Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
WANYAMA WA PORINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha.
- Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini.
- Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako majina mawili ya picha zifuatazo: Televisheni-Runinga, Kinyonga-Lumbwi, Tembo-Ndovu, Sofa-Kochi, Nyati-Mbogo, Ugali-Sima.
- Shirikiana na mwenzako kueleza maana ya visawe kutokana na majina uliyosoma.
- Tambua visawe katika maneno kwenye kapu maneno na boksi.
- Ziandike sentensi hizi upya ukitumia kisawe cha neno lililoangaziwa.
Maneno yenye maana sawa yanasaidia vipi katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 80-81
- Picha za vitu
- Kapu maneno
- Kadi za visawe
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua visawe - Kueleza maana ya kisawe - Kuchagua visawe - Kutunga sentensi zenye visawe
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza ili kuipambanua na tungo zingine.
- Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini.
- Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo mfupi wa kuigiza.
- Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
- Kufurahia kusoma michezo na kuiigiza.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Ukiwa na mwenzako, someni mchezo wa kuigiza ufuatao.
- Eleza maana ya mchezo wa kuigiza ukizingatia mfano uliousoma.
- Taja wahusika katika mchezo wa kuigiza uliousoma.
- Mweleze mwenzako maneno yanayoonyesha vitendo vya wahusika.
- Tambua mchezo wa kuigiza kati ya vifungu vitatu vifuatavyo.
- Mweleze mwenzako kwa nini kifungu hicho ulichochagua ni mchezo wa kuigiza.
Je, wahusika huchangia nini katika mchezo wa kuigiza?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 82-84
- Nakala ya mchezo wa kuigiza
- Mifano ya vifungu
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua mchezo wa kuigiza - Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza - Kutaja wahusika - Kutambua maelekezo ya wahusika
2 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza ili kuipambanua na tungo zingine.
- Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini.
- Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo mfupi wa kuigiza.
- Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
- Kufurahia kusoma michezo na kuiigiza.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Ukishirikiana na wenzako, igizeni mchezo wa kuigiza katika Shughuli ya 2.
- Tambua wahusika katika mchezo mliouigiza.
- Ni maneno gani yaliyowaelekeza mtakavyocheza mchezo huo?
- Soma mchezo wa kuigiza wa Tamaa ya Fisi katika Shughuli ya 1.
- Jadili na wenzako kuhusu ujumbe uliojitokeza katika mchezo huo wa kuigiza.
Mchezo wa kuigiza hutofautiana vipi na hadithi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 84
- Nakala ya mchezo
- Vifaa vya kidijitali
- Vitambulisho vya wahusika
Kuigiza mchezo - Kutambua wahusika - Kueleza maelekezo - Kusoma kwa kuzingatia wahusika
2 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha.
- Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha.
- Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini.
- Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana.
- Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Muulize mwenzako angependa umfanyie nini ili afurahi?
- Tazama picha ifuatayo kisha usome kifungu kifuatacho.
- Shirikiana na mwenzako kusoma kifungu tena ukizingatia maneno anika, anikia, anikwa.
- Eleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi kutokana na jinsi maneno hayo yanavyobadilika.
- Ukiwa pamoja na mwenzako, someni sentensi zifuatazo.
- Shirikiana na mwenzako kueleza maana ya kila sentensi.
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 87-88
- Picha
- Kifungu cha habari
- Orodha ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua mnyambuliko wa vitenzi - Kueleza maana ya kauli mbalimbali - Kutambua vitenzi katika kauli mbalimbali - Kueleza maana ya sentensi
3 1
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha.
- Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha.
- Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini.
- Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana.
- Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutokana na sentensi ulizozisoma, mweleze mwenzako maana ya kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa.
- Tambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutenda katika jedwali.
- Tambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendwa katika jedwali.
- Tambua kwa kupigia mstari vitenzi vya hali ya kutendea katika sentensi zifuatazo.
- Andika daftarini vitenzi vilivyo katika hali ya kutendwa katika sentensi zifuatazo.
Vitenzi vya kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa hutumiwa vipi katika sentensi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 88-89
- Jedwali la vitenzi
- Orodha ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua vitenzi vya kauli mbalimbali - Kupigia mstari vitenzi vya hali ya kutendea - Kuorodhesha vitenzi vya hali ya kutendwa - Kueleza maana ya kauli mbalimbali
3 2
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Rejelea kwenye potifolio yako utafute insha ya masimulizi uliyoiandika hapo awali.
- Ni nini ulichofanya vizuri katika insha hiyo?
- Ni nini ambacho unahitaji kuboresha?
- Ni maendeleo gani unayoweza kutambua kuhusu waandishi wako wa insha?
- Tambua insha ya masimulizi kwa kusoma vidokezo na kielelezo kifuatacho.
- Shirikiana na mwenzako kujadili insha ya masimulizi mliyoisoma.
Insha ya masimulizi inahusu nini?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 85-86
- Potifolio
- Mfano wa insha ya masimulizi
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua sifa za insha ya masimulizi - Kutathmini insha ya masimulizi - Kujitathimini katika uandishi - Kujadili insha ya masimulizi
3 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha.
- Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini.
- Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tumia visawe vya maneno yaliyokolezwa rangi kuandika kifungu hiki upya.
- Taja vitu vitatu katika mazingira yako ambavyo vina visawe vya majina.
- Sakura kwenye mtandao visawe vitano.
- Wasambazie wenzako visawe hivyo ili wakupe maoni yao.
- Nakili daftarini shajara ifuatayo kisha uweke alama ✓ panapofaa ili kupima uwezo wako wa kutumia visawe katika mawasiliano.
Kutumia visawe kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 81
- Kifungu cha habari
- Shajara ya tathmini
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao salama
Kutumia visawe katika kifungu - Kutaja visawe vya vitu katika mazingira - Kutafuta visawe mtandaoni - Kujitathimini katika kutumia visawe
3 4
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu
Mnyambuliko wa Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza ili kuipambanua na tungo zingine.
- Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini.
- Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo mfupi wa kuigiza.
- Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
- Kufurahia kusoma michezo na kuiigiza.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jibu maswali yafuatayo yanayotokana na mchezo uliousoma: Mchezo wa kuigiza uliousoma unahusu nini? Taja majina ya wahusika katika mchezo uliousoma. Taja matendo ya wahusika katika mchezo huo. Ni mnyama yupi aliyekuwa na tamaa? Umejifunza nini kutokana na mchezo huo?
- Ukiwa na wenzako, sikilizeni maigizo ya mchezo wa Tamaa ya Fisi yaliyorekodiwa.
- Ukiwa na mwenzako, igiza mchezo wa Tamaa ya Fisi.
Je, mchezo wa kuigiza unatupa ujumbe gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 85
- Nakala ya mchezo
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi ya mchezo
- Vitambulisho vya wahusika
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 89-90
- Jedwali la vitenzi
- Orodha ya vitenzi
- Sentensi zenye nafasi za kujaza
- Vifaa vya kidijitali
Kujibu maswali kuhusu mchezo - Kusikiliza maigizo - Kuigiza mchezo - Kueleza ujumbe wa mchezo
4 1
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya masimulizi kuhusu wanyama wa porini: Wanyama hawa ni gani? Aliwaona wapi? Kisa kilitokea lini? Kisa hicho kilifanyika vipi? Alijifunza nini?
- Andika insha ya masimulizi inayohusu Safari mbugani ukizingatia vidokezo ulivyoandika, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo na kanuni za sarufi.
- Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili waisikilize na kutoa maoni yao.
- Nakili daftarini shajara inayofuata na ujitathimini.
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 86-87
- Vifaa vya kidijitali
- Vidokezo vya insha
- Shajara ya tathmini
- Karatasi za kuandikia
Kuandaa vidokezo vya insha - Kuandika insha ya masimulizi - Kuisomea wenzake - Kujitathimini
4 2
AFYA BORA

Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi.
- Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi.
- Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Je, unapokuwa nyumbani au njiani wewe huzungumza na nani?
- Mweleze mwenzako baadhi ya mambo unayopenda kuzungumzia.
- Kwa nini si vizuri kuzungumza na mtu yeyote?
- Tambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi kwa kumweleza mwenzako mazungumzo katika picha zifuatazo yanafanyika wapi.
- Taja miktadha mingine isiyo rasmi ya mazungumzo ambayo unajua.
Je, unazingatia nini wakati wa kuzungumza na watu mbalimbali?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 91-92
- Picha za watu wakizungumza
- Vifaa vya kidijitali
- Video ya mazungumzo
Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi - Kutaja miktadha mingine isiyo rasmi - Kueleza mambo ya kuzingatia kwenye mazungumzo - Kutumia lugha ya upole na heshima
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma.
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
- Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua kitabu, gazeti na jarida linalokuvutia maktabani au mtandaoni.
- Soma kichwa cha hadithi au habari.
- Tazama picha ya hadithi au habari.
- Bashiri kitakachotokea katika hadithi au habari.
- Soma hadithi au habari uliyochagua.
- Tambua msamiati uliotumiwa.
- Andika maana ya msamiati huo.
- Tunga sentensi ukitumia msamiati uliojifunza.
Kusoma kwa mapana kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93
- Vitabu
- Magazeti
- Majarida
- Vifaa vya kidijitali
Kuchagua matini ya kusoma - Kutambua msamiati mpya - Kutafuta maana ya msamiati - Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma.
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
- Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Wasimulie wenzako kuhusu hadithi au habari uliyoisoma kwenye kitabu, gazeti, jarida au mtandao ukizingatia hatua hizi:
-a) Habari uliyoisoma ilihusu nini?
-b) Ni nini kilichotendeka mwanzoni mwa hadithi au habari?
-c) Ni nini kilichotendeka katikati?
-d) Hadithi au habari ilimalizika namna gani?
-e) Ulijifunza nini kutokana na hadithi au habari hiyo?
- Tafuta habari kuhusu afya kwenye mtandao salama kisha usome.
- Waeleze wenzako kwa kifupi kile ulichokisoma.
Je, unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93-94
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao salama
- Shajara ya kusoma
- Vitabu vya hadithi
Kusimulia habari iliyosomwa - Kutaja mafunzo katika hadithi - Kujaza shajara ya kusoma - Kutoa muhtasari wa habari
5 1
Sarufi
Vinyume vya Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.
- Kutambua vinyume vya nomino katika matini.
- Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino ipasavyo.
- Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Orodhesha nomino za A na B.
- Umetambua nini kuhusu nomino za A zikilinganishwa na za B? Mweleze mwenzako.
- Kutokana na nomino ulizozisoma, eleza maana ya kinyume cha nomino.
- Shirikiana na mwenzako kutambua kinyume cha kila nomino kwenye jedwali.
- Shirikiana na mwenzako kuandaa orodha ya vinyume vya nomino za vitu halisi mnavyoweza kutambua.
Matumizi ya vinyume vya nomino huchangia vipi katika ukuzaji wa lugha?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 97-98
- Jedwali la nomino
- Kapu maneno
- Kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua vinyume vya nomino - Kuorodhesha vinyume vya nomino - Kueleza maana ya kinyume cha nomino - Kutoa mifano ya vinyume vya nomino
5 2
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tambua insha ya maelezo kwa kusoma kielelezo kifuatacho.
- Shirikiana na mwenzako kujadili insha uliyoisoma kwa kuzingatia yafuatayo: anwani, tahajia, mpangilio wa aya, hati safi, uakifishaji, ubunifu.
- Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu Maji kwa kujibu maswali kama vile: Maji hupatikana wapi? Maji hutumiwa vipi? Maji huhifadhiwa wapi? Njia za kuzuia matumizi mabaya ya maji ni zipi? Kwa nini maji ni muhimu maishani?
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94-95
- Mfano wa insha ya maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Vidokezo vya insha
Kutambua sifa za insha ya maelezo - Kujadili mfano wa insha - Kuandaa vidokezo vya insha - Kueleza mambo ya kuzingatia
5 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi.
- Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi.
- Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama maigizo ya mazungumzo kuhusu Lishe bora kwenye video au tarakilishi yaliyoandaliwa na mwalimu.
- Je, ni maneno gani ya upole na heshima yaliyotumiwa katika mazungumzo uliyoyatazama?
- Waeleze wenzako kwa nini wanafaa kuzingatia mambo yafuatayo katika mazungumzo:
- a) kutumia lugha ya upole na heshima.
- b) kumpa mwenzako nafasi ya kuzungumza.
- c) kusikiliza kwa makini mwenzako anapozungumza.
- Ukiwa na wenzako, igizeni mazungumzo ya mtoto na mzazi.
Kwa nini ni muhimu kutumia lugha ya upole katika mazungumzo?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 92-93
- Video ya mazungumzo
- Vifaa vya kidijitali
- Shajara ya tathmini
Kuigiza mazungumzo - Kutambua maneno ya upole - Kuzingatia nidhamu ya lugha - Kujitathimini katika mazungumzo
5 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma.
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
- Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chora jedwali linalofuata kwenye kitabu maalum. Kila ukisoma hadithi au habari lijaze ili kuweka rekodi ya mambo uliyosoma.
- Jadili na wenzako matini ambayo umesoma.
- Eleza ujumbe wa matini uliyosoma.
- Tambua na andika daftarini msamiati mpya kutoka matini uliyosoma.
- Tumia kamusi kutafuta maana ya msamiati mpya.
- Tunga sentensi ukitumia msamiati mpya uliotambua.
Kusoma matini ya kidijitali kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94
- Shajara ya kusoma
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao salama
Kujaza shajara ya kusoma - Kutambua msamiati mpya - Kutafuta maana ya msamiati - Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
6 1
Sarufi
Vinyume vya Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.
- Kutambua vinyume vya nomino katika matini.
- Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino ipasavyo.
- Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tunga sentensi sahihi ukitumia vinyume vya nomino ulizotambua kwenye jedwali katika Shughuli ya 2.
- Taja nomino zenye vinyume katika mazingira yako.
- Tumia nomino hizo na vinyume vyake kutunga sentensi.
- Nakili daftarini shajara ifuatayo kisha uweke alama ✓ panapofaa ili kupima uwezo wako wa kutumia vinyume vya nomino katika mawasiliano.
- Jadili na wenzako juu ya matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano.
Vinyume vya nomino vina umuhimu gani katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 98-99
- Orodha ya nomino
- Shajara ya tathmini
- Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye vinyume vya nomino - Kutaja nomino zenye vinyume - Kujitathimini katika kutumia vinyume - Kujadili umuhimu wa vinyume vya nomino
6 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha ya Maelezo
Tashbihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Andika insha ya maelezo kuhusu Maji. Tumia vidokezo ulivyoandaa na mwenzako. Zingatia: lugha sahihi, uakifishaji ufaao, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo, maelezo yenye matumizi ya methali na nahau.
- Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili wakupe maoni.
- Andike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa na mwenzako.
- Iweke nakala safi ya insha yako kwenye potifolio na uwasilishe kwa mwalimu ili akupe maoni yake.
- Andika insha ya maelezo kuhusu Michezo.
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 96
- Vidokezo vya insha
- Karatasi za kuandikia
- Potifolio
- Vifaa vya kidijitali
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 100
Kadi za tashbihi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kuandika insha ya maelezo - Kusomea wenzake insha - Kuboresha insha kutokana na maoni - Kuhifadhi insha kwenye potifolio
6 3
KUKABILIANA NA UHALIFU

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Nyakati na hali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali.
- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi.
- Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa.
- Kusoma matini lengwa ili kupata ujumbe.
- Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao.
- Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kuifungua na kuifunga.
- Kutambua mitandao salama yenye matini yanayoafiki kiwango na mahitaji yake.
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao.
- Kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni.
- Kusoma matini kwenye tovuti salama.
- Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake.
Unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 103
Tarakilishi/vipakatalishi
Matini za kusoma zinazohusu kukabiliana na uhalifu
Kamusi za mtandaoni
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 107
Chati ya viambishi vya nyakati
Kadi za maneno za vitenzi
Vifaa vya kidijitali
Sentensi zenye vitenzi vya nyakati tofauti
Kutambua hatua za usalama mtandaoni Kufungua na kufunga faili ipasavyo Kusakura matini salama mtandaoni Kutoa muhtasari wa matini aliyosoma Kujibu maswali kutoka kwenye matini
6 4
Sarufi
Kuandika
Nyakati na hali
Kuandika Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vya nyakati kwenye vitenzi.
- Kutambua vitenzi katika nyakati tofauti hali ya kuendelea kwenye matini.
- Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea.
- Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
- Kuandike upya sentensi katika wakati mmoja hali ya kuendelea ziwe katika nyakati tofauti hali ya kuendelea daftarini.
- Kusoma na kutambua vitenzi vinavyoonyesha nyakati mbalimbali katika matini inayohusu kukabiliana na uhalifu.
- Kubadilisha sentensi zenye vitenzi vya wakati uliopita hadi wakati uliopo na ujao.
Je, mabadiliko ya nyakati za vitenzi huathiri vipi maana ya ujumbe?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 108
Tarakilishi/vipakatalishi
Matini zenye vitenzi vya nyakati tofauti
Chati ya viambishi vya nyakati
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 105
Mifano ya insha za masimulizi
Chati ya muundo wa insha ya masimulizi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi katika nyakati tofauti Kubadilisha sentensi kutoka wakati mmoja hadi mwingine Kutambua vitenzi vya nyakati tofauti kwenye matini Kutumia vitenzi vya nyakati mwafaka kuwasilisha ujumbe
7 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Tashbihi
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha.
- Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini.
- Kutumia tashbihi za kimo na umbo kwa usahihi katika sentensi.
- Kufurahia matumizi ya tashbihi za kimo na umbo katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza hadithi fupi inayohusisha masuala ya uhalifu na kusikia jinsi tashbihi zinavyotumika kutolea maelezo.
- Kutumia tashbihi kwa usahihi kuelezea watu wanaohusika na uhalifu.
- Kutunga sentensi zenye tashbihi za maumbile za watu mbali mbali anaowafahamu.
- Kubuni hadithi fupi akitumia tashbihi za kimo na umbo.
- Kumweleza mzazi/mlezi wake tashbihi alizozifunza na kufanya zoezi la kutumia tashbihi nyumbani.
Ni tashbihi gani zinazotumika kuelezea watu wanaohusika na uhalifu?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 101
Picha za watu wa maumbile tofauti
Vifaa vya kidijitali
Hadithi fupi zenye tashbihi
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 104
Tarakilishi/vipakatalishi zilizo na matini zinazohusu kukabiliana na uhalifu
Picha zinazoonyesha aina za uhalifu
Kamusi
Kutunga sentensi zenye tashbihi Kuelezea maumbile ya watu kwa kutumia tashbihi Kushiriki katika kubuni hadithi fupi Kutumia tashbihi katika mawasiliano ya kila siku
7 2
Sarufi
Kuandika
Nyakati na hali
Kuandika Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vya nyakati kwenye vitenzi.
- Kutambua vitenzi katika nyakati tofauti hali ya kuendelea kwenye matini.
- Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea.
- Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga kifungu kifupi kuhusu kukabiliana na uhalifu akitumia vitenzi vya nyakati mbalimbali hali ya kuendelea.
- Kuwasomea wenzake kifungu alichotunga.
- Kutambua vitenzi vya nyakati mbalimbali kutoka kwenye kifungu kilichosomwa na mwenzake.
- Kubadilisha kifungu kutoka wakati mmoja hadi wakati mwingine.
- Kutathmini kazi yake na ya wenzake kwa kutumia orodha hakiki inayojumuisha utumiaji wa nyakati.
Ni wakati upi unaofaa kutumika katika kuelezea tukio la uhalifu lililotokea?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 109
Orodha hakiki ya matumizi ya nyakati
Vifungu vya habari vya uhalifu
Matini ya mwalimu
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 106
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya insha za masimulizi
Orodha hakiki ya vipengele vya insha ya masimulizi
Kutunga kifungu kifupi kuhusu uhalifu Kutambua vitenzi vya nyakati mbalimbali Kubadilisha kifungu kutoka wakati mmoja hadi mwingine Kutathmini kazi kwa kutumia orodha hakiki
7 3
MAPATO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Sarufi
Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha
Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha mbele ya wenzake.
- Kutumia ishara zifaazo ili kuimarisha masimulizi yake.
- Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikilize masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali.
- Kubuni simulizi linalohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana na wenzake.
- Kutoa maelezo kuhusu mada lengwa (k.v. jinsi ya kujipatia riziki, Jinsi ya kutumia mapato yake, n.k.).
- Kutumia ishara za mwili zifaazo k.v ishara za uso, za mikono, mabega kuimarisha masimulizi yake.
- Kujadiliana na wenzake kuhusu ubora wa masimulizi aliyosikiliza.
Je, ni nini unachozingatia unapotoa simulizi?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 112
Picha/michoro kuhusu mapato
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya simulizi
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 114
Vifungu vya hadithi kuhusu mapato
Chati ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 118
Chati ya viambishi vya ukanushaji
Kadi maneno
Kushiriki mjadala Matamshi bora ya maneno Utetezi wa hoja kwa lugha ya adabu Kutumia lugha ya ushawishi Kutumia ishara za mwili
7 4
Sarufi
Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukanushaji ili kuubainisha.
- Kutambua maneno yaliyokanushwa katika kundi la maneno.
- Kutambua viambishi vya nafsi na wakati katika maneno.
- Kukanusha maneno na sentensi kwa kuzingatia nafsi na wakati katika mawasiliano.
- Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuwasilisha sentensi zake darasani ili wenzake wazitathmini.
- Kufanya mazoezi ya kukanusha sentensi akizingatia mada ya mapato.
- Kubadilisha sentensi zenye vitenzi katika hali ya kutenda kuwa katika hali ya kukanusha.
- Kutumia ukanushaji katika mawasiliano ya kawaida darasani.
Kukanusha maneno na sentensi kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 119
Orodha ya sentensi zenye vitenzi katika hali ya kutenda
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya sentensi ziliziokanushwa
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 120
Jedwali la viambishi vya ukanushaji
Orodha ya sentensi za kukanusha
Kubadilisha sentensi za kutenda kuwa za kukanusha Kutambua viambishi vya ukanushaji Kutunga sentensi zenye vitenzi katika hali ya kukanusha Kuwasiliana kwa kutumia sentensi zenye ukanushaji
8 1
Sarufi
Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukubwa wa nomino ili kuubainisha.
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja.
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa.
- Kubadilisha nomino kutoka hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa.
- Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi.
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mti, mto, mji) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu maneno au kifaa cha kidijitali.
- Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa.
- Kushiriki katika mchezo wa vikundi; kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino na kingine kitaje ukubwa wa nomino hiyo.
- Kuburura na kuambatanisha orodha ya nomino katika hali ya ukubwa na orodha nyingine ya nomino katika hali ya wastani kwenye tarakilishi.
Kutaja nomino katika ukubwa wake kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 121
Orodha ya nomino za wastani na ukubwa
Vifaa vya kidijitali
Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na ukubwa
Kujaza pengo kwa nomino za ukubwa Kuuliza maswali na kutoa majibu Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa Kufanyiana tathmini
8 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuandika Barua ya Kirafiki
Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
- Kuchangamkia umuhimu wa barua katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Aandae vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake.
- Kushirikiana na wenzake kujadili mada ya barua ya kirafiki na vipengele vyake.
- Kuandika barua ya kirafiki daftarini yenye kuzingatia mada ya mapato kwa rafiki, ndugu, mzazi n.k. kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu.
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 116
Mifano ya barua za kirafiki
Mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki
Vifaa vya kidijitali
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 113
Mchoro wa kiakili
Picha kuhusu mapato
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki Kuchora muundo wa barua ya kirafiki Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kirafiki
8 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa anaposoma (k.v. ishara za uso na mikono).
- Kusoma hadithi kuhusu masuala mtambuko mbalimbali kutoka kwenye vitabu, vifaa vya kidijitali, nk akizingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti.
- Kutambua msamiati mpya kutoka kwenye kifungu alichosoma na kutafuta maana yake kwenye kamusi.
- Kujibu maswali kutoka kwenye kifungu alichosoma kwa usahihi.
Unazingatia nini ili kuweza kusoma kifungu cha hadithi ipasavyo?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 115
Hadithi zinazohusiana na mapato
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa kutambua msamiati mpya Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya Kujibu maswali kutoka kwenye kifungu Kutumia ishara za mwili ipasavyo
8 4
Sarufi
Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukubwa wa nomino ili kuubainisha.
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja.
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa.
- Kubadilisha nomino kutoka hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa.
- Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi.
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi zinazorejelea nomino lengwa katika ukubwa akiwa peke yake au kwenye vikundi.
- Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa katika sentensi.
- Kutoa maana ya nomino katika hali ya ukubwa.
- Kutunga hadithi fupi akitumia nomino katika hali ya ukubwa.
Ni nomino zipi zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 122
Kadi za nomino za wastani na ukubwa
Chati ya nomino za wastani na ukubwa
Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za ukubwa
Kutambua nomino za ukubwa Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi ukubwa Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa Kutoa maana za nomino za ukubwa
9 1
Sarufi
Udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya udogo wa nomino ili kuubainisha.
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja.
- Kutambua nomino katika hali ya udogo.
- Kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya udogo.
- Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi.
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mti, mto, mji) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu maneno au kifaa cha kidijitali.
- Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya udogo.
- Kushiriki katika mchezo wa vikundi; kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino na kingine kitaje udogo wa nomino husika.
- Kuburura na kuambatanisha orodha ya nomino katika hali ya udogo na orodha nyingine ya nomino katika hali ya wastani kwenye tarakilishi.
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 123
Orodha ya nomino za wastani na udogo
Vifaa vya kidijitali
Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na udogo
Kutambua nomino katika hali ya udogo Kubadilisha nomino za wastani kuwa za udogo Kutunga sentensi zenye nomino za udogo Kufanyiana tathmini
9 2
Sarufi
Kuandika
Udogo wa nomino
Kuandika Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya udogo wa nomino ili kuubainisha.
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja.
- Kutambua nomino katika hali ya udogo.
- Kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya udogo.
- Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi.
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi zinazorejelea nomino lengwa katika udogo akiwa peke yake au kwenye vikundi.
- Kutofautisha kati ya nomino katika hali ya wastani, ukubwa na udogo.
- Kubadilisha sentensi zenye nomino za wastani hadi kuwa zenye nomino za udogo.
- Kutunga hadithi fupi akitumia nomino katika hali ya udogo zinazohusu mapato.
Ni tofauti zipi kati ya nomino za ukubwa na udogo?
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 124
Kadi za nomino za wastani, ukubwa na udogo
Jedwali la mifano ya nomino za wastani, ukubwa na udogo
Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za udogo
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 117
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya barua za kirafiki
Matini ya mwalimu
Kutofautisha kati ya nomino za wastani, ukubwa na udogo Kutunga sentensi zenye nomino za udogo Kubadilisha sentensi zenye nomino za wastani kuwa za udogo Kutunga hadithi fupi yenye nomino za udogo

Your Name Comes Here


Download

Feedback