Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
NDEGE NIMPENDAYE

Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Shairi la Ndege wa Nyumbani [40432]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sauti /mbw/, /nd/ na /ny/ katika shairi la Ndege wa Nyumbani
Kusoma shairi kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika na kasi ifaayo
Kueleza ujumbe wa shairi kuhusu ndege wa nyumbani: bata, batamzinga, kuku
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi la Ndege wa Nyumbani kwa kuzingatia beti tatu na kueleza ujumbe wa kila beti
Kujibu maswali: Batamzinga anatusaidia vipi? / Tunaombwa kuwafanyia ndege nini? / Taja ndege wanaofugwa / Tunga sentensi ukitumia neno bata
Kumsomea mzazi au mlezi shairi kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo (maneno 53 kwa dakika)
Je, ni kwa nini tunasoma kwa ufasaha?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 106
Picha ya ndege wa nyumbani
Kamusi ndogo
Vifaa vya kidijitali
Kusoma shairi kwa ufasaha Kujibu maswali ya ufahamu Kutambua sauti /mbw/ /nd/ /ny/ Tathmini ya matamshi
2 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusoma
Tahajia - Andika Insha ya Kwanza (Jinsi ya Kutunza Kuku) [40435]
Matamshi Bora - Sauti /mbw/ Somo la Kwanza [40428]
Matumizi ya hili na haya - Kutambua na Pigia Mstari [40437]
Kusoma kwa Ufasaha - Ndege Ninayempenda [40433]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha
Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Kuku kwa kuzingatia tahajia sahihi
Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua tahajia sahihi za maneno katika uandishi wa insha kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Kuku kwa kuzingatia tahajia sahihi za maneno
Msomee mwenzako, mzazi au mlezi ili akutolee maoni
Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 106
Vitabu vya kuandikia
Chati ya tahajia
Vifaa vya kidijitali
Kadi za maneno yenye /mbw/
Chati ya sauti
Kadi za sentensi
Chati ya hili/haya
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108
Picha ya kasuku
Kamusi ndogo
Kuandika insha kwa tahajia sahihi Kusomea wenzake Tathmini kwa orodha hakiki
3 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusoma
Tahajia - Rekebisha Insha na Nakala Safi [40436]
Matamshi Bora - Sauti /mbw/ Somo la Pili [40429]
Matumizi ya hili na haya - Andika Sentensi kwa Wingi [40438]
Kusoma kwa Ufasaha - Njiwa na Ziara ya Porini [40434]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kurekebisha insha akizingatia tahajia sahihi za maneno
Kuandika nakala safi ya insha ya Jinsi ya Kutunza Ndege
Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha insha ya Jinsi ya Kutunza Ndege kwa kuzingatia tahajia sahihi
Kuandika nakala safi ya insha kwa kufuata hatua za uandishi
Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Jinsi ya Kutunza Ndege. Kiandike upya na umsomee mwenzako
Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 116
Kazi za awali za wanafunzi
Orodha hakiki ya tahajia
Vitabu vya kuandikia
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108
Kifungu chenye maneno /mbw/
Vifaa vya kidijitali (kinasasauti)
Kadi za sauti
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 113
Karatasi za mazoezi
Kadi za sentensi
Vifaa vya kidijitali
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 111
Picha ya njiwa na ndege wa porini
Kamusi ndogo
Rekebisha na andika upya insha Kusomea wenzake Tathmini kwa orodha hakiki
4 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusoma
Matamshi Bora - Sauti /nd/ [40430]
Matamshi Bora - Sauti /ny/ [40431]
Matumizi ya hili na haya - Jaza Nafasi na Nakili [40439]
Kusoma kwa Ufahamu - Soko la Sokotele [40443]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua silabi za sauti /nd/ katika maneno: ndumakuwili, undugu, ndururu, ndovu
Kutamka maneno yenye sauti /nd/ kwa ufasaha
Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti /nd/ kwa kuzingatia matamshi bora
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua silabi za sauti /nd/ katika kadi maneno, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake
Kusoma na kutamka maneno yenye sauti /nd/: ndumakuwili, undugu, ndururu, ndovu
Kujirekodi akisoma maneno yenye sauti /nd/ na kusikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 108
Kadi za maneno yenye /nd/
Vifaa vya kidijitali
Chati ya sauti
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 111
Kadi za maneno yenye /ny/
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 118
Karatasi za mazoezi
Kadi za sentensi
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 121
Picha ya soko
Kamusi ndogo
Kutamka maneno /nd/ Kujirekodi na kutathmini Tathmini ya matamshi Orodha hakiki
5 1
SOKONI

Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusoma
Insha ya Masimulizi - Andika Insha ya Kwanza: Soko Letu [40446]
Mazungumzo - Sikiliza Mazungumzo ya Sokoni (Somo la Kwanza) [40440]
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Jaza Nafasi (Somo la Kwanza) [40449]
Kusoma kwa Ufahamu - Soko la Katiko [40444]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya masimulizi
Kuandika insha ya masimulizi ya maneno 85–90 kuhusu Soko Letu
Kuchangamkia uandishi wa insha ya masimulizi ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza masimulizi yakitolewa na mwalimu na kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi
Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye kitabu ili kutambua mambo muhimu
Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Soko Letu kwa kufuata hatua: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi
Je, unapenda kusimulia kuhusu nini?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 121
Vitabu vya kuandikia
Chati ya vipengele vya insha ya masimulizi
Vifaa vya kidijitali
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 126
Picha ya muuzaji na mnunuzi
Kadi za mazungumzo
Vitu vya darasani
Karatasi za mazoezi
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 123
Picha ya soko la kuku
Kamusi ndogo
Kuandika insha ya masimulizi Hatua tano za uandishi Orodha hakiki Tathmini ya wenzake
6 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusoma
Insha ya Masimulizi - Andika Insha: Bidhaa Zinazouzwa Sokoni [40447]
Mazungumzo - Sikiliza na Soma Maneno /mbw/ (Somo la Pili) [40441]
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Tunga Sentensi [40450]
Kusoma kwa Ufahamu - Uuzaji wa Samaki [40445]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika insha ya masimulizi ya maneno 85–90 kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni
Kutumia vipengele vya insha ya masimulizi: wahusika, ujumbe, mtiririko
Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake
Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kufuata hatua za uandishi
Ukiwa na mwenzako, soma kisa kuhusu soko kutoka kwenye kitabu au mtandaoni na jadili ujumbe
Je, kisa ulichowahi kusimuliwa kilikuwa na mafunzo gani?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 128
Vitabu vya kuandikia
Orodha hakiki ya insha ya masimulizi
Vifaa vya kidijitali
Kadi za maneno yenye /mbw/
Chati ya mazungumzo
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 123
Vitu vya darasani
Karatasi za mazoezi
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 131
Picha ya biashara ya samaki
Kamusi ndogo
Kuandika insha ya masimulizi Kusomea wenzake Tathmini kwa orodha hakiki
7 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusoma
Insha ya Masimulizi - Rekebisha na Nakala Safi [40448]
Mazungumzo - Igiza Mazungumzo ya Sokoni (Somo la Tatu) [40442]
Matumizi ya juu ya/ndani ya/mbele ya - Chagua na Jaza Nafasi [40451]
Kusoma kwa Ufasaha - Safari Mjini [40456]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kurekebisha insha ya Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kuzingatia kanuni za uandishi
Kuandika nakala safi ya insha
Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
Kurekebisha insha ya Bidhaa Zinazouzwa Sokoni kwa kuzingatia tahajia, mtiririko na vipengele vya insha ya masimulizi
Rekebisha kifungu ulichoandika kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni. Kiandike kifungu upya
Msomee mwenzako kifungu ulichoandika kuhusu Bidhaa Zinazouzwa Sokoni ili amtolee maoni
Je, kisa ulichowahi kusimuliwa kilikuwa na mafunzo gani?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 131
Kazi za awali za wanafunzi
Orodha hakiki ya insha
Vitabu vya kuandikia
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 133
Picha ya Neema na Baba sokoni
Vifaa vya kidijitali
Kadi za mazungumzo
Karatasi za mazoezi
Vitu vya darasani
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 136
Picha ya safari/teknolojia
Kamusi ndogo
Rekebisha na andika upya insha Kusomea wenzake Tathmini kwa orodha hakiki
8 1
TEKNOLOJIA

Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusoma
Insha ya Maelezo - Andika Insha ya Kwanza: Jinsi ya Kutunza Simu [40459]
Matamshi Bora - Sauti /mb/ Somo la Kwanza [40452]
Vinyume vya Vitendo - Jaza Nafasi (Somo la Kwanza) [40461]
Kusoma kwa Ufasaha - Shairi la Vyombo vya Usafiri [40457]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo
Kuandika insha ya maelezo ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Simu
Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo ipasavyo ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo: wahusika, ujumbe, muundo
Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo kwenye kitabu akiwa na wenzake
Kuandika insha ya maneno 85–90 kuhusu Jinsi ya Kutunza Simu kwa kufuata hatua: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi
Je, unatumia maneno ya aina gani unapotoa maelezo kuhusu kitu?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 136
Vitabu vya kuandikia
Chati ya vipengele vya insha ya maelezo
Vifaa vya kidijitali
Kadi za maneno yenye /mb/
Chati ya sauti
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 138
Kadi za vinyume vya vitendo
Karatasi za mazoezi
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 141
Picha ya vyombo vya usafiri
Kamusi ndogo
Kuandika insha ya maelezo Hatua tano za uandishi Orodha hakiki Tathmini ya wenzake
9 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusoma
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya Lugha
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha ya Maelezo - Andika Umuhimu wa Tabuleti [40460]
Matamshi Bora - Sauti /nz/ [40454]
Vinyume vya Vitendo - Andika Vinyume (Somo la Pili) [40462]
Kusoma kwa Ufasaha - Hadithi ya Bi. Mosi na Tarakilishi [40458]
Matamshi Bora - Sauti /mb/ Somo la Pili [40453]
Vinyume vya Vitendo - Ambatanisha na Andika (Somo la Tatu) [40463]
Matamshi Bora - Sauti /tw/ [40455]
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika insha ya maelezo ya maneno 85–90 kuhusu Umuhimu wa Tabuleti
Kuwasomea wenzake insha na kupokea maoni
Kurekebisha insha kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha ya maelezo
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika kifungu cha maneno 85–90 kuhusu Umuhimu wa Tabuleti kwa kufuata hatua za uandishi
Msomee mwenzako, mzazi au mlezi kifungu hicho ili atoe maoni
Andika insha kuhusu Televisheni (maneno 85–90). Msomee mwenzako kifungu hicho ili akutolee maoni
Je, unatumia maneno ya aina gani unapotoa maelezo kuhusu kitu?
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 143
Vitabu vya kuandikia
Orodha hakiki ya insha ya maelezo
Vifaa vya kidijitali
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 138
Kadi za maneno yenye /nz/
Chati ya sauti
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 141
Kadi za vinyume vya vitendo
Karatasi za mazoezi
Picha ya tarakilishi
Kamusi ndogo
Kadi za maneno yenye /mb/
Chati ya mazungumzo
Jedwali la maneno na vinyume
KLB EYE Kiswahili Gr. 3 uk. 148
Picha uk. 150
Kadi za maneno yenye /tw/
Kuandika insha ya maelezo Kusomea wenzake Tathmini kwa orodha hakiki

Your Name Comes Here


Download

Feedback