno na kifungu chenye sauti /ch/ kwa kuzingatia matamshi bora
Kumsomea mzazi au mlezi kifungu akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika na kasi ifaayo
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /ch/: cheti, chemchemi, alichora, ilichacha
Wasomee wenzako kifungu katika ukurasa wa 81 kwa kuzingatia matamshi bora
Kutambua maneno mengine yenye sauti /ch/ katika mazingira ya usafi
Je, utafanya nini ili kusikika vizuri unaposoma?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 81
Kadi za maneno yenye /ch/
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kusoma maneno kwa ufasaha Kutambua sauti /ch/ Tathmini ya matamshi Orodha hakiki
8 4
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Imla - Kuandika Sentensi za Imla (Somo la Pili) [40411]
Matamshi Bora - Sauti /dh/ katika Mazingira Safi [40405]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika kifungu cha maneno 55–60 yanayotamkwa kwenye imla kwa kuzingatia sauti /dh/, /th/ na /ch/
Kutumia kanuni zifaazo za uandishi katika kuandika imla
Kuchangamkia kuandika imla kwa makini
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kwa makini maneno yenye sauti /dh/, /th/ na /ch/ yakitamkwa na mwalimu au kifaa cha kidijitali
Kuandika kifungu cha maneno 55–60 yatakayotamkwa akizingatia kanuni zifaazo za uandishi
Kujadili na wenzake kifungu alichokiandika ili kukitathmini
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 83
Daftari la kuandikia
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kadi za maneno yenye /dh/
Kuandika imla Kusahihisha kwa wenzake Tathmini ya uandishi Orodha hakiki
9 1
Matumizi ya Lugha
Matumizi ya -eupe -eusi -ekundu - Jaza Nafasi -eusi/-eupe [40414]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutumia -eusi na -eupe ipasavyo katika sentensi
Kujaza nafasi kwa kutumia -eusi au -eupe katika mktadha wa usafi
Kutunga sentensi mbili ukitumia -eusi na mbili ukitumia -eupe
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujaza nafasi kwa kutumia -eusi au -eupe: Kuku alitaga mayai ___ / Jirani yetu atanunua magurudumu ___ / Alisugua meno yakawa ___ / Barabara ya kwetu ina lami ___
Kusikiliza maelezo kuhusu matumizi ya -eupe na -eusi kutoka kwa mwalimu
Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 83
Karatasi za mazoezi
Kadi za rangi
Vifaa vya kidijitali
Kujaza nafasi -eusi/-eupe Kutunga sentensi Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
9 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Miti ni Uhai [40409]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sauti /th/ katika maneno: theluji, thelathini, thenashara, themanini
Kusoma kifungu cha Miti ni Uhai kwa kuzingatia matamshi bora
Kueleza ujumbe wa kifungu kuhusu umuhimu wa miti
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu cha Miti ni Uhai kuhusu umuhimu wa miti: kivuli, hewa safi, kuzuia upepo, maua ya rangi
Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /th/: theluji, thelathini, thenashara, themanini
Kumsomea mzazi au mlezi kifungu akizingatia matamshi bora na kasi ifaayo
Je, utafanya nini ili kusikika vizuri unaposoma?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 86
Picha ya miti
Kadi za maneno yenye /th/
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufasaha Kutambua sauti /th/ Kueleza ujumbe Tathmini ya matamshi
9 3
Kuandika
Imla - Kiandike Upya na Kusomeana (Somo la Tatu) [40412]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika kifungu cha maneno 55–60 kutoka kwa imla kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi
Kuandika upya kifungu na kuwasomea wenzake
Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika akizingatia kanuni za uandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika sentensi za imla zitakazotamkwa na mwalimu kwa kuzingatia kanuni za uandishi
Kiandike upya na umsomee mwenzako kifungu ulichoandika
Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika ili amtolee maoni
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 88
Daftari la kuandikia
Matini ya mwalimu
Vitabu vya kuandikia
Kuandika imla Kusomea wenzako Tathmini kwa orodha hakiki
9 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora - Sauti /ch/ na Kusikiliza Wimbo [40406]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua na kutamka sauti /ch/ katika maneno: chumbani, walichelewa, alicheza, chakula
Kushiriki kuimba wimbo wa usafi na kujadili ujumbe wake
Kusikiliza hadithi ya Usafi Darasani kutoka kwa mwalimu akitazama picha
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
Je, matamshi bora hufanikisha vipi mawasiliano?
Mwanafunzi aelekezwe: Kusikiliza wimbo wa usafi ukiimbwa na mwalimu na kuushirikiana kuimba: Usafi kitu adhimu / wenzangu tuzingatie Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /ch/: chumbani, walichelewa, alicheza, chakula Kutazama picha ya Usafi Darasani na kusikiliza hadithi kutoka kwa mwalimu kwa makini
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 88
Picha uk. 90
Kadi za maneno yenye /ch/
Vifaa vya kidijitali
Kuimba wimbo wa usafi Kutamka maneno /ch/ Tathmini ya matamshi Maoni ya wenzake
10 1
Matumizi ya Lugha
Matumizi ya -eupe -eusi -ekundu - Kutunga Sentensi [40415]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutumia -eupe, -eusi na -ekundu katika sentensi kwa usahihi
Kutunga sentensi moja kwa kila moja ya -eupe, -eusi na -ekundu
Kuchangamkia matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu kwa kurejelea vitu halisi: nguo nyeupe, nywele nyeusi, maua mekundu
Kutunga sentensi kwa kila moja: -eupe (mfano: Shati lake ni la rangi nyeupe), -eusi, -ekundu
Kujaza nafasi: Nywele zangu ni ___ / Maziwa yana rangi ___ / Nyanya ziliiva zikawa ___ / Bendera ya Kenya ina rangi ya kijani, ___ na ___
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 86
Karatasi za mazoezi
Vitu vya rangi tofauti
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi -eupe/-eusi/-ekundu Kujaza nafasi Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
10 2
DUKANI

Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Shairi la Dukani (Somo la Kwanza) [40419]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua msamiati wa dukani katika shairi: pesa, bidhaa, muuzaji, ratili, sarafu
Kueleza ujumbe wa shairi kuhusu shughuli za dukani
Kutabiri na kuthibitisha maudhui ya shairi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi la Dukani na kueleza ujumbe wake kwa kuzingatia beti tatu
Kujibu maswali: Asubuhi tunamuona nani? / Kwa nini Bi. Musa hufanya bidii kazini? / Mteja anaweza kutumia njia gani kulipia bidhaa? / Tunga sentensi ukitumia neno pesa
Kutumia msamiati wa suala lengwa: duka, bidhaa, pesa, chenji, mteja, muuzaji
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Picha ya duka
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma shairi kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kutambua msamiati Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
10 3
Kuandika
Uandishi wa Insha - Andika Insha ya Kwanza kuhusu Dukani [40422]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha: wahusika, ujumbe, muundo
Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Dukani akizingatia kanuni za uandishi
Kufurahia uandishi wa insha tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa kisa: wahusika, ujumbe, muundo
Kusikiliza mfano wa insha ukitolewa na mwalimu na kutambua vipengele vyake
Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Dukani kwa kufuata hatua: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Vitabu vya kuandikia
Chati ya vipengele vya insha
Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha Hatua tano za uandishi Orodha hakiki Tathmini ya wenzake
10 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Maagizo - Sikiliza Wimbo na Soma Maneno /dh/ [40416]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua aina mbalimbali za maagizo yanayotumiwa dukani
Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayohusu dukani
Kusoma maneno yenye sauti /dh/: dhahabu, dhihirisha, madhehebu, dhaman
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza wimbo wa dukani ukiimbwa na mwalimu na kujadili maagizo yanayojitokeza
Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /dh/: dhahabu, dhihirisha, madhehebu, dhaman
Kuigiza mazungumzo ya kutoa na kufuata maagizo dukani akiwa na wenzake
Je, ni kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Kadi za maneno yenye /dh/
Vifaa vya kidijitali
Chati ya maagizo
Kusikiliza wimbo Kutamka maneno /dh/ Kuigiza maagizo Tathmini ya matamshi
11 1
Matumizi ya Lugha
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Kanusha Sentensi (Somo la Kwanza) [40425]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi
Kanusha sentensi za nafsi ya tatu: Yeye alinunua bidhaa → Yeye hakunununua bidhaa
Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu kutoka kwenye kadi maneno au chati akiwa na wenzake
Kanusha sentensi zifuatazo: Yeye alinunua bidhaa / Wao walienda shuleni / Yeye anasafiri / Wao watacheza
Kuigiza matumizi ya nafsi ya tatu umoja na wingi na ukanushaji wake akiwa na wenzake
Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Iwapo hakufanya mambo uliyotaja, ungesemaje?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 91
Kadi za sentensi
Chati ya ukanushaji
Vifaa vya kidijitali
Kanusha sentensi Kuigiza ukanushaji Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
11 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Shairi la Dukani (Somo la Pili) [40420]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza ujumbe wa shairi kwa kina zaidi: muuzaji, bei, noti, sarafu, ratili
Kutabiri na kuthibitisha maudhui ya shairi kwa kuzingatia picha
Kueleza mafunzo yanayotokana na shairi kuhusu biashara ya dukani
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi la Dukani tena kwa kuzingatia beti zote tatu na kueleza ujumbe wa kila beti
Kujibu maswali: Muuzaji anataka kupata nini katika biashara yake? / Ni bidhaa gani zinaweza kupimwa kwenye ratili? / Muuzaji ni mtu anayefanya kazi gani?
Kutumia msamiati wa shairi kwa usahihi katika mazungumzo
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 93
Picha ya duka
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma shairi kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kujadili ujumbe Tathmini ya kikundi
11 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Uandishi wa Insha - Rekebisha na Nakala Safi ya Dukani [40423]
Maagizo - Sikiliza Mazungumzo ya Dukani na Maneno /th/ [40417]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kurekebisha insha ya Dukani kwa kuzingatia kanuni za uandishi
Kuandika nakala safi ya insha
Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha insha ya Dukani iliyoandikwa kipindi kilichopita kwa kuzingatia hati nadhifu, maudhui, mtiririko
Kuandika nakala safi ya insha kwa kufuata hatua za uandishi
Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Dukani. Kiandike upya na umsomee mwenzako
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 93
Kazi za awali za wanafunzi
Orodha hakiki ya insha
Vitabu vya kuandikia
Kadi za maneno yenye /th/
Vifaa vya kidijitali
Chati ya mazungumzo
Rekebisha na andika upya insha Kusomea wenzake Tathmini kwa orodha hakiki
11 4
Matumizi ya Lugha
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Jaza Nafasi kwa Ukanushaji [40426]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi kwa usahihi
Kujaza nafasi kwa ukanushaji sahihi kwa kutumia mfano: Yeye _nunua nyama → Yeye hakununua nyama
Kutunga sentensi akitumia nafsi ya tatu na ukanushaji wake
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujaza nafasi kwa ukanushaji sahihi kwa kutumia mfano: Yeye _nunua nyama → Yeye hakununua nyama
Kukamilisha: Yeye _uza pipi / Wao _panga bidhaa vizuri / Yeye _nunua kalamu / Wao _enda dukani
Kutunga sentensi mbili ukitumia nafsi ya tatu umoja na mbili ukitumia nafsi ya tatu wingi na ukanushaji
Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Iwapo hakufanya mambo uliyotaja, ungesemaje?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 93
Karatasi za mazoezi
Kadi za mifano ya ukanushaji
Vifaa vya kidijitali
Kujaza nafasi ukanushaji Kutunga sentensi Tathmini ya wenzake Orodha hakiki
12 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Pendo na Duka Lake [40421]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua msamiati wa dukani: bidhaa, wateja, chenji, risiti, noti, simu
Kueleza ujumbe wa kifungu kuhusu Pendo na duka lake
Kueleza mafunzo yanayotokana na hadithi ya Pendo
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha
Kusoma kifungu cha Pendo na Duka Lake kuhusu bidhaa anazouza na njia za malipo: simu, kadi, pesa taslimu
Kujibu maswali: Duka la Pendo liko wapi? / Umejifunza nini kutokana na muuzaji Pendo? / Chenji pia hujulikana kama nini?
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 96
Picha ya duka
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kutabiri na kuthibitisha Tathmini ya mwanafunzi mwenzake
12 2
Kuandika
Uandishi wa Insha - Rekebisha Ninapotumwa Dukani [40424]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Kuweka Akiba ya Pesa
Kurekebisha insha na kuandika nakala safi
Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
Andika kifungu chenye maneno kati ya 85 na 90 kuhusu Kuweka Akiba ya Pesa kwa kuzingatia vipengele vya insha
Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Ninapotumwa Dukani. Kiandike upya
Msomee mwenzako kifungu ulichoandika kuhusu Ninapotumwa Dukani ili amtolee maoni
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 101
Vitabu vya kuandikia
Orodha hakiki ya insha
Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha mpya Rekebisha na andika upya Kusomea wenzake Tathmini kwa orodha hakiki
12 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Maagizo - Igiza na Soma Maneno /ch/ + Picha uk.105 [40418]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutoa na kufuata maagizo mepesi kama vile: Nenda dukani / Keti uchore picha / Nipe kitabu changu
Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /ch/: vichache, chekechea, chapati, alicheka
Kusikiliza hadithi kutoka kwa mwalimu akitazama picha
Mwanafunzi aelekezwe:
Igiza mazungumzo ya dukani na mwenzake kwa kufuata maelekezo ya mwalimu
Toa maagizo yafuatayo kwa mwenzako: Nenda dukani / Keti uchore picha / Nipe kitabu changu
Soma na utamke maneno yenye sauti /ch/: vichache, chekechea, chapati, alicheka kisha utazame picha na usikilize hadithi
Je, ni kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 98
Picha uk. 105
Kadi za maneno yenye /ch/
Vifaa vya kidijitali
Kuigiza mazungumzo Kutoa maagizo Kutamka maneno /ch/ Tathmini ya matamshi
12 4
Matumizi ya Lugha
Ukanushaji wa Nafsi ya Tatu - Ambatanisha na Jaza Nafasi [40427]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuambatanisha sentensi na ukanushaji wake ipasavyo
Kujaza nafasi katika sentensi kuonyesha ukanusho wa nafsi ya tatu
Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
Ambatanisha sentensi katika A na ukanushaji wake katika B: Yeye alimpa chenji ↔ Yeye hakumpa chenji / Wao walinunua kitabu ↔ Wao hawakununua kitabu
Jaza nafasi kuonyesha ukanusho: Yeye _kosa bidhaa / Wao _kupima unga kwa ratili / Yeye _kutaka kununua mkate / Wao _uza mazao yao
Kanusha sentensi hizi: Wao walinunua mbegu / Yeye aliweka vitabu mkobani / Yeye anauza sukari / Wao waliweka pesa benki
Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Iwapo hakufanya mambo uliyotaja, ungesemaje?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 96
Jedwali A-B la ukanushaji
Karatasi za mazoezi
Vifaa vya kidijitali
Kuambatanisha sentensi/ukanushaji Kujaza nafasi Kanusha sentensi Tathmini ya wenzake

Your Name Comes Here


Download

Feedback