If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
MATUNDA NA MIMEA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Nahau
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali - Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo - Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nahau za maadili na uraia (k.v. fanya haki, omba kibali, omba ruhusa, piga hodi na taka idhini) katika chati, michoro, picha, kapu maneno, mti maneno, chati na katika vyombo vya kidijitali - Kushiriki katika kujadili na wenzake maana za nahau za maadili na uraia |
Je, nahau huchangia vipi katika kukuza maadili na uraia?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 96
Chati zenye nahau Kapu maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nahau za maadili na uraia
Kueleza maana za nahau za maadili na uraia
Kuambatanisha nahau na maana zake
|
|
| 1 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana Matini
Ngeli ya KI-VI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa - Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matini (k.v. vitabu, majarida, magazeti) yanayomvutia maktabani na mtandaoni - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa - Kuwasimulia wenzake kuhusu matini aliyosoma ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha |
Kusoma matini mbalimbali kunachangia vipi ukuzaji wa lugha?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 99
Vitabu vya hadithi Majarida Magazeti Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 100 Matini mbalimbali Kamusi Karatasi na kalamu Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 105 Picha za nomino za ngeli ya KI-VI Kadi za sentensi Kikapu/boksi |
Kutambua matini ya kusoma
Kusoma matini ya kujichagulia
Kusimulia kuhusu matini iliyosomwa
Kutambua msamiati mpya
|
|
| 1 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya KI-VI |
Ni viambishi vipi hutumika katika upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 106
Kadi za nomino za ngeli ya KI-VI Mti maneno Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 107 Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya KI-VI |
Kutumia viambishi vya ngeli ya KI-VI katika sentensi
Kujaza pengo kwa viambishi vya ngeli ya KI-VI
Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya KI-VI
|
|
| 1 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha ya Maelezo
Nahau Kusoma kwa Mapana Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake - Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo |
Je, ni vitu gani vinavyoweza kuandikiwa insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 103
Vielelezo vya insha ya maelezo Kielelezo cha muundo wa insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 97 Vibonzo vya nahau Kadi za nahau Michoro Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 102 Matini mbalimbali Daftari na kalamu |
Kutambua insha ya maelezo
Kutambua muundo wa insha ya maelezo
Kufafanua ujumbe wa insha ya maelezo
|
|
| 2 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
Ngeli ya LI-LI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi mbalimbali akitumia nomino za ngeli ya KI-VI kutoka kwa mazingira yake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathimini - Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi unaofaa wa ngeli ya KI-VI?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 108
Picha za nomino za ngeli ya KI-VI Orodha ya nomino za ngeli ya KI-VI Vifaa vya kidijitali Picha za nomino za ngeli ya LI-LI Kadi za nomino |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI
Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI
Kufanyiana tathmini
|
|
| 2 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha ya Maelezo
Visawe Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mada lengwa (matunda na mimea) akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea - Kuandika insha ya maelezo akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali na nahau alizojifunza awali |
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 104
Kielelezo cha insha ya maelezo Karatasi Kalamu/penseli Tarakilishi/vipakatalishi Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 111 - Kadi maneno - Kapu maneno - Chati Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 113 - Matini mbalimbali - Video za mchezo wa kuigiza - Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya maelezo
Kuzingatia muundo ufaao wa insha ya maelezo
Kujitathimini na kufanya marekebisho
|
|
| 2 | 3 |
WANYAMA WA PORINI
Kusoma Sarufi Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutenda Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusoma mchezo wa kuigiza kwa ufasaha - Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo wa kuigiza - Kujibu maswali yanayotokana na mchezo wa kuigiza - Kufurahia mchezo wa kuigiza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu "Hifadhi ya Wanyama" - Kuigiza mchezo huo wakiwa katika vikundi - Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo huo - Kujibu maswali yanayotokana na mchezo huo - Kujadili ujumbe ulio katika mchezo huo |
Je, majangili wanafanya nini kwa wanyama wa porini?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 114-115
- Picha za wanyama - Michoro ya hifadhi za wanyama - Matini ya mchezo wa kuigiza Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 121-123 - Picha za watu wakifanya vitendo - Kadi za maneno - Matini yenye vitenzi katika kauli ya kutenda Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 124-125 - Picha - Majedwali ya vitenzi |
Kusoma mchezo wa kuigiza
- Kutaja wahusika
- Kujibu maswali
- Kueleza ujumbe wa mchezo
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Insha ya Masimulizi
Visawe Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo - Kujadili muundo wa insha ya masimulizi - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kutambua insha ya masimulizi kwa kujadili muundo wake - Kueleza sifa za insha ya masimulizi - Kujadili ujumbe katika insha ya masimulizi - Kutaja sifa za insha ya masimulizi |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 117-118
- Mfano wa insha ya masimulizi - Picha - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 112 - Picha za wanyama - Vifaa vya kidijitali - Mchoro wa wanyama Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 116 - Vitabu vyenye michezo ya kuigiza |
Kutambua insha ya masimulizi
- Kujibu maswali kuhusu insha ya masimulizi
- Kueleza sifa za insha ya masimulizi
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendwa
Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kauli ya kutendwa - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendwa - Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli ya kutendwa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za vitendo vinavyofanyiwa vitu au watu - Kueleza maana ya kauli ya kutendwa - Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendwa - Kugeuza vitenzi kutoka kauli ya kutenda hadi kauli ya kutendwa - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutendwa |
Ni mambo gani ambayo hufanywa kila siku?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 126-127
- Picha - Chati za vitenzi - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 119 - Picha za mbuga ya wanyama - Vidokezo vya uandishi wa insha - Matini ya mwalimu |
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendwa
- Kugeuza vitenzi kutoka kauli moja hadi nyingine
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendwa
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika kauli ya kutendwa
|
|
| 3 | 2 |
AFYA BORA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi - Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi - Kueleza umuhimu wa nidhamu ya lugha katika mazungumzo - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakizungumza - Kujadili maana ya mazungumzo yasiyo rasmi - Kutambua miktadha mbalimbali ya mazungumzo yasiyo rasmi - Kujadili kanuni za nidhamu ya lugha katika mazungumzo |
Je, watu huwasiliana vipi katika miktadha mbalimbali?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 130-131
- Picha za watu wakizungumza - Video za mazungumzo isiyo rasmi - Matini ya mwalimu |
Kutambua miktadha ya mazungumzo yasiyo rasmi
- Kueleza kanuni za lugha
- Kujibu maswali
|
|
| 3 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matini mbalimbali za kusoma - Kuchagua matini zinazomvutia - Kusoma matini aliyochagua kwa ufasaha - Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza maelezo ya mwalimu kuhusu kanuni za kusomea maktabani - Kutaja matini mbalimbali zilizo maktabani - Kuchagua matini ya kusoma kutoka maktabani - Kusoma matini hiyo akizingatia kanuni za maktabani - Kusimulia ujumbe kwenye matini aliyoisoma |
Kusoma matini mbalimbali kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 133-134
- Matini mbalimbali za kusoma - Kanuni za maktaba - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 134-135 - Majalada ya matini - Matini mbalimbali - Kamusi |
Kutambua aina mbalimbali za matini
- Kusoma matini kwa ufasaha
- Kutoa muhtasari wa matini
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Vinyume vya Nomino
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kinyume cha nomino - Kutambua vinyume vya nomino katika matini - Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zenye hali kinyume kinyume - Kujadili maana ya kinyume cha nomino - Kutambua vinyume vya nomino kutoka kwenye kapu la maneno - Kuoainisha nomino na vinyume vyake - Kutambua vinyume vya nomino katika sentensi |
Matumizi ya vinyume vya nomino huchangia vipi katika ukuzaji wa lugha?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 138-139
- Picha zenye hali kinyume - Kapu la maneno - Kadi za nomino na vinyume vyake Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 135-137 - Vielelezo vya insha ya maelezo - Picha - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vinyume vya nomino
- Kuoainisha nomino na vinyume vyake
- Kuandika vinyume vya nomino
- Kujaza pengo kwa vinyume vya nomino
|
|
| 4 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua mazungumzo yasiyo rasmi - Kuigiza mazungumzo yasiyo rasmi - Kutumia lugha ya upole katika mazungumzo - Kuchangamkia nidhamu ya lugha katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma mazungumzo ya Ana na Bella kuhusu usafi wa mikono - Kutambua muktadha wa mazungumzo hayo - Kujadili nidhamu ya lugha katika mazungumzo hayo - Kuigiza mazungumzo hayo - Kuigiza mazungumzo katika muktadha mwingine wa kuchagua |
Nidhamu ya lugha ina umuhimu gani katika mazungumzo?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 132-133
- Matini ya mazungumzo - Picha - Video za mazungumzo |
Kuigiza mazungumzo kwa lugha ya upole
- Kutambua muktadha wa mazungumzo
- Kutumia nidhamu ya lugha katika mazungumzo
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Vinyume vya Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutafuta matini inayomvutia katika maktaba au mtandaoni - Kusoma matini kwa kuzingatia ujumbe - Kusimulia kwa ufasaha aliyojifunza kutokana na matini - Kujenga mazoea ya kusoma matini za kujichagulia |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafuta matini inayomvutia maktabani au mtandaoni - Kusoma matini hiyo kwa ufasaha - Kueleza wenzake kuhusu matini aliyosoma - Kujadiliana na wenzake kuhusu matini walizozisoma |
Unazingatia mambo gani unapochagua matini ya kusoma?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 135
- Matini mbalimbali - Vifaa vya kidijitali - Kamusi Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 140 - Matini yenye vinyume vya nomino - Kapu la maneno - Vifaa vya kidijitali |
Kutafuta na kuchagua matini inayovutia
- Kusoma matini hiyo kwa ufasaha
- Kueleza ujumbe wa matini
- Kusimulia kile alichojifunza
|
|
| 4 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada - Kufuata muundo ufaao wa insha ya maelezo - Kusoma insha yake mbele ya wenzake - Kufurahia uandishi wa insha ya maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili anwani "Ugonjwa wa malaria" - Kuandaa vidokezo vya kuandikia insha - Kuandika insha ya maelezo kuhusu "Ugonjwa wa malaria" - Kusoma insha yake mbele ya wenzake - Kusikiliza maoni ya wenzake kuhusu insha aliyoandika |
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 137-138
- Vidokezo vya uandishi wa insha - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya maelezo
- Kufuata kanuni za uandishi wa insha
- Kusoma insha kwa ufasaha
- Kutoa na kupokea maoni
|
|
| 4 | 4 |
KUKABILIANA NA UHALIFU
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Tashbihi
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya tashbihi - Kutambua tashbihi za kimo na umbo - Kutumia tashbihi za kimo na umbo katika sentensi - Kufurahia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za wanyama - Kueleza sifa za wanyama hao - Kujadili maana ya tashbihi - Kutambua tashbihi za kimo na umbo - Kusoma sentensi zenye tashbihi na kuzitambua |
Matumizi ya tashbihi yana umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 142-143
- Picha za wanyama - Kadi za tashbihi - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 144-145 - Vifaa vya kidijitali - Orodha ya hatua za kiusalama - Matini ya mwalimu |
Kutambua tashbihi
- Kutofautisha tashbihi za kimo na umbo
- Kutunga sentensi zenye tashbihi
- Kujaza pengo kwa tashbihi mwafaka
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Nyakati - Wakati Uliopo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya nyakati katika lugha ya Kiswahili - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo - Kutumia vitenzi katika wakati uliopo ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopo katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika nyakati tofauti - Kujadili tofauti za sentensi hizo - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo - Kutambua kiambishi cha wakati uliopo - Kusoma sentensi na kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo |
Unawezaje kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 150-151
- Chati za nyakati mbalimbali - Kadi za maneno - Sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo |
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati uliopo
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Nyakati - Wakati Uliopita
Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya wakati uliopita - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita - Kutumia vitenzi katika wakati uliopita ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopita - Kujadili tofauti kati ya sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo na wakati uliopita - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita kutoka kwenye kifungu - Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati uliopita - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopo hadi wakati uliopita |
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati uliopita?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 152-153
- Kifungu kinachohusu "Mhalifu nyumbani" - Chati za nyakati - Kadi za maneno Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 148-149 - Kielelezo cha insha ya masimulizi - Picha - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati uliopita
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopo hadi wakati uliopita
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopita
|
|
| 5 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Tashbihi
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua tashbihi katika kifungu - Kutofautisha tashbihi za umbo na za kimo - Kutumia tashbihi mwafaka katika sentensi - Kuchangamkia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kifungu kinachohusu "Alice na Kiki" - Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika kifungu hicho - Kutazama picha za wanyama na vifaa - Kukamilisha tashbihi zinazohusiana na picha hizo - Kutunga sentensi kwa kutumia tashbihi |
Kutumia tashbihi za kimo na umbo kunachangia vipi katika kuelewa vitu?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 143
- Picha za wanyama - Picha za vifaa - Matini yenye tashbihi Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 145-147 - Vifaa vya kidijitali - Matini yenye kifungu "Mhalifu kijijini" - Kamusi ya mtandaoni |
Kutambua tashbihi katika kifungu
- Kutofautisha tashbihi za kimo na za umbo
- Kutunga sentensi zenye tashbihi
- Kukamilisha tashbihi
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Nyakati - Wakati Ujao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya wakati ujao - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao - Kutumia vitenzi katika wakati ujao ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao - Kujadili tofauti kati ya sentenzi zenye vitenzi katika wakati uliopita na wakati ujao - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao kutoka kwenye kifungu - Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati ujao - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao |
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati ujao?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 154-156
- Kifungu kinachohusu "Tuwalinde wanyama" - Chati za nyakati - Kadi za maneno |
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati ujao
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Masimulizi
Kujieleza kwa Ufasaha: Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandaa vidokezo vya kuandika insha ya masimulizi - Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada - Kusoma insha ya masimulizi mbele ya wenzake - Kuchangamkia uandishi wa insha ya masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha ya watu na wezi - Kujadili anwani "Mwizi kijijini" - Kuandaa vidokezo vya uandishi wa insha - Kuandika insha ya masimulizi kuhusu "Mwizi kijijini" - Kusoma insha yake mbele ya wenzake |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 149-150
- Picha za watu na wezi - Vidokezo vya uandishi wa insha - Matini ya mwalimu Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 157-158 - Picha za watu wanaojieleza - Mgeni mwalikwa - Matini ya kisa cha mwalimu |
Kuandika insha ya masimulizi
- Kufuata kanuni za uandishi wa insha
- Kusoma insha kwa ufasaha
- Kutoa na kupokea maoni
|
|
| 6 | 2 |
MAPATO
Kusoma |
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama na kusikiliza video ya usomaji wa taarifa ya habari - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu cha "Bidhaa bandia" kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti - Kushirikisha wenzake ili watoe maoni kuhusu usomaji wake |
Unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 160-161
- Video ya usomaji wa taarifa ya habari - Matini yenye kifungu cha "Bidhaa bandia" - Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kifungu kwa ufasaha
- Kuzingatia matamshi bora
- Kuzingatia kasi ifaayo
- Kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Nafsi ya Kwanza
Ukanushaji - Nafsi ya Pili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya ukanushaji - Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya kwanza - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya kwanza - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maana ya ukanushaji - Kurejelea viambishi vya nafsi ya kwanza (umoja na wingi) - Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha - Kutambua viambishi vya ukanushaji katika sentensi - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya kwanza |
Je, vikanushi "si", "ha" na "hu" hutumika vipi?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 164-165
- Chati ya ukanushaji - Kapu la maneno - Sentensi zenye nafsi ya kwanza Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 166-167 - Sentensi zenye nafsi ya pili |
Kutambua maneno yaliyokanushwa
- Kukanusha sentensi
- Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida
- Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Nafsi ya Tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya tatu - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya tatu - Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nafsi ya tatu - Kutambua tofauti kati ya sentensi za kawaida na zenye ukanushaji - Kujadili viambishi vya nafsi ya tatu (umoja na wingi) - Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya tatu |
Unazingatia nini unapokanusha sentensi zenye nafsi ya tatu?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 167-169
- Chati ya ukanushaji - Kapu la maneno - Sentensi zenye nafsi ya tatu |
Kutambua maneno yaliyokanushwa
- Kukanusha sentensi
- Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida
- Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Ukubwa wa nomino
Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya ukubwa wa nomino - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja - Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa - Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya ukubwa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazoonesha udogo, wastani na ukubwa wa nomino - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja - Kushiriki katika mchezo wa kutaja nomino katika hali ya udogo, wastani na ukubwa - Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na ukubwa wake |
Kutaja nomino katika ukubwa wake kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 169-170
- Picha za nomino katika ukubwa, udogo na wastani - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 161-163 - Vielelezo vya barua - Kielelezo cha barua ya kirafiki |
Kutambua nomino katika hali ya ukubwa
- Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na ukubwa wake
- Kujaza pengo kwa nomino zenye ukubwa
- Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya ukubwa
|
|
| 7 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kujieleza kwa Ufasaha: Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusimulia visa vinavyohusu kazi mbalimbali - Kutumia ishara za uso na mikono zinazofaa - Kusimulia kisa kwa mtiririko unaoeleweka - Kufurahia kusimulia visa vinavyohusu mapato |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakifanya kazi - Kujadili sababu za watu kufanya kazi - Kusimulia kuhusu kazi ambazo huwa anazifanya - Kutazama picha za watu wakifanya kazi mbalimbali - Kusimulia kisa kuhusu mmoja wa picha hizo - Kutumia ishara za mwili zinazofaa |
Kwa nini ni muhimu kujieleza kwa ufasaha?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 159
- Picha za watu wakifanya kazi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 161 - Matini yenye kifungu cha "Bidhaa bandia" - Saa ya kupimia muda - Vitabu vya hadithi - Vifaa vya kidijitali |
Kusimulia kisa kwa ufasaha
- Kutumia ishara za mwili ipasavyo
- Kufuata mtiririko unaoeleweka
- Kujibu maswali kuhusu masimulizi
|
|
| 7 | 3 |
Sarufi
|
Ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua nomino katika hali ya ukubwa kutoka kwenye sentensi - Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi - Kutofautisha kati ya nomino zenye udogo, wastani na ukubwa - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nomino katika hali ya wastani - Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya ukubwa - Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya ukubwa - Kusoma shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo - Kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa kutoka kwenye shairi |
Ni nomino zipi zinaanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 171
- Shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo - Picha - Kadi za maneno |
Kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa
- Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi ukubwa
- Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya ukubwa
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Udogo wa nomino
Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya udogo wa nomino - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja - Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo - Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya udogo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutaja nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye silabi mbili katika hali ya wastani - Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya udogo - Kushiriki katika mchezo wa kikundi wa kutaja nomino katika hali ya udogo - Kuambatanisha nomino na hali za udogo zake kwa kutumia tarakilishi |
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 172-173
- Picha za nomino katika ukubwa, udogo na wastani - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 174 - Shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo - Picha - Kadi za maneno Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 163-164 - Vidokezo vya uandishi wa barua - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua nomino katika hali ya udogo
- Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na udogo wake
- Kujaza pengo kwa nomino zenye udogo
- Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya udogo
|
|
| 8-9 |
End of term examinations and closing |
||||||||
Your Name Comes Here