Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
WANYAMA WA PORINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha
- Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini
- Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
- Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua visawe katika matini mbalimbali
- Kushiriki mijadala kuhusu matumizi ya visawe
- Kuambatanisha maneno na visawe vyake
- Kutumia visawe katika sentensi
- Kubadilisha maneno katika sentensi kwa visawe vyake
Maneno yenye maana sawa yanasaidia vipi katika mawasiliano?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 111
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Chati
Kutaja visawe - Kuambatanisha visawe - Kutunga sentensi - Kujaza pengo
2 2
Kusoma
Sarufi
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutenda
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza
- Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
- Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo wa kuigiza
- Kuchangamkia kusoma michezo ya kuigiza
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha inayohusiana na mchezo wa kuigiza
- Kusoma vielelezo viwili vya matini na kutambua mchezo wa kuigiza
- Kusoma matini mbalimbali na kutambua zile zenye mchezo wa kuigiza
- Kutazama video za mchezo wa kuigiza
- Kutaja wahusika katika mchezo wa kuigiza aliotazama
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 113
- Matini mbalimbali
- Video za mchezo wa kuigiza
- Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 114-115
- Picha za wanyama
- Michoro ya hifadhi za wanyama
- Matini ya mchezo wa kuigiza
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 121-123
- Picha za watu wakifanya vitendo
- Kadi za maneno
- Matini yenye vitenzi katika kauli ya kutenda
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 124-125
- Picha
- Majedwali ya vitenzi
Kutambua mchezo wa kuigiza - Kusoma matini na kutambua wahusika - Kueleza maelekezo yaliyotumika
2 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Insha ya Masimulizi
Visawe
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo
- Kujadili muundo wa insha ya masimulizi
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kujadili muundo wake
- Kueleza sifa za insha ya masimulizi
- Kujadili ujumbe katika insha ya masimulizi
- Kutaja sifa za insha ya masimulizi
Insha ya masimulizi inahusu nini?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 117-118
- Mfano wa insha ya masimulizi
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 112
- Picha za wanyama
- Vifaa vya kidijitali
- Mchoro wa wanyama
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 116
- Vitabu vyenye michezo ya kuigiza
Kutambua insha ya masimulizi - Kujibu maswali kuhusu insha ya masimulizi - Kueleza sifa za insha ya masimulizi
2 4
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendwa
Insha ya Masimulizi
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya kauli ya kutendwa
- Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendwa
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli ya kutendwa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za vitendo vinavyofanyiwa vitu au watu
- Kueleza maana ya kauli ya kutendwa
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendwa
- Kugeuza vitenzi kutoka kauli ya kutenda hadi kauli ya kutendwa
- Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutendwa
Ni mambo gani ambayo hufanywa kila siku?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 126-127
- Picha
- Chati za vitenzi
- Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 119
- Picha za mbuga ya wanyama
- Vidokezo vya uandishi wa insha
- Matini ya mwalimu
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 130-131
- Picha za watu wakizungumza
- Video za mazungumzo isiyo rasmi
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendwa - Kugeuza vitenzi kutoka kauli moja hadi nyingine - Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendwa - Kujaza pengo kwa vitenzi katika kauli ya kutendwa
3

Opener exams

4 1
AFYA BORA

Kusoma
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matini mbalimbali za kusoma
- Kuchagua matini zinazomvutia
- Kusoma matini aliyochagua kwa ufasaha
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza maelezo ya mwalimu kuhusu kanuni za kusomea maktabani
- Kutaja matini mbalimbali zilizo maktabani
- Kuchagua matini ya kusoma kutoka maktabani
- Kusoma matini hiyo akizingatia kanuni za maktabani
- Kusimulia ujumbe kwenye matini aliyoisoma
Kusoma matini mbalimbali kuna umuhimu gani?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 133-134
- Matini mbalimbali za kusoma
- Kanuni za maktaba
- Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 134-135
- Majalada ya matini
- Matini mbalimbali
- Kamusi
Kutambua aina mbalimbali za matini - Kusoma matini kwa ufasaha - Kutoa muhtasari wa matini - Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma
4 2
Sarufi
Kuandika
Vinyume vya Nomino
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya kinyume cha nomino
- Kutambua vinyume vya nomino katika matini
- Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino
- Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zenye hali kinyume kinyume
- Kujadili maana ya kinyume cha nomino
- Kutambua vinyume vya nomino kutoka kwenye kapu la maneno
- Kuoainisha nomino na vinyume vyake
- Kutambua vinyume vya nomino katika sentensi
Matumizi ya vinyume vya nomino huchangia vipi katika ukuzaji wa lugha?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 138-139
- Picha zenye hali kinyume
- Kapu la maneno
- Kadi za nomino na vinyume vyake
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 135-137
- Vielelezo vya insha ya maelezo
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua vinyume vya nomino - Kuoainisha nomino na vinyume vyake - Kuandika vinyume vya nomino - Kujaza pengo kwa vinyume vya nomino
4 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mazungumzo yasiyo rasmi
- Kuigiza mazungumzo yasiyo rasmi
- Kutumia lugha ya upole katika mazungumzo
- Kuchangamkia nidhamu ya lugha katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma mazungumzo ya Ana na Bella kuhusu usafi wa mikono
- Kutambua muktadha wa mazungumzo hayo
- Kujadili nidhamu ya lugha katika mazungumzo hayo
- Kuigiza mazungumzo hayo
- Kuigiza mazungumzo katika muktadha mwingine wa kuchagua
Nidhamu ya lugha ina umuhimu gani katika mazungumzo?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 132-133
- Matini ya mazungumzo
- Picha
- Video za mazungumzo
Kuigiza mazungumzo kwa lugha ya upole - Kutambua muktadha wa mazungumzo - Kutumia nidhamu ya lugha katika mazungumzo
4 4
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Vinyume vya Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutafuta matini inayomvutia katika maktaba au mtandaoni
- Kusoma matini kwa kuzingatia ujumbe
- Kusimulia kwa ufasaha aliyojifunza kutokana na matini
- Kujenga mazoea ya kusoma matini za kujichagulia
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafuta matini inayomvutia maktabani au mtandaoni
- Kusoma matini hiyo kwa ufasaha
- Kueleza wenzake kuhusu matini aliyosoma
- Kujadiliana na wenzake kuhusu matini walizozisoma
Unazingatia mambo gani unapochagua matini ya kusoma?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 135
- Matini mbalimbali
- Vifaa vya kidijitali
- Kamusi
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 140
- Matini yenye vinyume vya nomino
- Kapu la maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kutafuta na kuchagua matini inayovutia - Kusoma matini hiyo kwa ufasaha - Kueleza ujumbe wa matini - Kusimulia kile alichojifunza
5 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha ya Maelezo
Tashbihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada
- Kufuata muundo ufaao wa insha ya maelezo
- Kusoma insha yake mbele ya wenzake
- Kufurahia uandishi wa insha ya maelezo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili anwani "Ugonjwa wa malaria"
- Kuandaa vidokezo vya kuandikia insha
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu "Ugonjwa wa malaria"
- Kusoma insha yake mbele ya wenzake
- Kusikiliza maoni ya wenzake kuhusu insha aliyoandika
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 137-138
- Vidokezo vya uandishi wa insha
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 142-143
- Picha za wanyama
- Kadi za tashbihi
- Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha ya maelezo - Kufuata kanuni za uandishi wa insha - Kusoma insha kwa ufasaha - Kutoa na kupokea maoni
5 2
KUKABILIANA NA UHALIFU

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
Nyakati - Wakati Uliopo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma
- Kusakura matini kwenye tovuti salama
- Kujenga mazoea ya kutumia vifaa vya kidijitali kwa uangalifu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kusikiliza na kufuata maelekezo ya mwalimu kuhusu hatua za kiusalama
- Kujadili jinsi ya kutambua faili na kuifungua
- Kufungua kifaa cha kidijitali na kutambua faili yenye anwani "Usituue, jamani!"
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 144-145
- Vifaa vya kidijitali
- Orodha ya hatua za kiusalama
- Matini ya mwalimu
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 150-151
- Chati za nyakati mbalimbali
- Kadi za maneno
- Sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo
Kueleza hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kufungua faili kwenye kifaa cha kidijitali - Kujibu maswali kuhusu hatua za kiusalama
5 3
Sarufi
Kuandika
Nyakati - Wakati Uliopita
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya wakati uliopita
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita
- Kutumia vitenzi katika wakati uliopita ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopita
- Kujadili tofauti kati ya sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo na wakati uliopita
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita kutoka kwenye kifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati uliopita
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopo hadi wakati uliopita
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati uliopita?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 152-153
- Kifungu kinachohusu "Mhalifu nyumbani"
- Chati za nyakati
- Kadi za maneno
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 148-149
- Kielelezo cha insha ya masimulizi
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita - Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati uliopita - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopo hadi wakati uliopita - Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopita
5 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Tashbihi
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua tashbihi katika kifungu
- Kutofautisha tashbihi za umbo na za kimo
- Kutumia tashbihi mwafaka katika sentensi
- Kuchangamkia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kifungu kinachohusu "Alice na Kiki"
- Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika kifungu hicho
- Kutazama picha za wanyama na vifaa
- Kukamilisha tashbihi zinazohusiana na picha hizo
- Kutunga sentensi kwa kutumia tashbihi
Kutumia tashbihi za kimo na umbo kunachangia vipi katika kuelewa vitu?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 143
- Picha za wanyama
- Picha za vifaa
- Matini yenye tashbihi
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 145-147
- Vifaa vya kidijitali
- Matini yenye kifungu "Mhalifu kijijini"
- Kamusi ya mtandaoni
Kutambua tashbihi katika kifungu - Kutofautisha tashbihi za kimo na za umbo - Kutunga sentensi zenye tashbihi - Kukamilisha tashbihi
6

MID-TERM exams

7 1
Sarufi
Kuandika
Nyakati - Wakati Ujao
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya wakati ujao
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao
- Kutumia vitenzi katika wakati ujao ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao
- Kujadili tofauti kati ya sentenzi zenye vitenzi katika wakati uliopita na wakati ujao
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao kutoka kwenye kifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati ujao
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati ujao?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 154-156
- Kifungu kinachohusu "Tuwalinde wanyama"
- Chati za nyakati
- Kadi za maneno
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 149-150
- Picha za watu na wezi
- Vidokezo vya uandishi wa insha
- Matini ya mwalimu
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao - Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati ujao - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao - Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao
7 2
MAPATO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kujieleza kwa Ufasaha: Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada
- Kutumia ishara za mwili kwa usahihi
- Kujieleza kwa ufasaha akiwa mbele ya wenzake
- Kuchangamkia kusimulia tungo kwa ufasaha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili kuhusu masimulizi aliyowahi kutoa
- Kusikiliza mgeni anayetoa masimulizi kuhusu mapato
- Kutazama picha inayohusiana na masimulizi
- Kusikiliza kisa kinachosimuliwa na mwalimu
- Kujibu maswali yanayohusiana na kisa hicho
Je, unafanya nini ili kujieleza kwa ufasaha?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 157-158
- Picha za watu wanaojieleza
- Mgeni mwalikwa
- Matini ya kisa cha mwalimu
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 160-161
- Video ya usomaji wa taarifa ya habari
- Matini yenye kifungu cha "Bidhaa bandia"
- Vifaa vya kidijitali
Kujieleza kwa ufasaha - Kutumia ishara za mwili ipasavyo - Kujibu maswali kwa usahihi - Kusimulia tungo -
7 3
Sarufi
Ukanushaji - Nafsi ya Kwanza
Ukanushaji - Nafsi ya Pili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya ukanushaji
- Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya kwanza
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya kwanza
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maana ya ukanushaji
- Kurejelea viambishi vya nafsi ya kwanza (umoja na wingi)
- Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha
- Kutambua viambishi vya ukanushaji katika sentensi
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya kwanza
Je, vikanushi "si", "ha" na "hu" hutumika vipi?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 164-165
- Chati ya ukanushaji
- Kapu la maneno
- Sentensi zenye nafsi ya kwanza
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 166-167
- Sentensi zenye nafsi ya pili
Kutambua maneno yaliyokanushwa - Kukanusha sentensi - Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida - Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
7 4
Sarufi
Ukanushaji - Nafsi ya Tatu
Ukubwa wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya tatu
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya tatu
- Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nafsi ya tatu
- Kutambua tofauti kati ya sentensi za kawaida na zenye ukanushaji
- Kujadili viambishi vya nafsi ya tatu (umoja na wingi)
- Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya tatu
Unazingatia nini unapokanusha sentensi zenye nafsi ya tatu?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 167-169
- Chati ya ukanushaji
- Kapu la maneno
- Sentensi zenye nafsi ya tatu
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 169-170
- Picha za nomino katika ukubwa, udogo na wastani
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua maneno yaliyokanushwa - Kukanusha sentensi - Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida - Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
8 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Barua ya Kirafiki
Kujieleza kwa Ufasaha: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki
- Kujadili muundo wa barua ya kirafiki
- Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki
- Kuchangamkia uandishi wa barua ya kirafiki
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili mambo anayokumbuka kuhusu barua ya kirafiki
- Kujadili muundo wa barua ya kirafiki
- Kutambua barua ya kirafiki kutoka kwenye vielelezo alivyopewa
- Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki
- Kutambua muundo wa barua ya kirafiki
Je, unazingatia nini unapoandika barua ya kirafiki?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 161-163
- Vielelezo vya barua
- Kielelezo cha barua ya kirafiki
- Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 159
- Picha za watu wakifanya kazi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kutambua barua ya kirafiki - Kueleza muundo wa barua ya kirafiki - Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki
8 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufasaha
Ukubwa wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
- Kusoma maneno sahihi yasiyopungua 65 kwa dakika moja
- Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma tena kifungu cha "Bidhaa bandia" ukizingatia vipengele vya usomaji kwa ufasaha
- Kuhesabu idadi ya maneno aliyosoma kwa dakika moja
- Kutafuta hadithi yoyote kuhusu mapato kwenye vitabu au kwenye mitandao salama
- Kusoma hadithi hiyo ukizingatia matamshi bora, kasi ifaayo, kiwango kifaacho cha sauti na ishara zifaazo
Kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 161
- Matini yenye kifungu cha "Bidhaa bandia"
- Saa ya kupimia muda
- Vitabu vya hadithi
- Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 171
- Shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo
- Picha
- Kadi za maneno
Kusoma kifungu kwa ufasaha - Kusoma maneno 65 au zaidi kwa dakika moja - Kuhesabu idadi ya maneno aliyosoma - Kusoma hadithi kwa ufasaha
8 3
Sarufi
Kuandika
Udogo wa nomino
Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya udogo wa nomino
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja
- Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo
- Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya udogo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutaja nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye silabi mbili katika hali ya wastani
- Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya udogo
- Kushiriki katika mchezo wa kikundi wa kutaja nomino katika hali ya udogo
- Kuambatanisha nomino na hali za udogo zake kwa kutumia tarakilishi
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 172-173
- Picha za nomino katika ukubwa, udogo na wastani
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 174
- Shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo
- Picha
- Kadi za maneno
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 163-164
- Vidokezo vya uandishi wa barua
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kutambua nomino katika hali ya udogo - Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na udogo wake - Kujaza pengo kwa nomino zenye udogo - Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya udogo
9

End term exams


Your Name Comes Here


Download

Feedback